Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kamanda wa Anga Freeman Mbowe mchana huu ameripoti kituo kikuu cha polisi Arusha kwa mahojiano.
 
Kwa kile kilichosemekana, kwamba Mh. Mbowe amekimbia viwanja vya NMC wakati polisi walipovamia. Mbowe mwenye amekanusha kauli hiyo anasema hawezi kujificha wala kukimbia polisi, kwa sababu yeye haogopi polisi wala magereza, bali alitoka kwenda kufanya kazi aliotakiwa kufanya kwa muda ule.

Ameendelea kusema kuwa mgogoro unaondelea Arusha unatokana na uchaguzi wa meya uliofanyika november mwaka jana! Anaendelea kuzungumza.

Source radio arusha 94.8 fm


Akirudi kutoka polisi tufahamishe.

Siku hizi naona anakwenda mwenyewe hangoji kupelekwa, serikali haichezewi.
 
samahani mbona sijawahi kusikia radio Arusha tangu nizaliwe ?

na hiyo frequency hujawahi isikia?inaitwa sunrise fm.nimesema hvyo kwa sababu inapatikana masafa ya arusha pekee acha uzuzu basi

Akirudi kutoka polisi tufahamishe.

Siku hizi naona anakwenda mwenyewe hangoji kupelekwa, serikali haichezewi.

walisema anakimbia,huo ni ushupavu anaouonyesha weewe ungeweza?

My Gosh...anataka kuamua nini tena?
Kweli serikali hii ya ccm inataka kutuweka roho juu kila wakati!
Mi nadhani wanaharibu equilibrium ya wabunge wa cdm ili wapitishe mambo FULANI kule BUNGENI bila ya upinzani wowote!..ndio hasa nia yao!

hapa ni nguvu ya umma tu.serikali si haiwezi kufanya maamuzi magumu,makamanda wanatoa mifano hai

Kuna jamaa zangu wapo Arusha nimeongea nao jana kwa njia ya simu, anasema wana Arusha wamesema "HAWADANGANYIKI TENA".

na magamba hatuyataki huku

Kama upo Arusha Tune 94.8 utajua ni Station gani. Hoja siyo radio gani hoja ni mbowe kuzungumza na waandishi wa habari ikiwepo hiyo radio.

namshangaa hata mimi sijui anataka kwenda kuomba kazi?

Au Sun Rise Radio siku hizi imebadilisha jina inaitwa radio Arusha?

kweli unatumia masaburi kufikiri wewe

Hili ni balaa sasa Arusha jamani.Polisi huwa siku zote kumbe ni waongo sana wanasema Mbowe kakimbia wapi na kama alikimbia kwa nini walishindwa kumkamata? Hawa polisi vipi jamani?

ndio hapo sasa ushangae jeshi zima likashndwa kumkimbiza mtu mmoja,masaburi bwana

Tafuta 94.8 fm utajua kama ni radio kitalolo au Arusha

hahahaha nimeipenda hii mkuu
 
Taarifa zilizopostiwa humu kuwa Mbowe amekimbilia Dodoma ni uzushi mtupu hazina ukweli wowote.
 
My Gosh...anataka kuamua nini tena?
Kweli serikali hii ya ccm inataka kMi nadhani wanaharibu equilibrium ya wabunge wa cdm ili wapitishe mambo FULANI kule BUNGENI bila ya upinzani wowote!..ndio hasa nia yao!

Chief, sio wapitishe mambo flani. Umesahau ule mswada wa "kipumbavu" kuhusu mustakabali wa mchakato wa Katiba mpya ulioandaliwa na watawala kwa manufaa yao ndo unataka kupitishwa?
 
Natamani mtiti wa A_city uhamie dar ili tugeuze viwanja vya mnazi mmoja kuwa Tahirir Square! Ee Mungu sikia kilio cha waja wako upesi tumechoka kama waana wa Israel walivyochoka kukaa utumwani Babel ukawaokoa, tuokoe nasi katika makucha ya mafisadi na wadhulumati hawa magamba
 
Aman na utulivu wa nchi hii uko wapi? hivi kweli tunaweza kujenga nchi yetu kwa namna hii ya unyanyasaji uliopitilza? enough is enough let us unite together and fight 4 our right
 
Mahojiano yamekuwa marefu mno sijui wanachelewesha muda ili wamlaze selo huenda polisi wanafikiri hiyo itasaidi kumaliza hasira zao
 
huwa nasema, mara mia mungu akupe akili kuliko sura, najaribu kuhoji hivi hawa wenzetu wakiongozwa na mwema wamesomea wapi?wanatumia akili gani?uwezo wao wa kuchambi=ua mambo ukoje?kiburi na chuki kwa jamii wanayoipalilia kila saa wanapata wapi???je mishara wanayalipwa inatolewa na wilson mkama au kinana?je zuberi huyu ni mdudu gani??jeuri yote hii anaipata toka kwa nani?kwa kikwete?buliani batilda?mkuchika?ngoyai edward?au azizi rost?najaribu kuzungusha akili nione mwenye busara ni nani?aliyetoka interpoll kenya ameshindwa kabisa<, yeye ndo catalyst ya matatizo kati ya police na wananchi, je ni nani, tumtumie mzee wa kanda maalum anayedai mikusanyiko inasababisha alshabab kushambulia sanasana ile ya chadema na sio ya mpira sababu alshababu wanapenda mpira!
,
huu si wakati wa kutisha watanzania, tupo tayari kufa kutetea haki zetu zilizoporwa tangu miaka ya themanini mwishoni, shaka imeongezeka, elimu shida, usalama wa raia na mali zake shakani, wanaotakiwa kuzilinda ndo wanazipora, WANAOTAKIWA KUSIMAMIA ULINZI HUO NDO WANAWATUMA WEZI, WANAOTAKIWA KUTUNZA HESHIMA NA KULINDA UZALENDO NDO WANAOUHASI!hii nchi iko kwenye hali tete, tunahitaji kutangaza hali ya hatari, hali ya dharura kwa kila kitu,nchi tumewapa vihiyo kuanzia juu hadi chini!
,
NYIE POLISI HAMUONI MNAVYOJIPA SHIDA ZA BURE HAPO MBELENI?HAMJUI VITA INAYOKUJA ITAKUWA KATI YA MASKINI NA MATAJI+POLIS AMBAO WATAPIGANA KUJIFNYA MAMBWA KULINDA MATAJIRI WAO HUKU NYUMBANI HAWANA HATA CHUMVI?WATOTO WAO HATA SHULE HAWAENDI?NYIE SI NDA WATAALAM WA KUOMBA LIFTI, JE MNAKAA WAPI SASA MNA SEHEMU MAALUM YA KUISHI?MBONA HAMTUMII AKILI?HAMKUZALIWA KAMA WATU WENGINE, MASLAHI YA NCHI YANAYOLILIWA HAYAWAHUSU NYIE>??AMRI YA UTII NDO NINI NA INA MAANA GANI IWAPO MAMBO HAYAENDI KAMA INAVYOTAKIWA?NYIE SIO MAROBOT?TUMIENI AKILI NA MJUE TUNAUMIA LAKINI SIKU INAKUJA WALA SIO MBALI, IMEFIKA WAKATI HATA RISASI HATUZIOGOPI<MTAUA NA MTACHOKA LAKINI UKOMBOZI WA NCHI U KARIBU!TUMIENI AKILI ZENU ZA KUZALIWA KUPIMA AKILI ZA WALE WANAOWAFANYA NGAO ZAO!VITA IKITOKEA KUMBUKA HAWATAKIMBIA NA NYIE WATAKIMBIA NA FAMILIA ZAO!MSIWE J=KAMA MBWA MLANGONI KULINDA USIKU KUCHA MASHARA WAKE NI CHAKULA TU!
 
Kabakabana, updates tafadhali!

Unabishana na hawa mapunga ya nini? Hawajajua tu kwamba UK Embasy wanatoa viza bure,masharti ni mepesi tu:
1. Waombaji wote wawe na kadi ya kijani
2.Waombaji wavae misuli, na kama watavaa jeans, basi zip ziwe nyuma.
Deadline ni kabla Prince Charles hajaondoka, maana anatakiwa aondoke na orodha ya waombaji wote.
 
Lakini tuseme ukweli kuna ulazima kung'ang'ania mambo hayo umeaumea mpaka lini? A wise man changes his mind but a fool will never" nimeanza kupata mashaka na upeo na hekima za viongozi wetu. Are they real thinking of development? Cos tunatakiwa tupambane and at the same time maendeleo liwe top priority.
 
Watu wenye makengeza wanashida

Acha kunyanyapaa walemavu wewe...kama unamlenga Mbowe unadhani yeye tu ndio mwenye makengeza Duniani? Labda kuna watu wenye makengeza hapa jukwaani (JF), unataka wajisikiaje? Kwamba ni watu wenye mapungufu na wasiofaa kwenye jamii sababu tu ulemavu wao?

Tumia kichwa kufikiri, usiweke posti za kisaburi-saburi hapa!
 
Natamani mtiti wa A_city uhamie dar ili tugeuze viwanja vya mnazi mmoja kuwa Tahirir Square! Ee Mungu sikia kilio cha waja wako upesi tumechoka kama waana wa Israel walivyochoka kukaa utumwani Babel ukawaokoa, tuokoe nasi katika makucha ya mafisadi na wadhulumati hawa magamba

Dua lako limejibiwa Kesho maandamano ya Cdm yameitishwa na vijana yataanzia Kimara hadi Manzese
 
Huwezi kupuuza mambo kama we ni kiongozi wa kweli iwapo utaratibu na kanuni vimekiukwa!ndo maana hata sasa hivi iwapo mtu alipata kitu kwa kukiuka kanuni hata kama amekufa lazima haki ichul=kuliwe na apewe mtu mwingine!utaonekana bora iwapo utajua utarabu na sheria kwa ujumla vinasemaje!si kufunika kombe ili mwanaharamu apite no hilo halikubaliki!chama imari hakiwezi kuwa na sifa za kinyonga hata siku moja!lazima dunia ijue tunaposema hili hapana kwa sababu a b c d e... Lazima haya mambo yaheshimiwe barabara!!!!!!
 
Back
Top Bottom