The Stig
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,113
- 1,105
Tunachoshuhudia Arusha ni ile dhana ya kiswahili ya "Ukimwaga ugali, mimi namwaga mboga". Haitatufikisha popote!
Sanasana itapelekea hata miji kama Naivasha na Entebbe ku-anza kuitrotia hiyo nafasi ya ku-host makao makuu ya EAC. Kwa kusaidia wasiofikiri vizuri, hili likitokea itakua ni loss kubwa sana kwa Tanzania. Niji mingi ya EAC yanaimezea mate hiyo bahati ya Arusha.
Nawashauri watawala wetu wawe na busara inayozidi busara ya ule umati wa wana-Arusha. Waache kushindana na wananchi wao, wawape wanachotaka. Huu umeya wa Arusha hauwezi ukafidia hasara nchi itayopata kama Arusha ikipoteza u-Geneva wake uliopewa na mataifa ya ulimwengu, wakiwapo UN, EAC, Rais Clinton n.k.