Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

Hili ni balaa sasa Arusha jamani.Polisi huwa siku zote kumbe ni waongo sana wanasema Mbowe kakimbia wapi na kama alikimbia kwa nini walishindwa kumkamata? Hawa polisi vipi jamani?
 
Ameendelea kusema kuwa,hao wanaosema ametoroka na hapatikani wanamtafutia nini? Mbona juzi walivyotaka akawaondoe watu polisi walimpigia simu? Mbona simu yake iko hewani na hawajasema wanamtafuta sasa hivi?

Kasema huyu mkuu wa mkoa mpya Arusha Magesa anajua nini kuhusu Arusha? Kwani wananchi wangapi wamemchagua na kwa kura ngapi? Au ni kwa kupewa kazi tu na Kikwete?

Amesema yeye hategemei kupewa kazi na mtu yeyote serikalini na kwamba anajiamini.

Duu! Maneno makali sana kwa magesa. Kamanda mbowe wape ukweli wao hao wanafki wa magamba.
 
Polisi weneyewe wamechoka, wamepangwa barabara nzima jua kali kukagua kila gari inayoingia town, tokea kikatiti mpaka phillips ni ukaguzi tu wa nini umebeba.
 
akili za kuambiwa changanya na za kwako, kam,a hakukimbia alifanya nini? si alituambia hata waje na mabomu na risasi za moto hakimbii mtu, mbona mwenzie lisu waliekimbia nae kajiwasilisha polisi jana ileile
 
Tatizo la Mahakama zetu zinaendeshwa na wanasiasa hazina uhuru wa kimahakama,hivi ile sheria waliopitisha Bungeni ya "Wakuu wa Mikoa na wakuu wa Wilaya wawe wenyeviti wa udhibiti wa nidhamu wa Mahakimu" ilishaanza kutumika? Labda rais alishasaini na inafanya kazi kimya kimya. Jeuri hiyo ya mkuu wa mkoa wa Arusha ameipita wapi kwenda kuongea na Hakimu kabla kesi kuanza ?
 
Ndani wapi?
humu ndani mmezidi ushabiki,kazi zenu kushabikia wakat wenzenu wanaumia,wapuuzi wakubwa nyie,kama mmekosa kazi kalaleni wapumbafu nyie,yan ss ndugu zetu wengine wanaumia huku kwasababu ya ushabiki wenu,njooni na nyie huku.
 
akili za kuambiwa changanya na za kwako, kam,a hakukimbia alifanya nini? si alituambia hata waje na mabomu na risasi za moto hakimbii mtu, mbona mwenzie lisu waliekimbia nae kajiwasilisha polisi jana ileile
ameshasema hajakimbia sasa nani unamletea mapovu humu.
 
akili za kuambiwa changanya na za kwako, kam,a hakukimbia alifanya nini? si alituambia hata waje na mabomu na risasi za moto hakimbii mtu, mbona mwenzie lisu waliekimbia nae kajiwasilisha polisi jana ileile

Hivi we kilasa unajua maana ya kukimbia?
Jitaidi kutumia akili hata kama unazo kidogo tumia hivyohivyo.
 
Mi naisubili 2 kwa ham hiyo tareh 14 kama watakuwa wanamtafuta watakutana nae 2 ndiyo wamkamate .Maana cku hiyo ndiyo cku ya kesi ya LEMA.
Na kutakuwa na kesi nyingine hapo hapo mahakaman ya kibaraka na mtumwa wa ccm mafixad.
Cku hiyo hapata tosha kama wafuas cdm wataenda kusikiliza kes ya lema na wafuas wa ccm nao waende kusikiliza.

Na kama wote wataenda kwa maandamano sasa cjui polis watafanyaje.
Inabidi cku hyo polis wa tz wote wahamie arusha.
 
NEVER NEVER ON EARTH

Kamanda Mbowe ninavyomfahamu asingeweza, wala hata weza kukimbia polisi kutokana na ujasiri na uchungu alionao katika ukombozi wa nchi hii mikononi mwa Mafisadi na serikali dhaifu ya CCM.
 
Ameendelea kusema kuwa,hao wanaosema ametoroka na hapatikani wanamtafutia nini? Mbona juzi walivyotaka akawaondoe watu polisi walimpigia simu? Mbona simu yake iko hewani na hawajasema wanamtafuta sasa hivi?

Kasema huyu mkuu wa mkoa mpya Arusha Magesa anajua nini kuhusu Arusha? Kwani wananchi wangapi wamemchagua na kwa kura ngapi? Au ni kwa kupewa kazi tu na Kikwete?

Amesema yeye hategemei kupewa kazi na mtu yeyote serikalini na kwamba anajiamini.

Swali kwa mbowe ilikuwa watu wakeshe siku saba mbona imekua moja?au hizo siku sita zilizobaki zinamalizikia hai?au ulimtosa padri kwa maslai yako binafsi?
 
Swali kwa mbowe ilikuwa watu wakeshe siku saba mbona imekua moja?au hizo siku sita zilizobaki zinamalizikia hai?au ulimtosa padri kwa maslai yako binafsi?

Ama kweli maneno huumba,unajiita haramu hata wewe kuwepo kwako humu ni haramu.
 
Back
Top Bottom