Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

Lakini tuseme ukweli kuna ulazima kung'ang'ania mambo hayo umeaumea mpaka lini? A wise man changes his mind but a fool will never" nimeanza kupata mashaka na upeo na hekima za viongozi wetu. Are they real thinking of development? Cos tunatakiwa tupambane and at the same time maendeleo liwe top priority.
Ni Ukichaa kutegemea kulijaza debe lililotoboka. Lizibe kwanza ndio uanze kujaza maji. Utaleta maendeleo gani wakati kila kinachozalishwa kinaishia mifukoni mwa Mafisadi. Mpaka Misaada ya Wafadhili yanaishia mikononi mwao. Sasa utazalisha kiasi gani ambacho hata wakikitia mifukoni kwao bado kutabikiwa na cha kukuletea maendeleo wakati kila siku wanazidi kuongezeka maana sasa sio wao tu mpaka watoto zao ndio hao unawasikia Wapo kwenye kugawiwa UDA, kuchota pesa zilizorudishwa na wezi wa EPA. n.k!
 
Mtu ukiwa hauna shughuli muhimu ya kufanya mawazo yako yanakuwa - yaani negative badala ya kuwaza watoto wako wataishi vipi unawaza machafuko
 
Mbowe ni kamanda wa ukweli sana wewe ritz,haogopi kitu kamanda,yeye anafedha mbaya sema yupo kwa ajili ya kutetea wananchi wake
 
Nackia kwamba kamanda kakataa dhamana.je hili nalo limekaa vp?

Hii mambo yenu ya NACKIA inaboa sana, imekaa kiudaku zaidi, kama umesiki endelea kusikia usitultee hapa vitu vya kusikia. Tunataka FACT!!!
 
Hivi mbona siwaelewi hawa police. Akina Slaa walibaki pale wamewakamata kwa kukataa kutii amri. Mbowe alikuwa hayupo wakati ule which might also mean alitii amri. sasa mbona wanataka naye kumfungulia kesi. Halfu cha ajabu kati ya maelfu ya watu wamekamata 26 tu. Je hii inamaanisha wanatarget zao ua wanatafuta wavunja sheria kweli??
 
Mbowe ni kamanda wa ukweli sana wewe ritz,haogopi kitu kamanda,yeye anafedha mbaya sema yupo kwa ajili ya kutetea wananchi wake

Nakubaliana na wewe kuwa "anafedha mbaya" kwani nnajuwa kuwa ana fedha za NSSF ambazo mpaka leo hataki kurudisha, alikopa.
 
Wanazidi kuchochea mgogoro kuwa mkubwa badala ya kuupunguza,mahakama ya Arusha itabadilika kuwa ndio mahakama rasmi ya kesi za Chadema maana mpaka sasa wana kesi nyingi sana na hakuna hata moja ambayo imeisha,na kwa utaratibu wa mahakama na polisi kwa ujumla kesi hizi hazitakwisha na zitachukua kipindi kirefu sana na kuufanya mkoa wa Arusha kuwa na vuguvugu wakati wote wa kesi hizi.

Nenda Mbowe nawe wakupe kesi yako maana inawezekana wakaja na yako mpya ya kukimbia mkono halali wa Polisi.unge

Take a siesta; I am sure magamba given you too much to eat....CDM ni makini kama hufahamu..comprises of high intellectuals so they know what they are doing....
 
Hivi mbona siwaelewi hawa police. Akina Slaa walibaki pale wamewakamata kwa kukataa kutii amri. Mbowe alikuwa hayupo wakati ule which might also mean alitii amri. sasa mbona wanataka naye kumfungulia kesi. Halfu cha ajabu kati ya maelfu ya watu wamekamata 26 tu. Je hii inamaanisha wanatarget zao ua wanatafuta wavunja sheria kweli??

Kwa mara ya kwanza nimeona mchaga anakimbia kuliko mmbulu
 
h
NYIE POLISI HAMUONI MNAVYOJIPA SHIDA ZA BURE HAPO MBELENI?HAMJUI VITA INAYOKUJA ITAKUWA KATI YA MASKINI NA MATAJI+POLIS AMBAO WATAPIGANA KUJIFNYA MAMBWA KULINDA MATAJIRI WAO HUKU NYUMBANI HAWANA HATA CHUMVI?WATOTO WAO HATA SHULE HAWAENDI?NYIE SI NDA WATAALAM WA KUOMBA LIFTI, JE MNAKAA WAPI SASA MNA SEHEMU MAALUM YA KUISHI?MBONA HAMTUMII AKILI?HAMKUZALIWA KAMA WATU WENGINE, MASLAHI YA NCHI YANAYOLILIWA HAYAWAHUSU NYIE>??AMRI YA UTII NDO NINI NA INA MAANA GANI IWAPO MAMBO HAYAENDI KAMA INAVYOTAKIWA?NYIE SIO MAROBOT?TUMIENI AKILI NA MJUE TUNAUMIA LAKINI SIKU INAKUJA WALA SIO MBALI, IMEFIKA WAKATI HATA RISASI HATUZIOGOPI<MTAUA NA MTACHOKA LAKINI UKOMBOZI WA NCHI U KARIBU!TUMIENI AKILI ZENU ZA KUZALIWA KUPIMA AKILI ZA WALE WANAOWAFANYA NGAO ZAO!VITA IKITOKEA KUMBUKA HAWATAKIMBIA NA NYIE WATAKIMBIA NA FAMILIA ZAO!MSIWE J=KAMA MBWA MLANGONI KULINDA USIKU KUCHA MASHARA WAKE NI CHAKULA TU!

Kumbuka hili la sasa sio jeshi la POLICE ulilolizoea, hii sasa ni POLICCM.

Halafu umesahau uhusiano wa mkuu wa POLICCM na mkuu. "******! ****** kare ka shemeji ketu"
 
Nakubaliana na wewe kuwa "anafedha mbaya" kwani nnajuwa kuwa ana fedha za NSSF ambazo mpaka leo hataki kurudisha, alikopa.
We lazima tu watakuwa wanakusokomeza.Kwani nani aliyekuzuia na wewe kukopa halafu usirudishe?Mbona Mzee Cheyo alijaribu nyumba yake ikauzwa?
 
Ningekuwa mim ningeuchuna kwan ni aibu kubwa sana. wao polis walikuwa ni weng sana cha kushangaza idadi ya wa2humiwa waliokamatwa ni chache sana.Na huku waliokesha walikuwa mamia na wamekesha wakicheza mziki mpaka walipo fika wenyewe wamepiga mabom ya machoz na bado wakashindwa kuwakamata raia wakutosha.Je kama ingekuwa ni mchana na hawajakesha bado wana nguvu wangefanikiwa kukamata mtu.Au wangeishia kuwapiga risasi za moto?
 
Nakubaliana na wewe kuwa "anafedha mbaya" kwani nnajuwa kuwa ana fedha za NSSF ambazo mpaka leo hataki kurudisha, alikopa.
FF hivi unapika saa ngapi na mwili wako unaupa saa ngapi ile chakula ya kikubwa maana sio usiku sio mchana wewe upo hapa JF na story zako zilizochacha.
Au chakula ya mchana na ile ya kikubwa unamalizia hapohapo Lumumba na kina Tambwe, Mwigulu na yule aliyekuwa safari ya kuimarisha chama USA?
 
Back
Top Bottom