Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

Mtu makini hutumia mambo/vitu vinavyooneka kutafsiri yasiyoonekana ama yaliyojificha. Kwa kifupi naiamini sana intelijensia ya CHADEMA. Kuna uhuni uliwahi kufanyika SAUT mwanza mwaka 2013-2014 nadhani ndo unaomfanya mwenyekiti amakinike sana.
 
yaan msigwa umepewa upige penati huku golini kukiwa hakuna kipa, lakin cha ajabu unagonga mwamba wa goli ndipo unapata bao, sasa je, golini kungekuwa na kipa ungefunga kwl!!?
 
Elewa mantiki,Sio kukurupuka!
Ccm itoke madarakani maana imeishiwa pumzi!Hayo mambo sijui ya mwenyekiti mkoa ndio iwe angle yenu,ni upuuzi tu!
Kuna watu wanapenyeza mapandikizi,lazima yazuiwe kwa namna yoyote!
baada ya kuchukua makapi ya ccm sasa chadema imenywea.
 
Kamuulize afande Sele atakwambia kama ACT kuna demokrasia,

by the way ile mbinu yenu ya kujitoa ili ku-make headline kwenye magazeti inaendeleaje.
Au tumuulize Nassari anayewaita nyie vichaa kisa mnampinga Magufuli?

Kuna chama kinachopenda headline kukishinda chama chenu? Hata EL akienda maliwato mnatutangazia
 
anzisha chama chako mkuu kama wale ACT na ndipo utajua kuwa kukuza chama na kukitangaza ni kazi
 
Nimekuelewa sana kumbe Mbowe ndiye dikiteita no 1 Tanzania Na ndio maana anakuwa mkiti wa maisha wa CDM tunaomba ajitafakari kwa hili Na tuna muhitaji Kijana wetu Ben msaidizi wake aliyetoweka Na kushindwa kutoa taarifa ya kupotea kwakwe mpaka mitandao ndo iliibua sakata la Ben kuna neno hapo wadau kwa hili tuungane tumeshoswa Na utapeli wa mkiti wetu wa maisha anaye andaa safu ya uchaguzi Ndani ya chama ujao nimeanza kuogopa !!!!!!!
 
Hivi majukumu ya Mwenyekiti wa Kanda mnayajua vzr!

Huyu Sosopi atulie tu, hii nafasi inamfaa Msigwa maana yeye ni mzoefu na kapitia misukosuko mingi sana kitaifa, najua hata Sosopi ni mzoefu kwa maana ya kupitia misukosuko mbalimbali hivyo kumjengea umahiri fulani, lakini kwa Msigwa na aina ya Siasa za kipindi hiki cha Magufuli, hiyo nafasi inamfaa sana Msigwa.
 
Tuombe Mheshimiwa Mbowe au Tumaini Makene wajitokeze kujibu tuhuma hizi maana zina damage kubwa kwenye chama chetu.
Chadema ni taasisi sio lazima kila kitu kitolewe maelezo na Mbowe, ishu hii ni size ya Mkiti wa kanda.
 
Anaandika Boniface Mwabugusi

HAKIKA SIWEZI KULA CHAKULA KATIKA MEZA HII.

HATUNA UHALALI TENA WA KUMLALAMIKIA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Mwenyekiti yule aliingia na majina ya Wagombea kwenye KARATASI MFUKONI ila Mwenyekiti huyu amekuja na majina yake yenye jina la wake kwenye MKOBA WA KOKOA.

Kimsingi sikuamini kama kuna weza kuwa na Maagizo.Asubuhi yaleo nilipata Ujumbe wa kinabii kuhusu UKWELI.Neno la Mungu ni Upanga ukatao kotekote kumbe nilipewa neno lile ili kujua kwamba mida hii nitalazimika kutoa neno hili.

Uchaguzi wa CHADEMA NYASA siyo tu ni uhuni uliovuka Mipaka bali ni viini macho maluweluwe na Hardakadabra za Kisiasa.Haiwezekani chama chenye uwoga wa Demokrasia namna hii ya ndani tu kijinasibu eti kina kwenda kuchukua Nchi mwaka 2020 labda nchi ya kufikirika.cHAMA CHA NAMNA HII NI HATARI KABISA NA IWAPO HAKI JIAMINI NA KINAKIMBIZANA NA KIVULI CHAKE CHENYEWE SIKU KIKIKUTANA NA KIVULI KINZANIA KITA UWA KWA BOMU.ETI WANAKATA WAGOMBEA WOTE NA KUTULETEA JINA LA MGOMBEA NA KIVULI CHA MTU ....KHAAA KARNE HIIII

Sihoji sifa za walio bebwa na Mbeleko hii wengi wanasifa stahili kabisa na najuwa wamelazimika kufika hapo kama mbinu shirikishi tu ya Kiti kufika hapo ...hao wengi wangeweza kupita kwa hiyari yao kabisa bila hizi ila kwa sababu TOTO PENDWA atapitaje ilibidi TOTO TUNDU AKTWE....Kumbe kale kaposti ka nimetumwa na chama kalikuwa na ukweli ...Wagombea wanafasi zingine ni watu waadilifu ila kwa Hofu ya Mwenyekiti wa Chama anaonekana kutaka kufanya kile anacho kiamini yeye kuwa ni sahihi na kuweka watu anao wataka yeye kumpigia vigelegele.Kwanini aminye demokrasia....kwanini vikao voiendeshwe na kukanyaga kanyaga katiba....Nivema tukajua chama hiki kina Katiba AU KINAONGOZWA NA FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI MBOWE?! AIBU?!

Nilikuwa pale nimejisikia aibu kupindukia na sina TABIA YA KUSEMA UWONGO NA PENDA KUSEMA KWELI DAIMA NA KULIPA GHARAMA YA UKWELI HUO. CHADEMA kwa yaliyotokea Kanda ya Nyasa Mbele ya sehemu ya Kamati Kuu unafanyika utumbo na uhuni huu Sasa tunapata Viongozi kwa njia za kimachiaveli.....hILA,GHILABA NA USIGINAJI WA kATIBA ...tUNA HAKI GANI YA KUMKOSOA MAGUFULI...Tuna haki gani ya kumkosoa TULIA pale Bungeni...Tuna haki gani ya Kumlaani Jecha...Jecha alifuta matokeo sisi tunafuta wagombea UJINGA !

Hii ni aibu kubwa na Kuanzia sasa ni MNAFIKI...MBUMBUMBU ,**** NA MTU MWENYE TAAHIRA YA AKILI ATAKAYE KUBALIANA NA KAULI ZA HOVYO KAMA KUPINGA UDIKTEKTA WA MAGUFULI....SIJUI KUPINGA UDIKTETA WA TULIA ACKSON kwani kwa hila hizi za kusafirisha wajumbe kuja kushuhudia viini macho na maluweluwe TUNA LAZIMISHWA KUTHIBITISHA UNYUMBU KWA KUWEKA SAINI ZETU ZA VIDOLE....HII NI AIBU YA MWAKA NA MWENDA WAZIMU TU ATAKAYE KUBALIANA NA HILI.Kama Kamati Kuu inabusara kiasi hiki kwanini haikuwazuia wajumbe kwamba wasije kutoka huko waliko KAMA BUSARA ZA KITI ZINA TOSHA?!

Usiniulize kwamba ukaseme kwenye vikao vya chama mimi nitakujibu kwamba TUNAPO MKOSOA MWENYEKITI YULE WA CHAMA KILE HAPA HAPA BASI NA MWENYE KITI HUYU WACHAMA HIKI NA MAZINGAOMBWE YAKE TUTAMKOSOA HAPA HAPA.......

NIMEJISIKIA AIBU KUBWA KUWA SEHEMU YA HISTORIA HII YA KIJINGA ...SIWEZI KUKWEPA KUWAJIBIKA KWA KUKUBALI UJINGA HUU ....

Nilikuwa mbishi mara nyingi na nikipenda kusimama katika haki NI UHUNI NA UTAAHIRA KUENDELEA KUPIGA MBIZI KWENYE LAMI.

1. WATU WANAUWAWA
2.WATU WANASHITAKIWA
3.WATU WANA POTEA
4. WATU WANAFUNGWA

nimesema mara nyingi TUKIENDELEA KUPINGA UDIKTETA WA VIONGOZI HAWA TUSI SAHAU UKORA KATIA VYAMA VYETU ...TATIZO NI PALE UKORA UNAPOFANYWA NA ALIYETAKIWA KUZUIA UKORA.TUMEKWENDA HATUA 30 MBELE NA KURUDI NYUMA HATUA 29 NA KWA UJUHA TUTAKAA CHINI TUKIPONGEZANE ETI KUIONDOA CCM MWAKA 2020 .....TUKIFANIKIWA KWA NJIA HII HAKIKA HATA SHETANI ATAOKOKA.....HE BU ANGALIA TOFAUTI HII KURA ZA NDIYO 62 NA ZA HAPANA 44 yaani KIVULI NA MTU kwa nafasi ya mwenyekiti wana pishana kwa kura chache kiasi hiki nini maana yake?!

SIOGOPI KUSEMA UKWELI NITASEMA TU EVEN IF IT MEANS THE SKY TO FALL HAYA NI MATUSI KWA WATU WOTE WENYE AKILI TIMAMU NA MIMI NINALAANI KWA NGUVU ZOTE UPUUZI NA UJINGA HUU WA KIPUUZI KABISA...LETS COME AS IT MAY IAM READY TO PAY THE COST

Wajumbe halali ni 98
Waliosusia 28
Waliopiga kura ni 106
Kura za ndio kwa msigwa 62
Kura za hapana ni 44

Hii ikiwa na maana Ukichukua 44+28=72 ndio ulikuwa ushindi wa Sosopi. Kura zilizoongezeka kwa zile zilizopigwa ni 8
Yaan 106-8=8

Wajumbe waliopaswa kubaki ndani ukiondo waliokuwa wamekataa kuingia ndani ni 70 ni 98-28=70

Hii ikiwa na maana kulikuwa na wapiga kura 36 walioletwa na kuwa wajumbe wasio halali yaani 106-70=36
Hii inamaanisha kwamba katika hali ya kawaida hata kama wajumbe wale 28 wasingeingia kama walivyofanya mh Msigwa angeshinda kwa kura 26 tu 70-44=26

Yaani kwa ufupi kwa kutumia wajumbe halali
Sosopi 72 (73.5%)
Msigwa 26 (26.5%)
We sasa ninawasawasi nawe kama ulitumwa ili ukipata ukivuruge Chama imekula kwako...

1. Kama madai unayosema ni ya kweli kwanini unatumia nguvu sana kuandika kwenye mitandandao wakati kuna proper way unaijua unaweza kutumia?

2. Mbona ulipoitwa na kamati kuu uliambiwa kuhusu uamuzi huu na haukutoa maoni haya kwa Mbwe unayemtuhumu Leo hapa?

3. Mbona unalalamikia Sosopi kukatwa wakati yeye hajalalamika baada ya kupewa sababu za msingi Wa yeye kuondolewa?

Ni naona kwamba hiki unachofanya kwa kuchafua Chama na viongozi kwenye mitandao ya kijamii ndicho ungelifanya Mara kama ungepata kama ungeshinda nafasi.

Hakuna demokrasia isiyokuwa na mipaka na ndo maana kuna katiba. Jifunze kuwa na staha na sifa za kiongozi maana kwa hali hii naona we una sifa za kuwa mtawala...kafie mbali huko.
 
Anaandika Boniface Mwabugusi

HAKIKA SIWEZI KULA CHAKULA KATIKA MEZA HII.

HATUNA UHALALI TENA WA KUMLALAMIKIA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Mwenyekiti yule aliingia na majina ya Wagombea kwenye KARATASI MFUKONI ila Mwenyekiti huyu amekuja na majina yake yenye jina la wake kwenye MKOBA WA KOKOA.

Kimsingi sikuamini kama kuna weza kuwa na Maagizo.Asubuhi yaleo nilipata Ujumbe wa kinabii kuhusu UKWELI.Neno la Mungu ni Upanga ukatao kotekote kumbe nilipewa neno lile ili kujua kwamba mida hii nitalazimika kutoa neno hili.

Uchaguzi wa CHADEMA NYASA siyo tu ni uhuni uliovuka Mipaka bali ni viini macho maluweluwe na Hardakadabra za Kisiasa.Haiwezekani chama chenye uwoga wa Demokrasia namna hii ya ndani tu kijinasibu eti kina kwenda kuchukua Nchi mwaka 2020 labda nchi ya kufikirika.cHAMA CHA NAMNA HII NI HATARI KABISA NA IWAPO HAKI JIAMINI NA KINAKIMBIZANA NA KIVULI CHAKE CHENYEWE SIKU KIKIKUTANA NA KIVULI KINZANIA KITA UWA KWA BOMU.ETI WANAKATA WAGOMBEA WOTE NA KUTULETEA JINA LA MGOMBEA NA KIVULI CHA MTU ....KHAAA KARNE HIIII

Sihoji sifa za walio bebwa na Mbeleko hii wengi wanasifa stahili kabisa na najuwa wamelazimika kufika hapo kama mbinu shirikishi tu ya Kiti kufika hapo ...hao wengi wangeweza kupita kwa hiyari yao kabisa bila hizi ila kwa sababu TOTO PENDWA atapitaje ilibidi TOTO TUNDU AKTWE....Kumbe kale kaposti ka nimetumwa na chama kalikuwa na ukweli ...Wagombea wanafasi zingine ni watu waadilifu ila kwa Hofu ya Mwenyekiti wa Chama anaonekana kutaka kufanya kile anacho kiamini yeye kuwa ni sahihi na kuweka watu anao wataka yeye kumpigia vigelegele.Kwanini aminye demokrasia....kwanini vikao voiendeshwe na kukanyaga kanyaga katiba....Nivema tukajua chama hiki kina Katiba AU KINAONGOZWA NA FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI MBOWE?! AIBU?!

Nilikuwa pale nimejisikia aibu kupindukia na sina TABIA YA KUSEMA UWONGO NA PENDA KUSEMA KWELI DAIMA NA KULIPA GHARAMA YA UKWELI HUO. CHADEMA kwa yaliyotokea Kanda ya Nyasa Mbele ya sehemu ya Kamati Kuu unafanyika utumbo na uhuni huu Sasa tunapata Viongozi kwa njia za kimachiaveli.....hILA,GHILABA NA USIGINAJI WA kATIBA ...tUNA HAKI GANI YA KUMKOSOA MAGUFULI...Tuna haki gani ya kumkosoa TULIA pale Bungeni...Tuna haki gani ya Kumlaani Jecha...Jecha alifuta matokeo sisi tunafuta wagombea UJINGA !

Hii ni aibu kubwa na Kuanzia sasa ni MNAFIKI...MBUMBUMBU ,**** NA MTU MWENYE TAAHIRA YA AKILI ATAKAYE KUBALIANA NA KAULI ZA HOVYO KAMA KUPINGA UDIKTEKTA WA MAGUFULI....SIJUI KUPINGA UDIKTETA WA TULIA ACKSON kwani kwa hila hizi za kusafirisha wajumbe kuja kushuhudia viini macho na maluweluwe TUNA LAZIMISHWA KUTHIBITISHA UNYUMBU KWA KUWEKA SAINI ZETU ZA VIDOLE....HII NI AIBU YA MWAKA NA MWENDA WAZIMU TU ATAKAYE KUBALIANA NA HILI.Kama Kamati Kuu inabusara kiasi hiki kwanini haikuwazuia wajumbe kwamba wasije kutoka huko waliko KAMA BUSARA ZA KITI ZINA TOSHA?!

Usiniulize kwamba ukaseme kwenye vikao vya chama mimi nitakujibu kwamba TUNAPO MKOSOA MWENYEKITI YULE WA CHAMA KILE HAPA HAPA BASI NA MWENYE KITI HUYU WACHAMA HIKI NA MAZINGAOMBWE YAKE TUTAMKOSOA HAPA HAPA.......

NIMEJISIKIA AIBU KUBWA KUWA SEHEMU YA HISTORIA HII YA KIJINGA ...SIWEZI KUKWEPA KUWAJIBIKA KWA KUKUBALI UJINGA HUU ....

Nilikuwa mbishi mara nyingi na nikipenda kusimama katika haki NI UHUNI NA UTAAHIRA KUENDELEA KUPIGA MBIZI KWENYE LAMI.

1. WATU WANAUWAWA
2.WATU WANASHITAKIWA
3.WATU WANA POTEA
4. WATU WANAFUNGWA

nimesema mara nyingi TUKIENDELEA KUPINGA UDIKTETA WA VIONGOZI HAWA TUSI SAHAU UKORA KATIA VYAMA VYETU ...TATIZO NI PALE UKORA UNAPOFANYWA NA ALIYETAKIWA KUZUIA UKORA.TUMEKWENDA HATUA 30 MBELE NA KURUDI NYUMA HATUA 29 NA KWA UJUHA TUTAKAA CHINI TUKIPONGEZANE ETI KUIONDOA CCM MWAKA 2020 .....TUKIFANIKIWA KWA NJIA HII HAKIKA HATA SHETANI ATAOKOKA.....HE BU ANGALIA TOFAUTI HII KURA ZA NDIYO 62 NA ZA HAPANA 44 yaani KIVULI NA MTU kwa nafasi ya mwenyekiti wana pishana kwa kura chache kiasi hiki nini maana yake?!

SIOGOPI KUSEMA UKWELI NITASEMA TU EVEN IF IT MEANS THE SKY TO FALL HAYA NI MATUSI KWA WATU WOTE WENYE AKILI TIMAMU NA MIMI NINALAANI KWA NGUVU ZOTE UPUUZI NA UJINGA HUU WA KIPUUZI KABISA...LETS COME AS IT MAY IAM READY TO PAY THE COST

Wajumbe halali ni 98
Waliosusia 28
Waliopiga kura ni 106
Kura za ndio kwa msigwa 62
Kura za hapana ni 44

Hii ikiwa na maana Ukichukua 44+28=72 ndio ulikuwa ushindi wa Sosopi. Kura zilizoongezeka kwa zile zilizopigwa ni 8
Yaan 106-8=8

Wajumbe waliopaswa kubaki ndani ukiondo waliokuwa wamekataa kuingia ndani ni 70 ni 98-28=70

Hii ikiwa na maana kulikuwa na wapiga kura 36 walioletwa na kuwa wajumbe wasio halali yaani 106-70=36
Hii inamaanisha kwamba katika hali ya kawaida hata kama wajumbe wale 28 wasingeingia kama walivyofanya mh Msigwa angeshinda kwa kura 26 tu 70-44=26

Yaani kwa ufupi kwa kutumia wajumbe halali
Sosopi 72 (73.5%)
Msigwa 26 (26.5%)
Tambua kitu kimoja muhimu sana, kuendesha upinzani Afrika siyo kazi nyepesi kama unavyotaka kuaminisha watu. Ndani ya upinzani, vyama tawala Afrika vimejaza mamluki na siyo kazi rahisi kuwatambua.
 
Mbowe mjanja mjanja. Siasa za kitanzania zinahitaji ujana zaidi ya uhalisia.lakin hata Mimi kati msaidizi WA bavicha na msigwa ningemchagua msigwa.

Mbowe mjinja sana. Tena sana.
Mfanyabiashara ni mfanyabiashara tu.
 
Au tumuulize Nassari anayewaita nyie vichaa kisa mnampinga Magufuli?

Kuna chama kinachopenda headline kukishinda chama chenu? Hata EL akienda maliwato mnatutangazia
Headline za Chadema zinafanywa na wapinzani wake, mfano hii thread imejaa Lumumba tupu ukiwepo wewe unayewakilisha chama mfu cha ACT Mwandiga.
 
Mwigulu tena....!!!

Mwigulu nchemba alipigiwa kura za maoni na wanakijiji kizima cha mugundu na kuzidi, yaani wakubwa kwa watoto na kwamba wote walikuwa wanachama wa ccm.
Ndio akawashinda kina Jairo.
Acheni kuisumbua jamii na ma theory yenu ya kimagumashi
 
Wengi mnakurupuka kutaka madaraka ndani ya Chadema bila kujua Mbowe alipokitoa hiki chama. Yuko sahihi kabisa kuchagua wale anaowafahamu vizuri kuwa na uzalendo na msimamo thabiti ndani ya chama kuliko watu wa kuja ambao hawaoni shida kugeuka mamluki wa CCM kwa sababu ya njaa zao. Hata ningekuwa mimi ni Mbowe ningefanya hivyo. CCM wanajitahidi sana kuingiza mamluki ndani ya Chadema hasa katika nafasi muhimu za uongozi, kama si jitihada za Mbowe kuwatambua na kuwakatilia mbali, chadema ingeshakufa siku nyingi.
 
Hivi majukumu ya Mwenyekiti wa Kanda mnayajua vzr!

Huyu Sosopi atulie tu, hii nafasi inamfaa Msigwa maana yeye ni mzoefu na kapitia misukosuko mingi sana kitaifa, najua hata Sosopi ni mzoefu kwa maana ya kupitia misukosuko mbalimbali hivyo kumjengea umahiri fulani, lakini kwa Msigwa na aina ya Siasa za kipindi hiki cha Magufuli, hiyo nafasi inamfaa sana Msigwa.
Mkuu umeongea kitu cha msingi sana ambacho wengi hasa wana Lumumba hawakioni.

Msigwa anafaa hata Sosopi anafaa lakini kwa viwango na maeneo tofauti ya kazi, siasa za awamu hii sio za kujifunzia zinahitaji kiongozi mzoefu.
 
Anaandika Boniface Mwabugusi

HAKIKA SIWEZI KULA CHAKULA KATIKA MEZA HII.

HATUNA UHALALI TENA WA KUMLALAMIKIA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Mwenyekiti yule aliingia na majina ya Wagombea kwenye KARATASI MFUKONI ila Mwenyekiti huyu amekuja na majina yake yenye jina la wake kwenye MKOBA WA KOKOA.

Kimsingi sikuamini kama kuna weza kuwa na Maagizo.Asubuhi yaleo nilipata Ujumbe wa kinabii kuhusu UKWELI.Neno la Mungu ni Upanga ukatao kotekote kumbe nilipewa neno lile ili kujua kwamba mida hii nitalazimika kutoa neno hili.

Uchaguzi wa CHADEMA NYASA siyo tu ni uhuni uliovuka Mipaka bali ni viini macho maluweluwe na Hardakadabra za Kisiasa.Haiwezekani chama chenye uwoga wa Demokrasia namna hii ya ndani tu kijinasibu eti kina kwenda kuchukua Nchi mwaka 2020 labda nchi ya kufikirika.cHAMA CHA NAMNA HII NI HATARI KABISA NA IWAPO HAKI JIAMINI NA KINAKIMBIZANA NA KIVULI CHAKE CHENYEWE SIKU KIKIKUTANA NA KIVULI KINZANIA KITA UWA KWA BOMU.ETI WANAKATA WAGOMBEA WOTE NA KUTULETEA JINA LA MGOMBEA NA KIVULI CHA MTU ....KHAAA KARNE HIIII

Sihoji sifa za walio bebwa na Mbeleko hii wengi wanasifa stahili kabisa na najuwa wamelazimika kufika hapo kama mbinu shirikishi tu ya Kiti kufika hapo ...hao wengi wangeweza kupita kwa hiyari yao kabisa bila hizi ila kwa sababu TOTO PENDWA atapitaje ilibidi TOTO TUNDU AKTWE....Kumbe kale kaposti ka nimetumwa na chama kalikuwa na ukweli ...Wagombea wanafasi zingine ni watu waadilifu ila kwa Hofu ya Mwenyekiti wa Chama anaonekana kutaka kufanya kile anacho kiamini yeye kuwa ni sahihi na kuweka watu anao wataka yeye kumpigia vigelegele.Kwanini aminye demokrasia....kwanini vikao voiendeshwe na kukanyaga kanyaga katiba....Nivema tukajua chama hiki kina Katiba AU KINAONGOZWA NA FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI MBOWE?! AIBU?!

Nilikuwa pale nimejisikia aibu kupindukia na sina TABIA YA KUSEMA UWONGO NA PENDA KUSEMA KWELI DAIMA NA KULIPA GHARAMA YA UKWELI HUO. CHADEMA kwa yaliyotokea Kanda ya Nyasa Mbele ya sehemu ya Kamati Kuu unafanyika utumbo na uhuni huu Sasa tunapata Viongozi kwa njia za kimachiaveli.....hILA,GHILABA NA USIGINAJI WA kATIBA ...tUNA HAKI GANI YA KUMKOSOA MAGUFULI...Tuna haki gani ya kumkosoa TULIA pale Bungeni...Tuna haki gani ya Kumlaani Jecha...Jecha alifuta matokeo sisi tunafuta wagombea UJINGA !

Hii ni aibu kubwa na Kuanzia sasa ni MNAFIKI...MBUMBUMBU ,**** NA MTU MWENYE TAAHIRA YA AKILI ATAKAYE KUBALIANA NA KAULI ZA HOVYO KAMA KUPINGA UDIKTEKTA WA MAGUFULI....SIJUI KUPINGA UDIKTETA WA TULIA ACKSON kwani kwa hila hizi za kusafirisha wajumbe kuja kushuhudia viini macho na maluweluwe TUNA LAZIMISHWA KUTHIBITISHA UNYUMBU KWA KUWEKA SAINI ZETU ZA VIDOLE....HII NI AIBU YA MWAKA NA MWENDA WAZIMU TU ATAKAYE KUBALIANA NA HILI.Kama Kamati Kuu inabusara kiasi hiki kwanini haikuwazuia wajumbe kwamba wasije kutoka huko waliko KAMA BUSARA ZA KITI ZINA TOSHA?!

Usiniulize kwamba ukaseme kwenye vikao vya chama mimi nitakujibu kwamba TUNAPO MKOSOA MWENYEKITI YULE WA CHAMA KILE HAPA HAPA BASI NA MWENYE KITI HUYU WACHAMA HIKI NA MAZINGAOMBWE YAKE TUTAMKOSOA HAPA HAPA.......

NIMEJISIKIA AIBU KUBWA KUWA SEHEMU YA HISTORIA HII YA KIJINGA ...SIWEZI KUKWEPA KUWAJIBIKA KWA KUKUBALI UJINGA HUU ....

Nilikuwa mbishi mara nyingi na nikipenda kusimama katika haki NI UHUNI NA UTAAHIRA KUENDELEA KUPIGA MBIZI KWENYE LAMI.

1. WATU WANAUWAWA
2.WATU WANASHITAKIWA
3.WATU WANA POTEA
4. WATU WANAFUNGWA

nimesema mara nyingi TUKIENDELEA KUPINGA UDIKTETA WA VIONGOZI HAWA TUSI SAHAU UKORA KATIA VYAMA VYETU ...TATIZO NI PALE UKORA UNAPOFANYWA NA ALIYETAKIWA KUZUIA UKORA.TUMEKWENDA HATUA 30 MBELE NA KURUDI NYUMA HATUA 29 NA KWA UJUHA TUTAKAA CHINI TUKIPONGEZANE ETI KUIONDOA CCM MWAKA 2020 .....TUKIFANIKIWA KWA NJIA HII HAKIKA HATA SHETANI ATAOKOKA.....HE BU ANGALIA TOFAUTI HII KURA ZA NDIYO 62 NA ZA HAPANA 44 yaani KIVULI NA MTU kwa nafasi ya mwenyekiti wana pishana kwa kura chache kiasi hiki nini maana yake?!

SIOGOPI KUSEMA UKWELI NITASEMA TU EVEN IF IT MEANS THE SKY TO FALL HAYA NI MATUSI KWA WATU WOTE WENYE AKILI TIMAMU NA MIMI NINALAANI KWA NGUVU ZOTE UPUUZI NA UJINGA HUU WA KIPUUZI KABISA...LETS COME AS IT MAY IAM READY TO PAY THE COST

Wajumbe halali ni 98
Waliosusia 28
Waliopiga kura ni 106
Kura za ndio kwa msigwa 62
Kura za hapana ni 44

Hii ikiwa na maana Ukichukua 44+28=72 ndio ulikuwa ushindi wa Sosopi. Kura zilizoongezeka kwa zile zilizopigwa ni 8
Yaan 106-8=8

Wajumbe waliopaswa kubaki ndani ukiondo waliokuwa wamekataa kuingia ndani ni 70 ni 98-28=70

Hii ikiwa na maana kulikuwa na wapiga kura 36 walioletwa na kuwa wajumbe wasio halali yaani 106-70=36
Hii inamaanisha kwamba katika hali ya kawaida hata kama wajumbe wale 28 wasingeingia kama walivyofanya mh Msigwa angeshinda kwa kura 26 tu 70-44=26

Yaani kwa ufupi kwa kutumia wajumbe halali
Sosopi 72 (73.5%)
Msigwa 26 (26.5%)
Hii picha inaonesha CDM bado haijakomaa kidemokrasia na kiutawala pia. Na uhuni ni sehemu ya taratibu zake za uendeshaji.
 
Back
Top Bottom