Katiba mpya haijajulikana, ya sasa hivi hairuhusu mgombea urais chini ya miaka 40. ZZK hajafikisha miaka 40, sasa haraka ya nini kutangaza kugombea urais wakati kwa sasa hana sifa ya kugombea. Kwa nini asingoje mpaka katiba mpya imruhusu kugombea??? Inatatanisha sana.