Mayage S. Mayage amfundisha siasa Zitto Kabwe.

Katiba mpya haijajulikana, ya sasa hivi hairuhusu mgombea urais chini ya miaka 40. ZZK hajafikisha miaka 40, sasa haraka ya nini kutangaza kugombea urais wakati kwa sasa hana sifa ya kugombea. Kwa nini asingoje mpaka katiba mpya imruhusu kugombea??? Inatatanisha sana.
 
"
Mwandishi njaa ambaye ameshindwa kuchambua mambo muhimu yanayoigusa nchi yeye anaona kumchambua zitto tena kwa majungu,hisia na kuwaaminisha watu uongo ndio suala la kuwahabarisha watanzania.Nimesoma makala yake na nimiongoni mwa makala ya kipuuzi kwa mwaka huu.Jamaa hajui siasa za Tanzania kabisa na ameandika maneno aliyoyasikia kijiweni.Sio mwandishi critical na anastahili kurudi shule kujua nini anachotakiwa kufanya.
" Nchi inajengwa na unit ya chini kabisa ambaye ni mtu, sasa wewe unashangaza kweli unapojitoa akili na kujivisha utaira unakujifanya utambui uchambuzi wa mtu mmoja mmoja, tena watu wenye ushawishi wa kuchochea maendeleo au vinginevyo. Tazama vyombo vikubwa vya habari dunian sasa hivi vinavyowajadili Obama na mpinzani wake. So jaribu kufikiri kabla haujatoa hoja, japo ninakubari kwamba mijadara ya namna ya kuendeleza nchi inaitajika.
 
Mwandishi njaa ambaye ameshindwa kuchambua mambo muhimu yanayoigusa nchi yeye anaona kumchambua zitto tena kwa majungu,hisia na kuwaaminisha watu uongo ndio suala la kuwahabarisha watanzania.Nimesoma makala yake na nimiongoni mwa makala ya kipuuzi kwa mwaka huu.Jamaa hajui siasa za Tanzania kabisa na ameandika maneno aliyoyasikia kijiweni.Sio mwandishi critical na anastahili kurudi shule kujua nini anachotakiwa kufanya.

Mkuu nisaidie hapa.Ulitaka mwandishi amuunge mkono kugombea urais ndiyo umuone critical?
 
Binafsi namheshimu sana ZZK na nikiri hapa kuwa ALIKIUWA role model wangu na ni mmoja ya watu waliochangia kuwa mpenzi wa siasa,
Ila kwa hili amenikatisha tamaa sana kwa weledi alionao mh ZZK si wakutangaza nia ya urahisi kwa nguvu nyingi kwa kipindi hiki chama kikiwa kiko busy kutafuta ridhaa ya wenye nchi kupotia M4C!
Na kwa huyo mwandishi binafsi si mwamini kwani hachelewe kuja na kioja kisicho na mashiko kuhusu chadema
 
let zito do what he think it is right (for him). ''time will tell'' and let us not argue with a .......people might not notice the difference
 
Binafsi namheshimu sana ZZK na nikiri hapa kuwa ALIKIUWA role model wangu na ni mmoja ya watu waliochangia kuwa mpenzi wa siasa,
Ila kwa hili amenikatisha tamaa sana kwa weledi alionao mh ZZK si wakutangaza nia ya urahisi kwa nguvu nyingi kwa kipindi hiki chama kikiwa kiko busy kutafuta ridhaa ya wenye nchi kupotia M4C!
Na kwa huyo mwandishi binafsi si mwamini kwani hachelewe kuja na kioja kisicho na mashiko kuhusu chadema

Huyo mwandishi nakumbuka alivyoishambulia CDM mwaka jana.
 
Sioni kwa nini akina Molemo wanashangilia hii Makala. Hapa Mayage ni wakala wa CCM anachofanya ni kuzidi kuchochea Migogoro ndani ya CDM. Kwa kweli sielewi ni kwa nini vijana wa CDM wanakubali kupelekeshwa na Cheap propaganda za CCM.

Mwaka 2015 nitampia kura Mgombea yeyote wa CDM awe Zitto, awe Dr. Slaa awe Molemo mimi lengo langu ni kuiweka CCM pembeni

Go Zitto, Go Dr. Slaa, Go Tundu Lissu, Go Mnyika, Go Mbowe, Go CDM
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anaona mbali na anajua anachokiongea.Hii nchi leo haiko tayari kutawaliwa na kijana wa miaka thelathini na kitu, ningemuona wa maana kama angekua busy huko vijijini kama wenzake, ukiangalia akina Lema, Nasari wao wako busy kutafuta wanachama na kukiendeleza chama sio kupewa mualiko na JK kwenda kwenye shughuli za serikali.
 
Mwandishi wa muda mrefu Mayage S. Mayage ambaye aliwahi kuingia katika mvutano mkubwa na chama cha demokrasia na Maendeleo-CDM kutokana na makala zake leo amempa somo kubwa mbunge wa kigoma kaskazini Zitto Kabwe.
Katika makala yake ya leo amemshambulia mbunge huyo kwa hatua yake ya kutangaza kugombea Urais mwaka 2015.
Mwandishi huyo amesema anaamini Zitto hajui anachokifanya kwani viongozi wenzake wanahangaika vijijini kukijenga chama ili kuongeza mtaji wa kura lakini kwa makusudi Zitto analeta hoja ya Urais ili wanachama wahangaike kujadili Urais na kupoteza lengo la M4C.Pili mwandishi huyo amedai Zitto ni mtu anayeonyesha dhahiri kudharau viongozi wakuu wa CDM na anajiona pekee ndiye ' Statesman' na ndiyo maana hashauriani na wenzake katika mambo makubwa kama kutangaza mambo ya Urais ili kuepusha mivutano chamani.
Mwandishi huyo amemalizia kwa kusema anaamini CDM haiwezi kufanya makosa kumuunga mkono Zitto Kabwe kwani kwa kufanya hivyo ni kukiandalia chama hicho anguko kuu kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Source:Raia Mwema Uk 8

mwandishi mayage naona nae ana tatizo la kupata habari kwa wakati ,kwani angekua anasoma magazeti angejua kwamba zitto nae yuko huko huko vijijini,juzi alikua maeneo ya karatu..mwandshi atakua natumiwa na wanaokiogopa kivuli cha zitto kwa kudhani kuwa wana haki miliki ya kugombea urais na uenyekiti wa vyama "vyao"
 
Mwandishi anatumiwa na CCM. CCM wanamwogopa Zitto na kamwe hawapendi kabisa kuona Zitto, Mbowe, Dr. Slaa, Mnyika na Lissu wanakuwa kitu Kimoja

Tena inawezekana wewe ndiye Mayege
 
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Karatu mjini Mkoani Arusha.
AMEZUNGUMZIA MAMBO MAKUU MATATU

1.Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi(Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
2.Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na
3.Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.

KWENYE MKUTANO HUO,MH:ZITTO KABWE ALIMABATANA NA WABUNGE WENGINE
TUNDU LISSU
JOSHUA NASSARI
ROSE KAMILI

Hakuna mtu corrupt kama Zitto....kinachoendelea sasa ni matokeo ya yeye kuwa corrupted na CCM kwa tamaa zake za kataka utukufu...ukweli ni kwamba raisi hajipendekezi madarakani au hapatikani kutokana na umaarufu wake? Not in this World..
 
Mkuu wewe ni Gamba?
 
Mkuu huwezi kuwa na chama kikubwa kama CDM halafu ukose mamruki ndani yake tena viongozi hili hivyo Zitto ni pandikizi zitto ndani ya CDM.
 
Nimekuwa nikimfuatilia Zito hasa katika mambo muhimu ya chama hata ya kitaifa. Amekuwa akionyesha ubinafsi wa hali ya juu sana..anadharau na kutoheshimu wengine. Watu wa namna hii ni hatari sana katika uongozi wa nchi.

Kwa ujumla ZZK dhamira aliyoitangaza haitoki kwake ila inaonenakana as if kuna vitu vingi vimejificha katika hili, na asipoangalia Zito atadondokea pua kama asipojipanga vizuri katika plan yake ya kuua upinzani maana sioni kama ana nia nzuri ya kuendeleza upinzani wa dhati Tanzania
 
Siasa ni mchezo mchafu sana, lengo la zzk sio urais, nimwonavyo mimi huyu jamaa nimpiganaji katika kambi mojawapo ya ccm, atakapomaliza kazi endapo hiyo kambi yake itafanikiwa kufikia lengo basi zzk atarejea nyumbani kwake.
 
Back
Top Bottom