May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

Mie nina Mang'ombe...... you have no chance Boys...... Ehhhh, Masa na Julius wako wapi? Wasije kuwa wako kwenye PM na kitu.....

Aaa wapi, wangekuwa huko mtoto asingekuwa bize namna hii na mimi.
 
Guyz mnanichekesha kweli, I love ya all, in december will be in dar nitawatafuta, napendelea ucheshi na kuwa na watu ambao ni funny.
Woote uliowataja wanakaa nje ya Dar, anayekaa karibu kidogo ni Nguli ambaye anakaa NGARA!
 
Woote uliowataja wanakaa nje ya Dar, anayekaa karibu kidogo ni Nguli ambaye anakaa NGARA!

Mkuu unatuua namna hii? Kwa Taarifa yako tuko Dar, tena si mbali na ikulu. Tunakula mayi, kama si Kimara basi Tegeta. Hahahaha!
 
Babylove
Hao wote uliowataja hapo juu ni wagonjwa na huenda anytime tukawakosa, so please attach yourself to me, a reliable, disciplined, self reliant, humble man. na mbaya zaidi ni kwamba tumewakaribisha juzijuzi kwenye jambi, hawana uzoefu wowote...Chagua kilicho bora dada, ohooo!

Hahahahah If you think wewe PakaJimmy you're Jesus, definitely I am not among your disciples hahahahah
 
Kama Ndege yako itatuwa Nairobi basi tutakuwa wote kwenye Swissair!
Mkuu wewe unabana hadi penalti, toa tamko tukutane lini na huyu malaika na hajasema anatokea wapi watu wamemwangukia kweli hadi anaogpa kuchangia tena. ........talk to me baby
 
Masa,
Atakuja na KLM. Mie ndiyo namsubiri Schiphol Airport na ninakuja naye. Baby, ukifika Uholanzi nipigie + 31 - Seven four Waa, Sero Sero Whaa whaaa ........
 
Mkuu wewe unabana hadi penalti, toa tamko tukutane lini na huyu malaika na hajasema anatokea wapi watu wamemwangukia kweli hadi anaogpa kuchangia tena. ........talk to me baby

Kweli mkuu, zali limetuangukia sisi, kina sikonge na jipakajimmy wanataka kutuharibia. Watu bana.
 
Masa,
Atakuja na KLM. Mie ndiyo namsubiri Schiphol Airport na ninakuja naye. Baby, ukifika Uholanzi nipigie + 31 - Seven four Waa, Sero Sero Whaa whaaa ........

Nitakuwepo Heathrow Airport, London najua huyu ni kiwango atakuja na BA, nipigie tu +4476.....
 
Nitakuwepo Heathrow Airport, London najua huyu ni kiwango atakuja na BA, nipigie tu +4476.....

Hahaha! Mchungaji hufai. Akisepa maeneo yako, kama kawaida, shemasi namzukia kwa ungo. Watumishi tumejaa kila kona. Mpwa Fidel keshatangulia eapoti, mabomu ya machozi kayakoga.
 
Mkuu unatuua namna hii? Kwa Taarifa yako tuko Dar, tena si mbali na ikulu. Tunakula mayi, kama si Kimara basi Tegeta. Hahahaha!

Sijawauweni wakuu ila ukweli Tanzania ni kubwa. Lakini mbona Ngara ni karibu sana kwa kipendacho roho?
 
Kweli mkuu, zali limetuangukia sisi, kina sikonge na jipakajimmy wanataka kutuharibia. Watu bana.

Chrispin wewe ndio mnyonge wangu humu JF ,na Swali hili inabidi ulijibu ukiwa mmojawapo wa waliotajwa na babylove. umejiajiri mwenyewe au upo ofisi za manispaa? mwenzangu muda wote upo available ,inakuwaje na mwajiri wako? Au wewe ni mtu wa IT kazi yako inabidi uwe na kompyuta wakati wote? niambie siri ya mafanikio.halafu mwezi huu unaweza kuwa JF member of the month.
 
Back
Top Bottom