May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

Chrispin wewe ndio mnyonge wangu humu JF ,na Swali hili inabidi ulijibu ukiwa mmojawapo wa waliotajwa na babylove. umejiajiri mwenyewe au upo ofisi za manispaa? mwenzangu muda wote upo available ,inakuwaje na mwajiri wako? Au wewe ni mtu wa IT kazi yako inabidi uwe na kompyuta wakati wote? niambie siri ya mafanikio.halafu mwezi huu unaweza kuwa JF member of the month.

Jamani si UPM tu...unaweza kuta anamengi moyoni mwake unaweza msaidia
 
Chrispin wewe ndio mnyonge wangu humu JF ,na Swali hili inabidi ulijibu ukiwa mmojawapo wa waliotajwa na babylove. umejiajiri mwenyewe au upo ofisi za manispaa? mwenzangu muda wote upo available ,inakuwaje na mwajiri wako? Au wewe ni mtu wa IT kazi yako inabidi uwe na kompyuta wakati wote? niambie siri ya mafanikio.halafu mwezi huu unaweza kuwa JF member of the month.

NiPM Basi, manake utamwaga mchele mbele ya majogoo yenye njaa. Hahaha! Na wewe umekuja kufanya nini huku?
 
Kweli mkuu, zali limetuangukia sisi, kina sikonge na jipakajimmy wanataka kutuharibia. Watu bana.

Mkuu,

Mkuu, kama mechi nzito basi kimbia jiko. Watu sasa hivi ndiyo tunajiandaa kwenda Schiphol, wewe waenda Airport kama Fidel. Sasa mwenzio analia na mabomu. Wee subiri tu utafaidi walau macho.......

Mtoto, mambo ni KLM, achana na Waingereza. Airport gani kubadili gate moja kwenda jingine inabidi upande basi na usafiri dakika 45?
 
Usikate tamaa. Kabla hamjafika Kibondo, mpitishe kwa Mwalimu Juma pale Urambo akawe Scanned....

Watu wa Kibondo nasikia wao hutumia zaidi ungo kusafiri....Dr Mwalimu Juma anaweza akazidiwa Ndumba!
 
Watu wa Kibondo nasikia wao hutumia zaidi ungo kusafiri....Dr Mwalimu Juma anaweza akazidiwa Ndumba!

Mwalimu Juma atashangaa kuwa akiscan anajiona yeye uchi? teteteee itabidi siku hiyo hilo karai lake (Tv aka Crystal Ball) alitupe......
 
Nadhani unamzimia sana Chrispin, acha kuuma vidole na kula vijiti ....jieleze mdada!!

Hapana Masa,Niombe radhi tafadhali.mume wa mtu ni sumu kali tena inaua.Sina mpango mchafu kama huo.Never in my life.Iam a decent woman with dignity and morals.
 
Hapana Masa,Niombe radhi tafadhali.mume wa mtu ni sumu kali tena inaua.Sina mpango mchafu kama huo.Never in my life.Iam a decent woman with dignity and morals.

Niko chini ya miguu yako tafadhali nisameheme bure, Imeandikwa samehe na wewe utasamehewa. Thank you!
 
Back
Top Bottom