JS JF-Expert Member Sep 29, 2009 2,064 499 Jun 8, 2010 #261 Imebidi niibue hii thread hivi nyie watajwa mlimpa nafasi Babylove ya kuwaona au???
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Jun 8, 2010 #262 JS said: Imebidi niibue hii thread hivi nyie watajwa mlimpa nafasi Babylove ya kuwaona au??? Click to expand... Aaa wapi. Hana tofauti na wewe kwenye idara ya UCHOYO.
JS said: Imebidi niibue hii thread hivi nyie watajwa mlimpa nafasi Babylove ya kuwaona au??? Click to expand... Aaa wapi. Hana tofauti na wewe kwenye idara ya UCHOYO.
Gang Chomba JF-Expert Member Feb 29, 2008 20,301 4,681 Jun 10, 2010 #263 Ukitaka kuwaona hao watu we jiTahidi uangalie FUTUHI...