Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

Status
Not open for further replies.



Katika namna ya pekee kabisa ningependa sana pongezi zangu zitokezee pande hii...
Hichi kifaa kinastahili pongezi za dhati sana, wengine tunaamini sana kuwa yote haya tunayoyaona ambayo Maxence Melo ameyafanya kuwa mkono wake wa pili ambao umechangia sana katika kutia msukumo wa ndani sana katika kufanyiza haya yote.....

Salamu sana kwa Melo Jr... Namtakia afya njema sana na Mungu akamuatamie katika makuzi yake yote... Kubwa kuliko lote ni amezaliwa kwa wazazi wema hivyo ni ana bahati sana..

Heri ya siku ya kuzaliwa Bro Max

Mkuu Joune Gwalu kuna msemo usemao "in every man sucess there is woman behind" naona hii kwa Kaka yetu ni kweli kabisa .
Yote kwa pamoja mungu awajalie maisha mema na marefu baba na mwana katika hii siku yenu muhimu kabisa !
 
appy Birthday Melo Mubyaz.....Happy Birthday kwa ka baby...I can imagine the feelings that u have rite now....kwa sisi ambao tumeshapitia huko....welcome broda kwen hii dunia nyingine yenye changamoto za kila namna
 
I could have missed this eh? Thanks for the tagging ... !!!

Maxence Melo and the new born ... Its a special moment for both of you down there!!!For the new born .. welcome to the world "Baby Boy" ... I know Mom and Dad are taking care of you in a special way and soon will see you here in your Real ID Lol!! Maxence Melo ... Happy Birthday Brother!! AshaDii I was impressed with the correction you made ... "Reason: An addition on the name JF Founder & Director"
 
Last edited by a moderator:
On behalf of my family and colleagues.

TUNATOA PONGEZI ZETU ZA DHATI KWA FAMILIA YA MAXENCE MELO KWA DOUBLE HAPPINESS.


  1. HAPPY BIRTHDAY MAX
  2. HAPPY ARRIVAL JUNIOR.

Salaam na hongera kwa Mama na whole family.

habari ya wewe the don..
 
Ashadii has said it all....

Happy birthday Max and many many many warm heartfelt congratulations for the new baby.

Much love Max....
 
Mkuu MELO nakutakia FURAHA TELE katika siku yako na ya mwanao Kuzaliwa! Pia nitumie fursa hii kukupongeza kwa kutuletea toto la kiume siunajua "MTOTO WA KIUME DUME LA SIMBA POPOTE LINAKULINDA"-Kanumba..! Na mwisho kabisa nikupe pongezi za dhati na stahiki kwa kutuletea jamvi hili, njia ya ukombozi.. Mungu akurehemu sana wewe na familia yako..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom