Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

Status
Not open for further replies.
The best thing about getting old is that all those things you couldn't have when you were young you no longer want. Happy Birthday Maxence! Also Get ready for years of excitement and fun with your wonderful new little son! Congratulations Maxence Jr.
 
appy Birthday Melo Mubyaz.....Happy Birthday kwa ka baby...I can imagine the feelings that u have rite now....kwa sisi ambao tumeshapitia huko....welcome broda kwen hii dunia nyingine yenye changamoto za kila namna
I miss you bro Kaizer
 
Hongera sana Maxence Melo. Mushukuru MUNGU kwa kukupa mtoto, na kukuongezea muda wa kuishi. Nakuombea uwe na maisha marefu hadi uone wajukuu na vitukuu. AshaDii i love your article. I also love your threads and comment here at JF. You are among the women of my inspiration. Love you.
 
Hongera sana Maxence kwa siku yako ya kuzaliwa na kupata mtoto wako wa kiume masaa mawili kabla ya kusherehekea siku yako ya kuzaliwa. Ni jambo jema na kutia faraja sana.

Mie mwenyewe miaka minne iliyopita nilimpata mtoto wangu wa kiume siku mbili kabla ya siku yangu ya kuzaliwa. Siku hizi mie nadandia birth day ya mwanangu na mie ndio inakua yangu, yaani naua ndege wawili kwa jiwe moja.

Nakutakia wewe pamoja na familia yako maisha mema yenye mafanikio tele katika siku yako hii ya kuzaliwa na kutuongezea mwanaume mwingine katika dunia yetu hii yenye changamoto nyingi.

Pamoja sana katika kuiendeleza Jamiiforums
 
hongera sana mkuu. Birthday wishes zote zfanye kazi kama maombi mema ya wengi yalvotaka. Hongera kwa kujiongeza duniani
 
hongera sana Max, Mungu akubariki kwa kila jambao na kwa Kila hali pamoja na familia yako
 
Nilipokuwa mdogo nilielezwa kuwa watoto huokotwa mtoni, nikakua nikajua kuwa kumbe huzaliwa toka tomboni mwa mama, nikafurahi sana, nikangoja siku ifike, naaam ikafika mwana mwanamume akazaliwa mbele ya macho yangu ya nyama na ya mwa ndani wangu aliyechaguo langu sahihi la kunizalia mwana,

Ninakumbuka neno kuu la MKUNGA wa zamu siku naruhusiwa nikiwa nimempokea mpenzi wangu kichanga huku yeye akiwa bado ana pepesuka kwa maumivu ya kuzaa, aliniambia, MUMULEE MWANENU kwa kila hali na mali na mmpe haki yake yamsingi ya kupendwa vyivyo hivyo MPENDE mkeo mpenzi!

Nami narudisha kwako Maxence Mello, Timiza kama ilivyo nenwa hapo juu huku ukionge marifa yako na mungu atasimama mkono wako wa kuume!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom