Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

Status
Not open for further replies.
Great day to the family!
Regardless of how tiny he is, he will completely change all your timetables and nothing will be the same anymore!
Congratulations to the whole family!
 

Maxence Melo

You are one Lucky guy!!! Who gets a pre Birthday gift from a wife of self made image of you... Hongera saana Melo kwa kupata baby boy.... two hours from the day you were born! Natuma Speacial Greatings to the obviously very Proud Mom and the
Little angle... Mwenyezi Mungu awabariki na kuwazidishia Furaha na Amani.


Happy birthday Melo and the new born baby! Naomba deal la kuwa baba wa ubatizo. Tafiti zinathibitisha kuwa watoto wote nliowasimamia ubatizo hawafi kabla ya baba zao. Mungu apewe sifa!!! Aaaamen!


Baada ya kusema hayo, AshaDii my darling shem hebu nambie hapo kwa red, we si wajua niko kwenye tasnia ya uhandisi wa injiniaring?.....haya, huyu mtoto wetu alizaliwa kwenye angle thita au angle alfa?
 
happy birthday Max,hongera pia kupata ka baby.....yaani wewe kamanda una moyo wa kipekee nakumbuka ulivyojitolea kunisaidia ile ishu yangu ya shule na kazi big up man sitakusahau!
 
Nimechelewa sijui
Ila Happy Birthday Max
Na hongera nyingine kwa kupata ka-baby boy
Mwenyezi Mungu awajalie yaliyo mema katika maisha yenu na amkuze mtoto katika afya tele
Max kazi unayoifanya ni kubwa na twazidi kukuombea uendelee na moyo huo kuifanya kazi hii
Mungu akujalie kila lililo jema katika maisha yako kiafya, kiakili na nguvu kuweza kutimiza malengo yako
 
Happy Birthday Makamanda Mwenyezi Mungu wape maisha marefu ya amani, upendona ya kumcha Mwenyezi Mungu .mbariki sana.
 
Maxence,

The newly born was a true birthday, yours is a birth date. Happy all, Birth-date and Birthday.

Waiting for a cigar.
 
hii siku ya kuzaliwa ni leo au Jana......au juzi.......!!

any way......Big up Man!!!
Ntakurushia Valuer kwa Blututhi!!
Nasikia Valuer zinawezesha kulenga sana!!!

:A S 465::A S 465::A S 465:
 
JB WISER na Erotica, Ili mradi tu msituharibie mnuso wetu.

Adhawaiz napenda sana kuangalia ndondi za kiingilio "mguu wako".

Haya Tudevelop!
 
Last edited by a moderator:
On behalf of my family and colleagues.

TUNATOA PONGEZI ZETU ZA DHATI KWA FAMILIA YA MAXENCE MELO KWA DOUBLE HAPPINESS.


  1. HAPPY BIRTHDAY MAX
  2. HAPPY ARRIVAL JUNIOR.

Salaam na hongera kwa Mama na whole family.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom