Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

Status
Not open for further replies.
Maxence Melo Hongera kwa kupata mtoto ... Mungu akujaalie hekima zaidi wewe pamoja na mama mtoto ili muweze kumtunza vyema mtoto wenu.

Birthday yako, tutakutakia mema kesho, ila kwa sasa ngoja tupongeze ujio wa kijana!

NB: Una deni ambalo siwezi kuliandika hapa.
 
Last edited by a moderator:
Congrats MAx,

Ni wakati sasa wa wewe kuongeza japo tu-kilo tunane hapo maana menu ya mama na mtoto mashallah

kazi kwako, chapa misosi hadi mamaa ashtukie dili

Best regards from Timing and Family (kwa msisitizo)
 
happy birthday twins double fun.jpg

Happy Birthday twins - father and child.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom