Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

Status
Not open for further replies.
Masanilo nimetuma Twitter, kwenye fb wall, kwenye pm, kwenye Message, kwenye Profile, na hivi niko kwao napanja ufyele. kama unadhani kwa kuandika hii thread nimekosea then you are wrong Broda. BTW Nimefurahi kukuona hata kama utaona ninakosea.....

RussianRoulette OR Cookie or mod yeyete yule naomba muedit thread ya Masanilo, the qoutation is too long.

Haya bana! I'm cool in Guan holidaying ....ur sins are forgiven
 
from a wife of self made image of you...



Katika namna ya pekee kabisa ningependa sana pongezi zangu zitokezee pande hii...
Hichi kifaa kinastahili pongezi za dhati sana, wengine tunaamini sana kuwa yote haya tunayoyaona ambayo Maxence Melo ameyafanya kuwa mkono wake wa pili ambao umechangia sana katika kutia msukumo wa ndani sana katika kufanyiza haya yote.....

Salamu sana kwa Melo Jr... Namtakia afya njema sana na Mungu akamuatamie katika makuzi yake yote... Kubwa kuliko lote ni amezaliwa kwa wazazi wema hivyo ni ana bahati sana..

Heri ya siku ya kuzaliwa Bro Max
 
Last edited by a moderator:
hello max,its ur day bro. hapy birthday to u and baby boy! mungu akujalie kheri ktk kila jema unalonuia kulifanya na ktk wakati kama huu daima hekima na busara vitawale ktk familia yako.hongera sana!
 
AshaDii, naomba uondoke wifi kipenzi. Tuonane asubuhi. Kwa sababu mkuu wa nchi hii ya jf isiyo ya clowns ndo ana double besdei, nadhani event organiser ataanza kazi alfajiri. Naomba nisikuone hapa walau kwa masaa nane. Sleep well darling wifi.
 
Last edited by a moderator:
HONGERA SANA BRO, 2by1
Kwa wewe na mtoto wetu kwa siku yenu ya kuzaliwa.
Na hasa kwa mtoto mwenyewe kwa kuja kwake kujaza furaha na baraka katika familia yako.
Mungu awabariki na awalinde.
 
[URL="http://www.animated-gifs.eu/"] [/URL]
Maxence ningependa kuchukua nafasi hii kuwapa hongera
wewe na mkeo kwa kujaliwa mwana. ni jambo la
kushukuru na kufurahiwa ipasavyo. Hongera
nyingi ziwa fikie wewe pamoja na familia yako.

0018.gif
For the little angel.
0018.gif

We are here to welcome you
Maxence Jr.
our hearts are filled with Love, passionate as we
welcome you.
God bless you little one.
0002.gif

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom