Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Ulijuaje!!
nawafahamu sana.shemeji zangu hao.wananipigia dada angu
Ulijuaje!!
hehehe!wasukuma wana kitu kimoja kizuri sana na spesho wanawake wanakifurahia.WASUKUMA WANAJUA KUPENDA,WANAJUA KUKEA!na hamna mwanaume anakufa vibaya kwa mwanamke kama msukuma
nawafahamu sana.shemeji zangu hao.wananipigia dada angu
HEHEHEHE!nimecheka hadi nimelia!..........nini maana ya kuwa wawili sasa?Ila kupiga hapa nimeshamwambia ni marufuku.
Hahaha! Wananilipizia siyo. Kwa hiyo mi ntawaitaje wasukuma? Manake wanampigia shemeji yangu. Hivi mtu anayempigia shemeji yako unamwitaje?
Ila kupiga hapa nimeshamwambia ni marufuku.
hahahahahahahahahah!mkuu umenimaliza.hawa watakuwa kaka zako sasa!
Nilifikiri kupiga ya kudundwa, kama ulimaanisha nanihiiiiiiiiiii hiyo must.
kwa hiyo jamaa vipi,ANAKUPIGA VIZURI SANA?ai mini ukilinganisha na ma-bf wako wa zamani?
Kwa hiyo ushemeji unabaki palepale. Heshima mbele.
ndo maanake bwa-shee!hehehehe.mweleweshe pretty maana halisi ya kupiga
Au alishakutana na mpwa wetu akaipata habari yake? Ngoja aamke.
hehehehehehe!mpwa naye hajambo kwenye huu mlengo anatisha.ngoja aamke.nadhani mida hii ndo anarudi kutoka baa anaenda home kuoga dheni anakabiliana na mikiki mikiki ya foleni
Nitarudi kukujibu, hebu ngoja nifanye reference kwanza.