Mawifi jamani, hivi wana nini?

hehehe!wasukuma wana kitu kimoja kizuri sana na spesho wanawake wanakifurahia.WASUKUMA WANAJUA KUPENDA,WANAJUA KUKEA!na hamna mwanaume anakufa vibaya kwa mwanamke kama msukuma

Hasahasa kama mwanamke mwenyewe akiwa white. Pretty. Msukuma anasukuma nini kwelikweli? We mtoto hujatulia, hebu mjaribu siku moja mpwa wangu uone kama utaitamani tena harufu ya lake Victoria.
 
lakini katika kosa kubwa ambalo wanaume wanalifanya ni KUFA VIBAYA KWA MWANAMKE!...............
 
nawafahamu sana.shemeji zangu hao.wananipigia dada angu

Hahaha! Wananilipizia siyo. Kwa hiyo mi ntawaitaje wasukuma? Manake wanampigia shemeji yangu. Hivi mtu anayempigia shemeji yako unamwitaje?
 
Hahaha! Wananilipizia siyo. Kwa hiyo mi ntawaitaje wasukuma? Manake wanampigia shemeji yangu. Hivi mtu anayempigia shemeji yako unamwitaje?

hahahahahahahahahah!mkuu umenimaliza.hawa watakuwa kaka zako sasa!
 
lakini katika kosa kubwa ambalo wanaume wanalifanya ni KUFA VIBAYA KWA MWANAMKE!...............

Geoff hilo wala si kosa, ni kupenda. Raha ya kupenda ufe kwa mwanamke.
 
Au alishakutana na mpwa wetu akaipata habari yake? Ngoja aamke.

hehehehehehe!mpwa naye hajambo kwenye huu mlengo anatisha.ngoja aamke.nadhani mida hii ndo anarudi kutoka baa anaenda home kuoga dheni anakabiliana na mikiki mikiki ya foleni
 
hehehehehehe!mpwa naye hajambo kwenye huu mlengo anatisha.ngoja aamke.nadhani mida hii ndo anarudi kutoka baa anaenda home kuoga dheni anakabiliana na mikiki mikiki ya foleni

Hahahaha! Bwashee unaua. ChaWote pana mkesha, siyo?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom