Mawifi jamani, hivi wana nini?

Naunga mkono hoja yako mwalimu kwa 100 %!!

Eti badala ya kutatua huo mgogoro kwa kufanana na mila za ukoo wa mumewe (wasukuma mwanamke akisalimia lazma apige goti, ndo utamaduni wao huo, kwao ndo heshima hiyo) yeye anatafuta mbinu za kumdhibiti huyo wifi!!

Sasa sijui alitaka tumpe mbinu gani huyu bibie!!
Kuna watu wanakurupukia ndoa tu, wanadhani ndoa ni kupendana na mwenzi wake basi, hapana mila na desturi zisizo na madhara yatupasa tuzizingatie pia na kitu muhimu ni kuepuka migogoro isiyo na Tija has a inayoweza kuepukika
 
Vizuri sana, wewe ni mke mwema!! Una mawazo chanya yenye kujenga!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom