Mawifi jamani, hivi wana nini?

Usibadili mawazo utampa kichwa sana pambana naye,
msalimie kawaida bora humdharau asikusumbue kabisa, kwani utakaa naye kwako, hawa watu wa hivi ukiwaendekeza atakupelekesha mpaka utakonda ubaki kama nyoka, mapema kabisa anza kumuonesha rangi zako zote.

ingekuwa mama mkwe hapo sawa kuna point lakini, wifi tena mwenye kwake, huyo lazima anakutafuta uchokozi tu.

MJ1 kweli kabisa umenena, kwani huyo wifi kakuoa yeye, plus kama hujalelewa na hayo mambo ya kupiga magoti, its hard!! ask me, My Mr. wangu ni wa Ug na huko ndiko upigaji magoti umekolea, jamani mie sipigi na wala sio madharau, nawaheshimu wote watu wake. but nobody is going to force me to do it!!

Huyo wifi kwani lazima uonane naye?? kaa kwako and avoid her for your peace, akijileta kwako umpungie mkono tu..hata hiyo ni salamu. akizidi itisha kikao u square things out! let it be known that u will not be doing it in this life time and that u respect her.... kupiga magoti sio kuonyesha kuwa unamuheshimu!
 
siku hizi sio watu wa kanda ya ziwa tu, hata kanda ya kaskazini mawifi wana kiherehere sana, wanajidai kuwaonyesha kaka zao njia, unamuignore mpaka anondoka bila kuaga, ukiona anakusumbua sana unamwambia za saa hizi, unapanga safari unaondoka asubiri kaka yake aje amsalimie kwa unyenyekevu,
 
habari za mawifi achana nazo pretty we omba mungu akupe mme mwema tu wa kuelewa na kupambanua mambo
la ndoa utaiona chungu mawifi wakianza na mzee akawa upande wao

Mie mwenzio nikipiga goti nasikia maumivu ingawa kabila langu shurti upige goti ...huyo wifi yako anaijua adabu:)

huyo wifi anaweza akawa hana adabu wala nini? kwa mume wake hapigi magoti, basi tu kumtafutia mtot wa watu visa , kisa anajua hawezi basi apate cha kumsema hana lolote.
 
ukipenda boga penda na ua lake shemeji!!!!
kama ni hilo tu la magoti basi wewe usijali bana,
mimi mama blanca wangu huwa anapiga magoti tu tena si mtz,
kama kuna kisa kingine sema usaidiwe lakini hili la gotisioni shida, mume wako mtarajiwa anasemaje kuhusu hili la wifi yako kumaindi magoti?
 
Huyo wifi asikuumize kichwa bure! yeye kumbe anamji wake basi inabidi umwonyeshe ww ni jasiri na hutishiki nae, tena anza kutokuwa na mazoea nae kabisa akija ni salam endelea na mambo yako kwakwe nenda kukiwa na shida ama jambo maalum na ukifika fuata kilichokupeleka jirudia kwako, Ukisema umwonyeshe kujipendekeza atakupelekesha hana nia nzurei na wewe ukite alitaka shoga yake aolewe na nduguye ikashindikana hana nia nzuri na wewe kaa nae mbali. Akizidi kukufuatafuata mwambie aangalie mji wake sio mji wako.
 
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.

wifi/mama mkwe sio watu wa kuwazembe kuanzia mwanzo, utakavyowarembea ndivyo watakavyo kuburuza, mbele ya mama mkwe na mwanae yaan mr cku moja nilimtolea uvivu wifi hatokaa arudie maisha yake yote na heshima za kumwaga mpaka sasa.......ukiteleza tu utamwona mpaka mumeo mtarajiwa mchungu tena ukute ndio wae wakaka wa kuckiliza ndugu zao kuliko wewe oohh utakwisha....uczubae.
 
Nyamayao nilijua tu utakuja hapa ni visa, hebu tupe details basi wengine bado hatujaanza kupambana na mawifi!
 
Ndio nawasubiria hao FL, Camel, Vera na wengineo. Wanipe uzoefu wa kuishi na wifi wa dizaini hii.

ucmpe nafac ya kukuzoea kivile, cri/mipangilio yako ya kimaisha ni yako uwe unajua lipi la kuongea nae na lipi la kutomwelezea, mazoea mazoea, cjui kuvaliana cjui kitu gani no, na akija kwako aje kama mgeni na sio kama mama mwenye nyumba mana kuna wengine vipereto haswaa utasema yeye nyumba ndio inamuhusu, mara kupekua stoo mara kuingia chumbani kwangu na kupekua pekua nguo na nk, nilimkata nishai mie hatorudia tena mana na mie kwake naendaga kama mgeni kwanini kwangu kumzoee kisa kakake? ....uwe na mipaka nao kabisaaa.
 
hehehe!wasukuma wana kitu kimoja kizuri sana na spesho wanawake wanakifurahia.WASUKUMA WANAJUA KUPENDA,WANAJUA KUKEA!na hamna mwanaume anakufa vibaya kwa mwanamke kama msukuma

wivu wao kiboko....ucpokuwa makini kazi utaachishwa na kubakia mama wa nyumbani, sokoni wapi na wapi ni kupelekwa na kusubiriwa...ahaaa huyu wangu nadhani alishanishindwa mana ckukubaliana na hata moja.
 
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
wewe nawe utafikiri sio wa mjini.........mfanyie usanii mpigie magoti tena ya nguvu....the only way to get rid of mawifi wa design hii ni kuwafanyia unafiki ile mbaya....mwisho wa siku anayekuhusu ni kaka yao hizi baggage za mawifi usizijali sana .......tolerate her to an extent ila akizidi kukufuatafuata just ignore her
 
wifi/mama mkwe sio watu wa kuwazembe kuanzia mwanzo, utakavyowarembea ndivyo watakavyo kuburuza, mbele ya mama mkwe na mwanae yaan mr cku moja nilimtolea uvivu wifi hatokaa arudie maisha yake yote na heshima za kumwaga mpaka sasa.......ukiteleza tu utamwona mpaka mumeo mtarajiwa mchungu tena ukute ndio wae wakaka wa kuckiliza ndugu zao kuliko wewe oohh utakwisha....uczubae.
mi naona Nyamayao tunaongea lugha moja. sina cha kuongeza.
 
wewe nawe utafikiri sio wa mjini.........mfanyie usanii mpigie magoti tena ya nguvu....the only way to get rid of mawifi wa design hii ni kuwafanyia unafiki ile mbaya....mwisho wa siku anayekuhusu ni kaka yao hizi baggage za mawifi usizijali sana .......tolerate her to an extent ila akizidi kukufuatafuata just ignore her

eeeh unafiki hadi lini ? pretty ni vyema wakujue wewe ukoje mapeeeeeeeeeeeeema .ili wanyooshe maelezo
kwanza wapo watakaosema wifi mbaya hata ukiwafanyia mazuri yapi
wapo watakaosema wifi ana roho mbaya
wapo watakaosema wifi mchoyo
wapo watakaokusifia kwa unafiki
shost be your self maisha utayaona mtelemko
Ukianza kujivika sura isiyo yako utaharibu
 
Nyamayao nilijua tu utakuja hapa ni visa, hebu tupe details basi wengine bado hatujaanza kupambana na mawifi!

Shishi ma dia mie niliolewa mapema sana, sasa wakawa wanataka ile dizaini kunionea, ukifanya hiki kile kwao tabu, nikirudi job nakuta wifi kavaa cjui jeans/tshirt zangu, mie nikawa najiuliza huyu anajiamini nini nyumbani kwangu na ictoshe kaja kukaa kwangu kwa muda baada ya kukorofishana na mumewe tena atake kuniingilia mambo yangu ya ndani? haiwezekani...mr wangu ana mtoto wa ujanani nilimkuta nae wakati huo mama mkwe/wifi yupo hapo home kwa matatizo yake, wakawa wanataka kumfanya huyo mtoto kama Queen wa nyumba yangu, nikiongea nae kidogo kosa na wakati wamenikuta nakaa nae vizuri tu, cku hiyo namtuma kwa room yangu nashangaa wifi anamwambia mtoto" ukimaliza kapumzike chumbani mwanangu mana naona utafanywa caterpilar...nikamweka kiporo....cku ya cku nikamkuta anamlalamikia house boy kwamba yeye na mamake wanaona kakake hajapata mke kabisa, wanatamani ingekuwa ndoa ya kiislamu wangemtafutia mke wa pili....alivyoshtuka na kuniona nyuma alitamani kuzimia, ckusema kitu mpaka kakake alivyorudi nikampa mbele ya mama yao za kumtosha tu......hajarudia tena, masharti under ma roof niligoma mie, masharti kwake huko.
 
wewe nawe utafikiri sio wa mjini.........mfanyie usanii mpigie magoti tena ya nguvu....the only way to get rid of mawifi wa design hii ni kuwafanyia unafiki ile mbaya....mwisho wa siku anayekuhusu ni kaka yao hizi baggage za mawifi usizijali sana .......tolerate her to an extent ila akizidi kukufuatafuata just ignore her

hilo ucjaribu, watakuingizia vidole vya jicho....kuwa wewe kama wewe kuanzia mwanzo wa ngoma, baadae watakuja kusema yale magoti yalikuwa coz ulikuwa unabembelezea ndoa cjui na kitu gani huko....ucfikie unafiki wa namna hiyo ni mbaya sana na utaku cost.
 
Shishi ma dia mie niliolewa mapema sana, sasa wakawa wanataka ile dizaini kunionea, ukifanya hiki kile kwao tabu, nikirudi job nakuta wifi kavaa cjui jeans/tshirt zangu, mie nikawa najiuliza huyu anajiamini nini nyumbani kwangu na ictoshe kaja kukaa kwangu kwa muda baada ya kukorofishana na mumewe tena atake kuniingilia mambo yangu ya ndani? haiwezekani...mr wangu ana mtoto wa ujanani nilimkuta nae wakati huo mama mkwe/wifi yupo hapo home kwa matatizo yake, wakawa wanataka kumfanya huyo mtoto kama Queen wa nyumba yangu, nikiongea nae kidogo kosa na wakati wamenikuta nakaa nae vizuri tu, cku hiyo namtuma kwa room yangu nashangaa wifi anamwambia mtoto" ukimaliza kapumzike chumbani mwanangu mana naona utafanywa caterpilar...nikamweka kiporo....cku ya cku nikamkuta anamlalamikia house boy kwamba yeye na mamake wanaona kakake hajapata mke kabisa, wanatamani ingekuwa ndoa ya kiislamu wangemtafutia mke wa pili....alivyoshtuka na kuniona nyuma alitamani kuzimia, ckusema kitu mpaka kakake alivyorudi nikampa mbele ya mama yao za kumtosha tu......hajarudia tena, masharti under ma roof niligoma mie, masharti kwake huko.

heeh mama mkwe plus wifi wote kimeo

harafu hivi nini kinawshinda kukaa makwao jamani mpaka wakaharibu ndoa za wenzao gosh..................................................??
 
eeeh unafiki hadi lini ? pretty ni vyema wakujue wewe ukoje mapeeeeeeeeeeeeema .ili wanyooshe maelezo
kwanza wapo watakaosema wifi mbaya hata ukiwafanyia mazuri yapi
wapo watakaosema wifi ana roho mbaya
wapo watakaosema wifi mchoyo
wapo watakaokusifia kwa unafiki
shost be your self maisha utayaona mtelemko
Ukianza kujivika sura isiyo yako utaharibu

mie ninae 1 lakini ilikuwa tafrani, Pretty ukute ana wa 4-5 wote inatakiwa awa pretend, c watamtoa roho mtoto wa watu?... kuwa wewe kama wewe mami.
 
Shishi ma dia mie niliolewa mapema sana, sasa wakawa wanataka ile dizaini kunionea, ukifanya hiki kile kwao tabu, nikirudi job nakuta wifi kavaa cjui jeans/tshirt zangu, mie nikawa najiuliza huyu anajiamini nini nyumbani kwangu na ictoshe kaja kukaa kwangu kwa muda baada ya kukorofishana na mumewe tena atake kuniingilia mambo yangu ya ndani? haiwezekani...mr wangu ana mtoto wa ujanani nilimkuta nae wakati huo mama mkwe/wifi yupo hapo home kwa matatizo yake, wakawa wanataka kumfanya huyo mtoto kama Queen wa nyumba yangu, nikiongea nae kidogo kosa na wakati wamenikuta nakaa nae vizuri tu, cku hiyo namtuma kwa room yangu nashangaa wifi anamwambia mtoto" ukimaliza kapumzike chumbani mwanangu mana naona utafanywa caterpilar...nikamweka kiporo....cku ya cku nikamkuta anamlalamikia house boy kwamba yeye na mamake wanaona kakake hajapata mke kabisa, wanatamani ingekuwa ndoa ya kiislamu wangemtafutia mke wa pili....alivyoshtuka na kuniona nyuma alitamani kuzimia, ckusema kitu mpaka kakake alivyorudi nikampa mbele ya mama yao za kumtosha tu......hajarudia tena, masharti under ma roof niligoma mie, masharti kwake huko.

Hapo nakupa high five tatu jamani..mawifi wanaweza kukutia vidole machoni...bora ni kumpa masharti kitambo wajue kuwa kuna limits. sijui huwa wanataka waolewe wao ama!
 
wewe nawe utafikiri sio wa mjini.........mfanyie usanii mpigie magoti tena ya nguvu....the only way to get rid of mawifi wa design hii ni kuwafanyia unafiki ile mbaya....mwisho wa siku anayekuhusu ni kaka yao hizi baggage za mawifi usizijali sana .......tolerate her to an extent ila akizidi kukufuatafuata just ignore her

Hakuna cha unafiki hapo waonyeshe rangi zako zote jinsi ulivyo,ukiwafanyi unafiki siku ukichoka ukaacha wataanza ohh, siku hizi kabadilika tangu amelishwa na kaka yetu kanawiri ameaanza dharau,
acha wakujue mapema ili watie akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom