Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
- Thread starter
- #101
Kinachohitajika kwa Tanzania ni Miiko ya Uongozi. Tukiwa na Code of Ethics kwa viongozi wetu na msimamizi wao akaisimamia basi viongozi wetu wataelewa kuwa jukumu tunalowapa si DEAL bali utumishi.Tatizo ni kwamba hatuna regulating body inayoweka mipaka ya umiliki wa mali kwa viongozi wetu. Tukipigia kelele hili twaonekana ni wenye wivu...
Aidha, itasaidia sana kuweza kuwafanya watu wawe accountable kwa makosa waliyoyafanya aidha kwa kujua ama kwa kutokujua.