Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

Tatizo ni kwamba hatuna regulating body inayoweka mipaka ya umiliki wa mali kwa viongozi wetu. Tukipigia kelele hili twaonekana ni wenye wivu...
Kinachohitajika kwa Tanzania ni Miiko ya Uongozi. Tukiwa na Code of Ethics kwa viongozi wetu na msimamizi wao akaisimamia basi viongozi wetu wataelewa kuwa jukumu tunalowapa si DEAL bali utumishi.

Aidha, itasaidia sana kuweza kuwafanya watu wawe accountable kwa makosa waliyoyafanya aidha kwa kujua ama kwa kutokujua.
 
Hivyo ni baadhi tu ya vile tunavyoweza kutambua waziwazi, je vyenye majina ya watoto, ndugu,...
 
Kila kukicha inazidi kujidhihirisha kwamba nchi hii si masikini na watu wake hawapaswi kuwa masikini.

Mijihela imejazana kwa watu wachache huku wengi wakihangaika.

Nadhani ifike mahala watanzania tuamue kuwawajibisha hawa watu wanaotuibia na kujinufaisha wao binafsi na familia zao.

Katika hali kama hii hatuhitaji kuwapeleka mahakamani sijui wakajitetee na upuuzi mwingine kama huo.

Dawa yao ni moja tu, kuwakamata mmoja mmoja, tia ndani na kuwafilisi mali zao zote ili liwe fundisho kwa wengine wenye mawazo kama yao. Vinginevyo hali hii tukiiachie iendelee, ipo siku waziri ataamua kuchukua fedha yote ya bajeti ya wizara yake na kuihamishia kwenye akaunti yake!!
 
Tanganyika masikini!
Lakini wajameni msimsakame Waziri wetu huenda alikuwa ana salio lake haka kabla ya uwaziri!
 
Kula kwa urefu wa kamba yako...natumai ndo kauli mbiu ya wenye madaraka ya umma hapa Bongo.

Napenda kujua tuu hivi January Makamba naye ile nyumba alinunuaa???????
 
Sio uwaziri tu, kuna wizara na wizara ambazo hizo ukiwekwa ujue kuna kitu.. sidhani kama wizara ya wanawake jinsia na watoto kuna deal kama hizo!!

We unaishi wapi usiyejua kuwa misaada yote inaangukia huko kwa wabeijing!
 
Mnashangaa nini, hivi kweli mtu anaweza kusaini mkataba wa kuchimba madini kwa mrahaba wa asilimia 3%, halafu akabaki masikini. watakaobaki masikini ni Wadanganyika.
 
hivi ulikuwa hujui?

na sasa nasikia mkulu anataka kuwapa DEAL akina J. Makamba na Kigwangala!!!
Hongera Mkulu kwa kutoa deal kwa vijana :A S 41::A S 41:

Mh JK akiwapa hawa vilaza tutaandamana hadi ikulu,january hafai kabisa si uliona hile barua ja mwammy? Kwamba kuna hela usd 2mils walipewa na mzungu wa barrick,mwammy akasema live kwamba kuna possibility ya february kuwa waziri so hatawafeva,HK hafai kabisa ni mchumia tumbo,wampe Deo filikujombe uwaziri.
 
BWM alishawahi waambia Watanzania mna wivu wa kike, Chenge alishawahi waambia ni vijisenti tu hivyo maana yake ni kuwa wapo walio nazo zaidi ya hizo na hakuna aliyediriki wala kuchukua hatua.

Nimeishiwa nguvu kabisa lakini ipo siku ikifika nitakuwa mblele kupigana sitajali risasi wala gari la maji ya kuwasha pumbavu!! Dr. Slaa alishawataja mafisadi hadharani na ushahidi wote anao no one cares???? kwa nini lakini Tanzania??

NIMESHACHOKA MNO BANA HICHO KIKAO CHAO WASIISHIE KUWAACHISHA UWAZIRI!
 
Hapo Ngeleja ameshikwa pabaya kama hiyo apartment hajaoredhesha katika mali anazomiliki kwenye tume ya maadili itabidi ajieleze!maana huu ni ushahidi tosha!!
 
Nothing personal, hivi Ngeleja ana biashara gani? Ni mkopo? Ni mshahara wake tu? Isijekuwa ni mgawo wa DOWANS...

Dawa katiba mpya, sheria za uhujumu uchumi kuwadhibiti mafisadi, wala rushwa ni muhimu sana hapa adhabu ni kifungo cha maisha na kufilisiwa mali zote.

Mawaziri wengi wao ni wezi (By Filikunjombe na ushahidi anao) cha msingi uwaziri usiusishwe na siasa mtu aajiriwe na wizara husika tena awe na proffesion inayousu wizara husika.

Ngeleja na Maige hizo mali zenu lazima zirudi kwa wananchi.
 
Uwaziri ni deal sana ndiyo maana watu wengi wanaingia kwenye madeni makubwa sana ya kugombea UBUNGE kwa mategemeo kwa anaweza kubahatisha kuwa WAZIRI halafu aanze vimbwanga vyake. Ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

I see kajamaa kana pesa haka hii sijui atajiteteaje sasa
 
Huyo mleta mada kaibuni tu hiyo, lakini haelewi kuwa hata vibanda vya Kariakoo ambavyo bado havijauzwa kwa sasa vina fetch zaidi ya hizo.

Mleta mada unazijuwa nyumba za Mbowe Uingereza na Dubai? na lile jumba la Disko pale Dar unaweza kutuambia kalipataje?

Lakini ni swali tu lililochochea mada. Kwamba Ngeleja naye ni mfanyabiashara wa kaliba ya akina Mbowe ndo unachojaribu kusema? Au ni mfanyabiashara wa zaidi ya kaliba ya kina Mbowe?....haya mambo ya "mbona mbona mbona mbona fulani mbona fulani naye iko hivi au vile" yatazidi kulivuruga tu taifa kwa kuwa kila mtu atafanya kama fulani na isiwe tatizo...

as "great thinkers," hatutegemewi kuegemeza hoja zetu kwenye mbona. Zaidi ya hapo, eleza wewe Mbowe kapataje hizo mali then tuendelee na mjadala.
 
Hawa jamaa sio Wazalendo kabisa. Sasa hizo nyumba za serikali walizopewa waishi si wangeziachia ili wakae akina Nahodha. kwa kweli uchoyo bwana.

Then, wanasema Dr. wa Ukweli hana uzalendo.
Kwa hili Mawazili wote wana Mahekalu. Mzee wa data (Klm za barabara) yeye ndiyo Kamaliza
 
Daah! Haya magamba mi yameshanichosha yanapiga pesa za wanainchi bila huruma kila siku skendo,kama wao wako hivyo mi nataka kufahamishwa mali za boss wao.
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom