Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitatatoa pongezi zangu kwa invisible.

Nashukuru sana kwa taarifa hii,waliokuwa waikibeza uwezo wa jf watajisahihisha kupitia kwako.

Mapambano nikweli yanaendelea.Bado nasubiri uje na habari ya mlaji mkuu msaidizi na visima vyake alivyochimbiwa na serikali.
 
Ndio maana Azimio la Arusha linapingwa kwa nguvu zote.
Hao wote ni products of Arusha Declaration.
The way the cookie crumbles among the JK ministers....
Ubunge wa 2015 patakuwa hapatoshi
 
Wakuu Heshima Mbele

-Toka wiki iliyopita nimeona Mijadala kuhusu Mawaziri kununua Nyumba na nimeona hili lisipite bila kulizungumzia sababu uongo wa kisaisa usipojibiwa uonekana kuwa ni ukweli.

-Nimefuatilia hoja za Kiranga kwenye Mjadala wa jana kuhusua tuhuma alizopewa Maige na ameeleza kwa kirefu jinsi gani tunatakiwa kupima tuhuma ambazo zinahusiana na masuala ya morgage..

-Nimetoka kwenye Website ya Bunge hapa na kuangalia cv ya Ngeleja li kuweza kutathmini kipato chake kama kinaweza kumfanya ama kununua au kukupa dola 350,000

-Ameweza kufanya kazi kwenye coprorate industry kwa muda wa miaka 11 ,tena kwenye kampuni kubwa na akiwa kwenye senior position nawa hesabu ndogo ukiangalia

1.NSSF yake toka ameanza kazi,shughuli zake binafsi kama mwanasheria,Posho zake na mshahara wake anashindwa kuwa hata na saving ya zaidi ya 100m??hata kukopesheka

2.Toka mwanzoni mwa mwaka 2008 Watanzania wengi wamekuwa wakipata mikopo ya nyumba kupitia Mabenki mbali mbali hivyo kwa wadhifa wa waziri alio nao Ngeleja anaweza kukopeshwa nyumba ya bei hiyo

3.Amekuwa Mbunge tokea 2005,amechukua mkopo wa bunge kwa miongo miwili ... kweli ashindwe kukopesha ili anunue nyumba ya bei hiyo?

4.isitoshe ni waziri kwa sasa,posho za safari zake ,mshahara wake na Marupurupu yake ashindwe kupewa mkopo wa kununua Nyumba hiyo?

-Nadhani kabla hatujafikia mwisho ni vyema kufuatilia na kujua hiyo nyumba aliinuaje?ila kwa mkopo inawezekana kabisa.Nachokiona hapa ni watu wachache ambao wanatafuta umaarufu wa kisiasa na kuanza kuchafuana kwa lengo la kupata Uwaziri tu...

-Kwa hili Ngeleja anatuhumiwa kwa sababu ya kisiasa tu na kama ni kosa kwa waziri kukopa na kununua nyumba basi iwekewe kwenye katiba..

-Mpaka sasa naamini hiyo Nyumba atakuwa kaipata kwa Mkopo unless otherwise Proven wrong na ningeomba invisible ufuatilie mazingira ya kunua nyumba hiyo then baada ya hapo ndipo tujadili...
 
Jamani mbona mkataba uko wazi tu kwamba jamaa anamiliki floor na si appartment nzima, je huu ni kuchafuana au kitu gani?.

Halafu hiyo figure ya dola 350000 mmeipata wapi?- je mna uhakika aliinunua kwa bei hiyo?- je hakubargain?- je mwishowe alitoa cash kiasi gani?.

No way, siziungi mkono sera za ngeleja, lakini hii thread ni half information and hence half the truth!

Mkuu Gamba with all respect.

Inasikitisha watu kuamua kuchafuana kisa uwaziri tu...

ushahidi haukamiliki bila vielelezo..Mje na risiti ya bei aliyonunualia ili habari iwe kamili...
 
Wakuu Heshima Mbele

-Toka wiki iliyopita nimeona Mijadala kuhusu Mawaziri kununua Nyumba na nimeona hili lisipite bila kulizungumzia sababu uongo wa kisaisa usipojibiwa uonekana kuwa ni ukweli.

-Nimefuatilia hoja za Kiranga kwenye Mjadala wa jana kuhusua tuhuma alizopewa Maige na ameeleza kwa kirefu jinsi gani tunatakiwa kupima tuhuma ambazo zinahusiana na masuala ya morgage..

-Nimetoka kwenye Website ya Bunge hapa na kuangalia cv ya Ngeleja li kuweza kutathmini kipato chake kama kinaweza kumfanya ama kununua au kukupa dola 350,000

-Ameweza kufanya kazi kwenye coprorate industry kwa muda wa miaka 11 ,tena kwenye kampuni kubwa na akiwa kwenye senior position nawa hesabu ndogo ukiangalia

1.NSSF yake toka ameanza kazi,shughuli zake binafsi kama mwanasheria,Posho zake na mshahara wake anashindwa kuwa hata na saving ya zaidi ya 100m??hata kukopesheka

2.Toka mwanzoni mwa mwaka 2008 Watanzania wengi wamekuwa wakipata mikopo ya nyumba kupitia Mabenki mbali mbali hivyo kwa wadhifa wa waziri alio nao Ngeleja anaweza kukopeshwa nyumba ya bei hiyo

3.Amekuwa Mbunge tokea 2005,amechukua mkopo wa bunge kwa miongo miwili ... kweli ashindwe kukopesha ili anunue nyumba ya bei hiyo?

4.isitoshe ni waziri kwa sasa,posho za safari zake ,mshahara wake na Marupurupu yake ashindwe kupewa mkopo wa kununua Nyumba hiyo?

-Nadhani kabla hatujafikia mwisho ni vyema kufuatilia na kujua hiyo nyumba aliinuaje?ila kwa mkopo inawezekana kabisa.Nachokiona hapa ni watu wachache ambao wanatafuta umaarufu wa kisiasa na kuanza kuchafuana kwa lengo la kupata Uwaziri tu...

-Kwa hili Ngeleja anatuhumiwa kwa sababu ya kisiasa tu na kama ni kosa kwa waziri kukopa na kununua nyumba basi iwekewe kwenye katiba..

-Mpaka sasa naamini hiyo Nyumba atakuwa kaipata kwa Mkopo unless otherwise Proven wrong na ningeomba invisible ufuatilie mazingira ya kunua nyumba hiyo then baada ya hapo ndipo tujadili...

Kaazi kweli kweli
 
Du!!!!!!!!!!!!!!!!Mganga una ukwasi wa kutisha. Mungu akulaani kwa kuila hii nchi namna hiyo. Miisho yenu na bosi wako iwe kama ya Ghadaffi (Col.)
 
Uwaziri ni deal sana ndiyo maana watu wengi wanaingia kwenye madeni makubwa sana ya kugombea UBUNGE kwa mategemeo kwa anaweza kubahatisha kuwa WAZIRI halafu aanze vimbwanga vyake. Ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Ni balaa kwa Tanganyika yetu hata hivyo mwisho wao hauko mbali wanapenda hawapendi watakumbwa na balaa wao wenyewe maana Mungu yuko upande wetu!
 
Hapo cha mtoto, hili ghorofa la hapa Mwanza mtaa wa Rufiji ni bilion kadhaa. Ngeleja noma. Nimegundua wasukuma wanaongoza kwa ufisadi. Chenge, Maige, Ngeleja, Feleshi, Hosea, Dialo

Mbona umemsahau Masha!! WASUKUMA NOMAAAAAAAAA........................kwa ufisadi!!
 
Wakuu Heshima Mbele

-Toka wiki iliyopita nimeona Mijadala kuhusu Mawaziri kununua Nyumba na nimeona hili lisipite bila kulizungumzia sababu uongo wa kisaisa usipojibiwa uonekana kuwa ni ukweli.

-Nimefuatilia hoja za Kiranga kwenye Mjadala wa jana kuhusua tuhuma alizopewa Maige na ameeleza kwa kirefu jinsi gani tunatakiwa kupima tuhuma ambazo zinahusiana na masuala ya morgage..

-Nimetoka kwenye Website ya Bunge hapa na kuangalia cv ya Ngeleja li kuweza kutathmini kipato chake kama kinaweza kumfanya ama kununua au kukupa dola 350,000

-Ameweza kufanya kazi kwenye coprorate industry kwa muda wa miaka 11 ,tena kwenye kampuni kubwa na akiwa kwenye senior position nawa hesabu ndogo ukiangalia

1.NSSF yake toka ameanza kazi,shughuli zake binafsi kama mwanasheria,Posho zake na mshahara wake anashindwa kuwa hata na saving ya zaidi ya 100m??hata kukopesheka

2.Toka mwanzoni mwa mwaka 2008 Watanzania wengi wamekuwa wakipata mikopo ya nyumba kupitia Mabenki mbali mbali hivyo kwa wadhifa wa waziri alio nao Ngeleja anaweza kukopeshwa nyumba ya bei hiyo

3.Amekuwa Mbunge tokea 2005,amechukua mkopo wa bunge kwa miongo miwili ... kweli ashindwe kukopesha ili anunue nyumba ya bei hiyo?

4.isitoshe ni waziri kwa sasa,posho za safari zake ,mshahara wake na Marupurupu yake ashindwe kupewa mkopo wa kununua Nyumba hiyo?

-Nadhani kabla hatujafikia mwisho ni vyema kufuatilia na kujua hiyo nyumba aliinuaje?ila kwa mkopo inawezekana kabisa.Nachokiona hapa ni watu wachache ambao wanatafuta umaarufu wa kisiasa na kuanza kuchafuana kwa lengo la kupata Uwaziri tu...

-Kwa hili Ngeleja anatuhumiwa kwa sababu ya kisiasa tu na kama ni kosa kwa waziri kukopa na kununua nyumba basi iwekewe kwenye katiba..

-Mpaka sasa naamini hiyo Nyumba atakuwa kaipata kwa Mkopo unless otherwise Proven wrong na ningeomba invisible ufuatilie mazingira ya kunua nyumba hiyo then baada ya hapo ndipo tujadili...

Gembe mwambie Ngeleja naye aje na utetezi wake mwenyewe ili tumuweke kiti moto.

Tokana na hoja zako kama atakuja nazo kama ndio hoja zake, akiyanani tuna maswali mengi atatakiwa kuyajibu ili aweze kuaminika tena.

Kwa ukwasi wa nchi yetu tulionao hayo maelezo yako hayatoshi kumuosha. Mwambie aje mwenyewe hapa, kwani anaogopa nini? uwanja mkubwa huu kaka, hapatoshi, kama atapadharau shauri yake image yake itabaki yye ni one of fisadiz milele hata kama si kweli na tutaiambia Tanganyika yote pamoja na kwao sengerema.
 
Wazazi Huu uwaziri mtammuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu sasa mnataka watu wajiuzulu ........hili dogo jina sasa kuiba gani anaweka jina lake.....mawakili wanatetea wezi halafu hawajui kiba
 
Vema akasema anapakaziwa, ili tumwongezee tuliyo nayo zaidi ya haya.

Hapo hatujagusa ya Mwanza....

Mkuu Invisible, heshima mbele. Hivi benki za hapa Bongo hazina utaratibu wa MORGAGE? Unless ithibitishwe kuwa kalipa CASH vinginevyo kuwa Waziri wa JK haina maana marufuku kumiliki property!
 
Megawati!!!!!!!!!!!!!!!!! Megawati!!!!!!!!!!!!!!!!! Megawati!!!!!!!!!!!!!!!!! Megawati!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
. Friday, April 27, 2012 0 comments

[h=3]watanganyika tutaamka lini ili kupambana na Mafisadi[/h]

Ndugu zangu,
Hapo juu ni nyumba ya Waziri Maige na chini ni nyumba ya kabwela Mtanzania. Na Spika wa Bunge, Anne Makinda alipata kutamka, kuwa Bunge ni eneo la umasikini. Astaghafilulahi! Haki ya Mungu, ukistaajabia ya Mussa utayaona ya Firauni.

Na jana, bila haya, Waziri Maige amekaririwa akiyasema haya;

"Akizungumza na gazeti hili jana, Waziri Maige alisema hakununua nyumba hiyo kwa Dola 700,000 kama inavyodaiwa, bali alinunua kwa Dola za Marekani 410,000.
Mbali ya kukiri, alifafanua jinsi alivyoinunua na kuonyesha nyaraka mbalimbali huku akieleza kuwa sehemu ya fedha alizonunulia, zilikuwa za mkopo kutoka Benki ya CRDB.

Alisema mwaka 2005 alipoanza kuwa mbunge alipata mkopo na yeye na wenzake watatu, waliunda kampuni ya kusafirisha mzigo ya Splendid Logistic na kuanza kununua magari matatu na baadaye magari hayo yaliongezeka na kufikia saba.

maige%20ezekielwaziri.jpg
Waziri wa Maliasili na Utalii,Ezekiel Maige

Alisema Septemba, 2010 mwenzao mmoja alijitoa katika kampuni hiyo na hivyo wakaamua kugawana mali kwa kuzingatia mtaji wa kampuni. Alipata magari mawili na mwenzake manne na kuongeza kuwa gari moja kati ya hayo saba lilipata ajali.

Alisema baada ya hapo aliamua kuanzisha kampuni nyingine ya kusafirisha mizigo ambayo inaendeshwa na mke wake... “Kampuni hiyo inaitwa Mem Logistic na ina magari mawili.”

Alisema magari hayo aliyakodisha kwa kampuni nyingine ya Bravo Logistic ambayo kila mwezi inamlipa Dola 20,000.

Alisema alipochaguliwa tena kuwa mbunge mwaka 2010 aliamua kutoongeza magari katika kampuni yake na kuanza kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba.

“Baada ya uchaguzi nilichukua mkopo wa Sh200 milioni katika Benki ya CRDB, baadaye Ofisi ya Bunge ilinikopesha Sh90 milioni kwa ajili ya kununua gari, fedha hizo zote nilizichukua na kuzihifadhi,” alisema Maige.
“Hizo fedha nilikaa nazo nikawa nataka kujenga nyumba baadaye nikaona nitafute nyumba ya kununua tu. Baadaye dada yangu, Angelina Ngarura ambaye ana kampuni ya kuuza matrekta, Dar es Salaam alinifuata na kuniomba fedha hizo kwa ajili ya kuzizungusha na tukakubaliana kuwa atakuwa akilipa riba ndogo kwa makubaliano kwamba siku yoyote nikizihitaji nitazichukua,” alisema.

Alisema ndipo alipopata nyumba iliyokuwa ikiuzwa Dola 450,000 lakini alikubaliana na muuzaji na kuuziwa kwa Dola 410,000.

Alisema katika ununuzi huo, hakuwa na kiasi hicho cha fedha kwani nyingine zilikuwa katika mzunguko katika kampuni ya dada yake na hivyo kuamua kwenda kukopa Dola 200,000 katika CRDB.

Alisema baada ya kupewa fedha hizo za mkopo, hati ya nyumba hiyo ilibaki benki kwa makubaliano kwamba akishindwa kulipa, benki itaichukua.

“Tuliingia mkataba na CRDB kulipia nyumba ile kwa miaka minne na mpaka sasa hivi nalipia Dola 5,127 kila mwezi, haya yote yapo kwa Kamishna wa Maadili,” alisema Maige.

Huku akionyesha mikataba ya ununuzi wa nyumba hiyo, nyaraka za mkopo wa benki, Maige alisema awali, alikuwa na magari mawili ambayo aliamua kuyauza na kununua gari nyingine aina ya BMW kwa Sh70 milioni.

Alidai kwamba kama kuna mali kinyume na hizo yuko tayari kuapa hata kwa Biblia Takatifu na kusisitiza kuwa hivi sasa kuna mapambano ya kisiasa ndiyo maana shutuma dhidi yake zinaibuka kila kukicha.

“Ukisikia mali zangu tofauti na hizo ni uongo ndugu yangu na kwa mkopo niliochukua wakati nikiwa mbunge sina hela mpaka Juni 2015,” alisema na kuongeza:
“Nikijiuzulu ubunge leo hii maana yake ni kwamba itakuwa kazi kweli na sitaweza kulipa mkopo. Sijakopa kwa kivuli cha ubunge wangu, nimekopa kama Maige kwa sababu kiwango cha kukopa bungeni nimeshakimaliza.” ( Mwananchi, Aprili 26, 2012)

Swali la Watanzania wengi ni hili; " Hivi Rais anasubiri nini kupangua Baraza lake la Mawaziri?"
Na hilo ni Neno La Leo:
Maggid Mjengwa.

Back
Top Bottom