William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #81
CAG kitengo chake wapewe powers za ku investigate na ku prosecute kama FBI, achana na TAKUKURU HAWANA LOLOTE WALE!!!!
- Serious!
William.

Itaanza kwa mbwembwe nyingi! na magazeti yao yakipamba "Mawaziri sita ndani ya mahakama ya Kisutu" na Udaku kibao. JK awapa.............!hakuna lolote hapa..hivi ni siasa tu
Hivi ni kwamba CAG hatakiwi kumchunguza raisi
au raisi ni msafi sana?
Maana kila taarifa ya uchunguzi anayo toa sioni Ikulu ikiguswa
hata kidogo,lakini tunaona jinsi wanavo kula kodi kwa kutalii
ulimwenguni kote.
Iundwe independent elimination squad.
Inachunguza, inahukumu, ina eliminate kila afanyae madudu awe ni waziri au tarishi. Siku anayokuwa eliminated, anawekewa na hukumu yake na ushahidi kamili wa madudu aliyofanya.
Wakifika watano tu! ukimpa mtu hata soda atakataa! wacha "takrima" na "ten percent".
Halafu tangu jana unaongea pointi kumbe unaakili...Hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaIundwe independent elimination squad.
Inachunguza, inahukumu, ina eliminate kila afanyae madudu awe ni waziri au tarishi. Siku anayokuwa eliminated, anawekewa na hukumu yake na ushahidi kamili wa madudu aliyofanya.
Wakifika watano tu! ukimpa mtu hata soda atakataa! wacha "takrima" na "ten percent".
- Hakuna lislowezekana kama wamesoma ripoti kwa taifa na yanayofuata wananchi tukiyataka tayafuata, ila kama wananchi wamekata tamaa hivi then inakuwa ni kazi sana, ila ninaamini wananchi tukidai itafanyika kama wananchi walivyodai waondolewe!
William.
Mkuu.. Hebu nisaidie hapo kwenye red.. Tudaije ili ifanyike..? Maana tukiandamana ili ifanyike tunaambiwa ni wahuni na wanachama wa chama cha maandamano na fujo.. Tunaishia kupigwa risasi na marungu na kesi kupewa..! Tumepiga kelele mpaka sauti zimekauka.. Hakuna wa kutucikiliza na ndio kwanza tunadhihakiwa na kudharauliwa.. Tukiamua kutowachagua wanalazimisha iwe kwa kuiba na kununua kura ili waendelee kubaki madarakani..!
|
| |
|
kati ya watu wenye fikra chanya na wewe upo kwa hili nakuunga mkono cha umuhimu ni kufuata sheria tushinikize kuiba na kujiuzulu haitoshi kabisa wandugu- Tumedai waondolewe wameondoka, sasa tudai next step! SHERIA!William.
Mkuu.. Hebu nisaidie hapo kwenye red.. Tudaije ili ifanyike..? Maana tukiandamana ili ifanyike tunaambiwa ni wahuni na wanachama wa chama cha maandamano na fujo.. Tunaishia kupigwa risasi na marungu na kesi kupewa..! Tumepiga kelele mpaka sauti zimekauka.. Hakuna wa kutucikiliza na ndio kwanza tunadhihakiwa na kudharauliwa.. Tukiamua kutowachagua wanalazimisha iwe kwa kuiba na kununua kura ili waendelee kubaki madarakani..!
Iundwe independent elimination squad.
Inachunguza, inahukumu, ina eliminate kila afanyae madudu awe ni waziri au tarishi. Siku anayokuwa eliminated, anawekewa na hukumu yake na ushahidi kamili wa madudu aliyofanya.
Wakifika watano tu! ukimpa mtu hata soda atakataa! wacha "takrima" na "ten percent".
Wakuu JF heshima mbele sana,
- Well, kitendo cha Rais kuwabadili mawaziri waliokuwa wakituhumiwa kuhusika na upotevu wa hela za wananchi na ripoti ya CAG, kina maana moja tu kwamba hata na yeye ameridhika kwamba kuna ukweli au FACTS katika tuhuma walizokuwa wakituhumiwa nazo, ninasema great second day kwa Taifa, kwanza ilikuwa kuweka ripoti wazi to the public na kuruhusu mjadala wa public!
- Sasa ifike mahali pa kufanya kweli, yaani Watuhumiwa wote kufikishwa kwenye mkondo wa Sheria, haki itakua imetendeka na sio otherwise, kwanza haki kwao mawaziri maana wanahitaji kuwa wasafi mbele ya public na pili Serikali kulinda heshima yake kwamba sasa ipo serious, ama sivyo kuitoa ripoti ya CAG to the public itakuwa ni kazi ya bure, I mean mawaziri na viongozi wetu wakijua kwamba madhara ya kuiba ni kujiuzulu tu na kuachiwa ukale mihela ya wananchi tutakua tunajenga taifa la kusadikika, na itakuwa kazi kubwa kumpitisha Rais wa CCM 2015!
- MHESHIMIWA RAIS, UBARIKIWE KWA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI, SASA TWENDE MBELE ZAIDI TUFIKE KWENYE SHERIA NA WOTE WENGINE HAO MAKATIBU NA WAKURUGENZI ULIOSEMA KWENYE HOTUBA YAKO KUWA WANAHUSIKA NA WAO PIA UWE MWENDO WA KUELEKEA KWENYE SHERIA!, NI SHERIA TU NDIO INAWEZA KUTUSAFISHA WOTE, SERIKALI NA MAWAZIRI WALIOACHWA!
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM CITY!
Mkuu umeongea vizuri na ni mategemeo ya watanzania wote wangependa iwe hivyo,lakini kwa tanzania hii yetu ya leo sidhani kama kuna litakalofanyika maana tuna mifano mingi iliyopita na watu wameachiwa tuu wanaendelea kula inji hii mpaka leo na kesho.