Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,127
4yrs later tunapata habari hizi.... Mwale anaswa na Interpol!
Tunakaribia kuwa kama India ambako mtu anaiba kabisa kupitia wanasheria...Ujambazi kule ni kupitia wanasheria mahakamani
4yrs later tunapata habari hizi.... Mwale anaswa na Interpol!
Leo jamaa kasomewa mashtaka 13 - Wakili Medium Mwalle asomewa mashitaka 13 | Fikra Pevu | Kisima cha busara!Tunakaribia kuwa kama India ambako mtu anaiba kabisa kupitia wanasheria...Ujambazi kule ni kupitia wanasheria mahakamani
Mtu Aliyekamatwa Live Kwenye Tukio, Tena Akirushiana Risasi Na Polisi, Kwa Nia Ya Kutaka Kuwaua.
Je ingekuwa wewe ni Wakili na ambaye umethibitishiwa hayo, ungeweza kumtetea simply ana haki hiyo kisheria? Hawa jamaa lazima wawe na ubia na hao majambazi, In One Way Or Another. After All Lazima Ueleze Mambo Openly Ili Wakili Aweze Kukusaidia.
Hivyo Hawa Mawakili Huwa Wanaelezwa Kabisa Na Haya Majambazi Kila Kitu, Halafu Ndiyo Wanachukua Hizo Facts And Figures Kwa Ajili Ya Kwenda Kuzitetea Mahakamani. Yaani Hata Ile Collaboration Yao, Kwa Maana Ya Kuwatetea Majambazi, Kunawaqualify 100% Kuwa Ni Majambazi. Hivi Kweli Tutafika?
Inawezekana wanamegewa kidogo na hayo majambazi, ila siwalaumu sana mbona mkono naye anatetea mafisadi? Hivi sheria inaruhusu kumtetea mtu yeyote hata kama jamaa anarekodi ya ujambazi? Hawa wanasheria watajibu nini kwa Mungu siku ya hukumu?
...........................Ndio maana kina Mkono walichukua kesi ya Ditopile "fasta" kwani kwake yeye falsafa yake ni "The End Justifies the Means", ndo sababu mpaka kwenye orodha ya mafisadi yumo. So kwa kina Ojare na mwenzake you knever know ...the world is full of surprises, but time will tell...