Ndiye aliyekuwa na bastola akiinyoosha juu,alikuwa nyuma ya marehemu wakati akipata kipigo na hatimaye kulipuliwa.Mwanzoni tulidhani ndiye RPC.Hao mkuu ndo majambazi wenyewe wakiwa off duty.Hilo wala siwasingizii mkuu wangu.Hawa ni wauwaji na hawajaanza leo.Ni wanyama vibayaa!
Huyu hapa alikua uso kwa macho muangalieni vyema!
naombeni kuuliza....kwa anayefahamu,na aliyekuwa kwenye tukio,je camera ya Mwangosi ipo wapi?inaweza ikawa ushahidi tosha kama ilikuwa ON,au labda inaweza ikawa na maongezi yaliyokuwa yakifanyika na wana usalama walioutoa uhai wake......nawakilisha.
Oya oya wa M4C wakihamasisha vurugu.. haki ya nani vile hawa ukiwasachi haukosi silaha za jadi.
Mtiririko wa matukio kabla polisi hawajautoa uhai wa marehemu Mwangosi (RIP)
Picha zaidi zinakuja (mtandao upo slow)
Wakuu hizi picha mkiangalia kwa makini kuna nyuso zinajitokeza. Katika picha hii ya mwisho kuna shahidi muhimu ambaye amevaa kiraia, amejitokeza kwenye picha ya sita kutoka juu. Huyu haiyumkiniki ameshuhudia mlipuko na msambaratiko wa mwili wa marehemu...
Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe hadi ukweli uanikwe
Looks like he is the one with the LTK...Katikati kabisa ya tukio na bastola yake juu, huku chini mtu(RIP Mwangosi) utumbo unasambaratishwa.....I need to be convinced otherwise.
Mkuu nendeni channel ten mkazuie hiki kipindi kurushwa hewani otherwise mtazidi kuaibika.Click hapa uone hicho kipindi Kipindi Maalum Mauaji Ya Daudi Mwangosi - YouTube
Mkuu kumbuka pia kuna suala la kuthibitisha hawa polisi walienda kwenye operation maalum I.e wametoka mikoa tofautimbona picha zenyewe kama za harusi? kama hizi ndizo ulizonazo usijisumbuwe ku upload hamna kitu hapo.
Kipindi hata ukipike vipi, ukweli unabaki kuwa ukweli. Kajiuwa!
Mtiririko wa matukio kabla polisi hawajautoa uhai wa marehemu Mwangosi (RIP)
Picha zaidi zinakuja (mtandao upo slow)
Wakuu hizi picha mkiangalia kwa makini kuna nyuso zinajitokeza. Katika picha hii ya mwisho kuna shahidi muhimu ambaye amevaa kiraia, amejitokeza kwenye picha ya sita kutoka juu. Huyu haiyumkiniki ameshuhudia mlipuko na msambaratiko wa mwili wa marehemu...
Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe hadi ukweli uanikwe
Mkuu kunaa kitu nilikuwa sijakigunduwa, kumbe huyu jamaa hapo kiunoni ana bastora? swali wakati Mwangosi amedhitiwa na maaskari wote wenye silaha je yeye bastora yake alikuwa ameitowa juu ili kufanayaje? je kunabastora za kutowa machozi?
Hivi wakati haya yanatokea kina Slaa walikuwa wapi? Mbona hakuna picha hata moja wanayoonekana kina Slaa?
Kipindi hata ukipike vipi, ukweli unabaki kuwa ukweli. Kajiuwa!