Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha

Mtiririko wa matukio kabla polisi hawajautoa uhai wa marehemu Mwangosi (RIP)

Picha zaidi zinakuja (mtandao upo slow)

attachment.php

attachment.php

Wakuu hizi picha mkiangalia kwa makini kuna nyuso zinajitokeza. Katika picha hii ya mwisho kuna shahidi muhimu ambaye amevaa kiraia, amejitokeza kwenye picha ya sita kutoka juu. Huyu haiyumkiniki ameshuhudia mlipuko na msambaratiko wa mwili wa marehemu...

Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe hadi ukweli uanikwe

...Mwangalie vizuri huyo jamaa, kwenye picha ya chini ameshika chamoto, ila bado nampa benefit of doubt kuwa labda kwenye hiyo picha ya chini alikuwa anataka kumwokoa Mwangosi kwa sababu ni wa-pot wa Marehemu...
 
misilaha yote hiyo kwa watu wanaofungua tawi utadhani kuna vita.
tena silaha za moto
nadhani ni hujuma na sio bure
kwanini silaha za moto kwa wananchi ambao hawana silaha na wala hawakuwa na vurugu?
go go go GOOOOOOOOOO IGP, goo RPC, gooo RCO
na hoa vibaraka wadogo wanaotii amri kama mbwa waswekwe ndani kwa mauaji.
 
kuna huyo mmoja mwenye kofia nyekundu ni kama vile anazuiliwa kuchukua hatua fulani mi nadhani alitaka angalau amsaidie au kumkataza huyo askari asifanye hivyo ila ndo ikawa imetokea
Huwa mara nyingi nasema hawa watu wawe wanapimwa akili kwanza kabla ya kupewa hizo guns.
 
Nasema hivi, ile picha iliyoenea siku zote haina muuaji

Muuaji ndio huyu mwenye damu kwa evidence ya ANGLE of blood splatter

The fact that the murderer is not seen in the previous picture means the actual murdering came after that incident which was caught on camera a gun pointing at the stomach of the deceased
labda hatuelewani.. Tazama picha ya kwanza huyo kijana (kushoto kwa picha) aliyeshika bunduki ya kurusha bomu akiielekeza tumboni kwa marehemu halafu tazama picha ya pili kisha nambie kama sio yule yule.

Picha ya kwanza

attachment.php

Picha ya pili.
attachment.php
 
aliinuwa bastola juu kutawanya polisi mkuu na si watu.Hakukuwa na watu zaidi ya marehemu pale.Labda useme alikuwa akiwatisha polisi wenzake wasiendelee kumpiga marehemu.Kungekuwa na clip yenye sauti ingesaidia.

...good observation Mkuu, it makes sense, ukizingatia ni Wa-pot wa marehemu...

...Kimsingi nadhani mauaji yamefanywa na yule kijana mwembamba aliyeelekeza bunduki ya kulipulia mabomu ya machozi akiwa takribani mita 0.5 kutoka kwenye tumbo la marehemu, ifahamike kuwa bomu la machozi linapaswa kupigwa kwenye umbali wa takriban mita 100 ili lisiwe na madhara na shurti lisielekezwe direct kwenye mwili wa binadamu...

...Kosa la huyo dogo,kama hakutumwa basi ni kichwa cha bangi, alilenga mwili na alikuwa karibu mno kinyume na utaratibu wa matumizi ya mabomu haya, na mbaya zaidi nadhani badala ya kutumia bomu la machozi lenye kizibo cha njano yeye alitumia bomu la mlipuko ambalo lina kizibo chekundu japo yote yana rangi ya jungle green,kosa kubwa...

...Bomu la mlipuko likipigwa na kugonga kitu kigumu(kama uti wa mgongo kwenye kesi hii) linalipuka na kutoa kishindo kizito, naamini ndicho kilichotokea na kuusambaratisha mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi...
 
mkuu wewe uko off target kabisa.Ile picha aliyoelekezewa mtutu tumboni,ilipigwa kabla ya mlipuko ama wakati bomu linakuwa discharged.Ile picha ndo muuwaji yule mkuu.

Mimi nimetoa ushahidi wa kisayansi. Wewe unachofanya ni kusema tu mimi nipo OFF TARGET bila kutoa hoja. Nikuulize swali?

Unaelezeaje huyo askari kuwa na damu hapo katikati ya paji la uso wake. Yaani hata kifuani hana?

Nataka ujifanye wewe ndo ulikuwa unamchomeka marehemu kitu kinachosababisha damu iruke

Kama damu imekurukia hapo katikati ya paji la uso maana yake ulikuwa umesimama upande gani wa marehemu. Na je uliinama au ulikuwa umenyooka?
 
labda hatuelewani.. Tazama picha ya kwanza huyo kijana (kushoto kwa picha) aliyeshika bunduki ya kurusha bomu akiielekeza tumboni kwa marehemu halafu tazama picha ya pili kisha nambie kama sio yule yule.

Picha ya kwanza

attachment.php

Picha ya pili.
attachment.php
Mkuu umeitoa wapi hii? Kama unazo, ziweke hapa hawa mafirauni waonekane...
 
hii picha yenye damu ni ya siku nyingi ni tukio la zamani ila sikumbuki vizuri ila sio la iringa
 
labda hatuelewani.. Tazama picha ya kwanza huyo kijana (kushoto kwa picha) aliyeshika bunduki ya kurusha bomu akiielekeza tumboni kwa marehemu halafu tazama picha ya pili kisha nambie kama sio yule yule.

Picha ya kwanza

attachment.php

Picha ya pili.
attachment.php

Kwa maoni yangu siyo yule mkuu, na hiyo yote tunaumizwa vichwa kwasababu waliokuwepo hata hawataki kutusaidia. Sasa sijui morali ya kuprotest unyama huu tutapataje kama bado tukio halijatuingia akilini

Mkuu, tazama urefu wa hao watu halafu helmet zimetofautiana kwa nyuma. Pia collar ya shati la mwenye damu haijasimama kama ya yule wa picha ya kwanza

Unaweza kuwa sahii. Huo ni mtazamo wangu tu, mkuu
 
Na kweli, sisi tuna speculate kutokana na picha hizi zaidi ya hapo sina ushahidi wowote. Kuna baadhi ya picha utafikri sio za sehemu hiyo hiyo zinaoenekana kama sipo..Could be from two place zimechanganywa kutuumiza vichwa.
 
Hata hivyo cha msingi hatuajatofautiana kuhusu huyu mwenye helmet ya damu. Wote tunakubaliana ndiye muuaji

Tunapotofautiana ni ile picha ya kwanza tu
 
Hata hivyo cha msingi hatuajatofautiana kuhusu huyu mwenye helmet ya damu. Wote tunakubaliana ndiye muuaji

Tunapotofautiana ni ile picha ya kwanza tu
Aaaah sasa hapa ndipo tunapotofautiana zaidi kwa sababu ile picha ya kwanza ndiyo inatuonyesha wakati wa kitendo chenyewe tena zilikuwepo picha hapa JF kama in frame zikionyesha hatua baada ya hatua ya tukio hilo askari wakisambaa na kuacha mabaki ya marehemu yakionekana chini.

Sisi tunayetaka kumuona ni huyo kijana mwenye collar iliyposimama maana amekamatwa alikikifanya kitendo hicho. Huyu mwenye helmet yenye damu inaweza kuwa sehemu nyingine kabisa na tukio jingine.. Ni mtazamo wangu nikizingatia picha za kwanza kabisa zilizoletwa hapa JF..
 
labda hatuelewani.. Tazama picha ya kwanza huyo kijana (kushoto kwa picha) aliyeshika bunduki ya kurusha bomu akiielekeza tumboni kwa marehemu halafu tazama picha ya pili kisha nambie kama sio yule yule.

Picha ya kwanza

attachment.php

Picha ya pili.
attachment.php
Mkandara,huyo aliyeshika bunduki ya kutupa bomu la machozi ni "mkavu zaidi",mikono yake tofauti kabisa na wala si kwasababu ya picha.Yeye ni mfupa zaidi ya huyu wa pili.
 
Dah! Sijui watafungwa na nani? Tuombe MUNGU, baada ya muda tutasikia hili swala liko mahakamani hakuna kulizungumzia.

Time will tell yote yatadhihirika na wakichakachua nafsi zao zitawasuta kwani watajuta milele mpaka uzee wao
 
[video]chrome://newtabhttp//www.youtube.com/watch?v=3jaK_aTlFE8&feature=pl ayer_embedded[/video]
 
Aaaah sasa hapa ndipo tunapotofautiana zaidi kwa sababu ile picha ya kwanza ndiyo inatuonyesha wakati wa kitendo chenyewe tena zilikuwepo picha hapa JF kama vrame zikionyesha baada ya tukio hilo wakisambaa na mabaki ya marehemu yakionekana chini.

Sisi tunayetaka kumuona ni huyo kijana mwenye collar iliyposimama maana amekamatwa alikikifanya kitendo hicho. Huyu mwenye helmet yenye damu inaweza kuwa sehemu nyingine kabisa na tukio jingine.. Ni mtazamo wangu nikizingatia picha za kwanza kabisa zilizoletwa hapa JF..

Mkuu, Mkandara naona huyu mchangiaji hapa chini ana mtizamo sawa na mimi. Anyway inasemekana anafikishwa mahakamani leo/kesho tusubiri kuona picha zake hasa umbile
Kama sio kiini macho ni sawa, lakini kuna wale askari waliomzunguka na kumpiga (kabla hajafariki) nao wakamatwe na kushitakiwa, kwa sababu walikuwa wanampiga bila kosa lolote na kisheria hawatakiwi kupiga. Kiongozi wao alikuwa anawakataza lakini wakakaidi amri hiyo na kuendelea kutembeza kipondo. nao wakamatwe iwe funzo kwa hawa wengine.
 
Mkandara,huyo aliyeshika bunduki ya kutupa bomu la machozi ni "mkavu zaidi",mikono yake tofauti kabisa na wala si kwasababu ya picha.Yeye ni mfupa zaidi ya huyu wa pili.
Dah wenzangu mnajua kweli kupima hata mkipewa picha ya kichwa tu.. sasa huyu wa picha ya pili ana urefu gani? au watu wenye kichwa mviringo na pua pana mara nyingi huwa sii warefu?.. ahaha ahaha!! ama kweli Wabongo kiboko..nimechoka.
 
Mimi nimetoa ushahidi wa kisayansi. Wewe unachofanya ni kusema tu mimi nipo OFF TARGET bila kutoa hoja. Nikuulize swali?

Unaelezeaje huyo askari kuwa na damu hapo katikati ya paji la uso wake. Yaani hata kifuani hana?

Nataka ujifanye wewe ndo ulikuwa unamchomeka marehemu kitu kinachosababisha damu iruke

Kama damu imekurukia hapo katikati ya paji la uso maana yake ulikuwa umesimama upande gani wa marehemu. Na je uliinama au ulikuwa umenyooka?
Sidhani kama niliijibu posti "uliyotoa ushahidi wa kisayansi",go and revisit.

Kama unazungumzia "blood splatters",basi ni kweli inabidi ucreate mazingira kama hayo ya exposion halafu ndo utajuwa how is it possible that he had those blood spaltters on those areas.Siwezi kusema for sure proximity yake na marehemu wakati wa tukio,however ni wazi alikuwa in a close range.Na kwasababu ni bomu,pengine damu ziliendelea kuchuruzika kwa hali ya juu right baada ya mlipuko,kwasababu marehemu alichanwa chanwa,ni tofauti na impact ya let's say a knife or even a point blank gunshot.Kuna wanaosema kwamba alipigwa risasi kabla ya bomu ili kuficha ukweli huo.Angekuwa karibu sana,kwa mlipuko wa bomu lilomsambaratisha marehemu,basi angekuwa na damu zaidi ya hiyo.
 
Back
Top Bottom