Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha


Jamaa ni Jembe Kweli Kweli, nakumbuka wakati nipo Shule tulikuwa tukimuita "President" Kwani alikuwa na uwezo mkubwa sana wa Kujenga hoja na Kuisimamia.........Benson Singo Kigailla!!!
 
Naona waandishi wengi wana video camera, si watupe mkanda mzima wa kilichojiri??
 
Huyu hapa alikua uso kwa macho muangalieni vyema!
 

Attachments

  • 117835291.jpg
    117835291.jpg
    34.9 KB · Views: 2,234
Sijui tunaenda wapi!Polisi wanatakiwa kulinda raia,lakin siku hiz wanaua watu wasiobeba hata jiwe.daaah!ngoja tusubir kama kwel hakitatendeka au ule usemi usemao"DUNIANI HAMNA HAKI BALI MBINGUNI"Utajidhihirisha.Apumzike kwa Aman Amina.
 
hivi unatarajia tume ya nchimbi iwe nzuri na safi wakati yy sio msafi

nakumbuka wakati ni mwenyekiti,wa UVCCM taifa jamaa alifanya ukatili wa kutosha na mauwaji.si shangai ndiye aliyeamuru police wauwe,akijua Chadema wataondoka wakutosha.

Mungu akawafunika na kwakuwa alitaka kuwaumbua akamtoa mwanae aliyempenda zaidi.
Amen.
 
Sijui tunaenda wapi!Polisi wanatakiwa kulinda raia,lakin siku hiz wanaua watu wasiobeba hata jiwe.daaah!ngoja tusubir kama kwel hakitatendeka au ule usemi usemao"DUNIANI HAMNA HAKI BALI MBINGUNI"Utajidhihirisha.Apumzike kwa Aman Amina.
 

Jamaa ni Jembe Kweli Kweli, nakumbuka wakati nipo Shule tulikuwa tukimuita "President" Kwani alikuwa na uwezo mkubwa sana wa Kujenga hoja na Kuisimamia.........Benson Singo Kigailla!!!
nilicho kiona ni kwamba polisiccm wana waweka askari kanzu miongoni mwa mashabiki wa cdm ,na kuwafanya chanzo cha fujo ili kuipakazia cdm kwamba ndio wakorofi.
 

kamanda ana hasira.... inasikitisha sana democrasia inabakwa mchana kweupeeeee
 
Da uyo aliye vaa kiraia ni shahidi wa kwanza anajua kila kitu kabisa hii haina ubishi! Yan wana zidi kuumbuka kabisa!
 
Huu ni ushahid wa kutosha na anayekataa atakuwa katai ya wa uwaji hao. Hivyo hata kuunda tumne ni kupoteza rasilmali za watanzania. mwema na wenzake wanatakiwa kukamatwa kwa nchi inayoendeshwa kisheri.
 
Ukweli utafahamika tu na haki isipotendeka hapa duniani aliyetenda ajue atailipa tu gharama hiyo mbele za mwenye haki na anayemiliki yote

Waliofanya unyama huu wajue kuwa dhambi hii itawasumbua katika nafsi zao tu hata kama wasiposema ila ipo siku watasema kwa waliokaribu yao

Imefika wakati sasa jeshi la polisi kujua kuwa kufa ni haki ya kila mmoja wetu na wao pia wamejiandaJe kukabili mauti yao? maana hawataishi milele na je utasema nini mbele ya mola wako kwa kuua wasio na hatia?

Kama hawaamini kufa waangailie watu wote mashuhuri wako wako wapi leo hii?
Nawausia ndugu zangu polisi awe mkristo au mwislamu au mpagani "MUNGU AMEKUPA AKILI NA UTAULIZWA JUU YA AKILI YAKO ULIVYOITUMIA" NA JE UKIAMRISHWA HATA KUMUUA MAMA YAKO ILI KUMFURAHISHA MKUBWA WAKO UTAFANYA HIVYO? JE UKIMFURAHISHA ATAKUONAJE? KAMA UMEMUUA MAMA YAKO ALIYEKULETA DUNIANI/UMEKAA TUMBONI MWAKE MIEZI 9 JE HUTAWEZA KUMUUA YEYE PIA? JE YEYE ANAUBORA GANI KWAKO ZAIDI YA MAMA YAKO?

NA USISHANGAE KESHO AKAKUKANA MBELE YA SHERIA KUWA HAKUKUTUMA KUFANYA HAYO ILI UWEKWE/UNYONGWE KUMBE WEWE AKILI YAKO HAIKUSAIDII NA HAIWASIDII WALIOKARIBU NAWE BALI NI BALAA TU TOKA KWAKO! KUMBUKA UNAOWAUMIA WANAWATEGEMEZI KAMA WEWE UNAVYOTEGEMEWA NA MKEO/WAZAZI WAKO/NDUGU ZAKO NA DUA ZAO KWAKO BALAA KWAKO NA SI KWA BOSI WAKO NA NI WEWE ULIYEUA NA SI BOSI WAKO KWA VILE UNA AKILI TIMAMU NA SI KICHAAA.

Cha msingi tumieni neema mlizopewa na aliyewaumba nyinyi nyote (Askari na Raia) ili mpate kufaulu mbele za mungu na hakuna cha kumfaa mtu kesho kaburini kwake kama hakutumia akili yake vizuri.

Maana si kila kitu unafanya kama ni mwanaumme ni wanawake wangapi umewatamani barabarani? Je wote umelala nao? Je wangapi wake za watu umewatamani? na je umelala nao? Na je wangapi wamekuudhi je wote umewaua? Je mkeo/mwanao aliyekuuzi je umemuua?

Si kila kitu tunafanya tuyatamaniyo au tuyatakayo bali ni machache tu tuyafanyao na kumbuka kuwa MWENZAKO/BOSI ANAWEZA KUKUAMRISHA KITU AMBACHO HATA YEYE MWENYEWE HAWEZI FANYA NA HIVYO NI BORA KUFIKI KABLA YA KUTEKELEZA AMRI YAKE/AGIZO LAKE
 
Tunataka zile picha zilizopigwa wakti wa kitendo cha kumlipua marehemu Mwangosi ili ziwe ushahidi wa kuwa-pin polisi wa IGP Mwema.

Tiririka Tiririka mkuu!Hawa lazima wafungwe!


Tunazisubiri mkuu...Mungu amewaumbua wauwaji hawa.

lete faster

mkuu huyu sio ushahidi tosha tupia picha za ukweli

Endelea kuweka!

Azitowe wapi? labda mumfundishe kutumia picha duka!
 
Hivi wakati haya yanatokea kina Slaa walikuwa wapi? Mbona hakuna picha hata moja wanayoonekana kina Slaa?

Waswahili usema ukimuona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi,babu anajipenda umri ule mfupa ukivunjika haungiki hata kwa super glue.
 
Huyu hapa alikua uso kwa macho muangalieni vyema!
Kwanza anaonekana kavuta mibangi!! Hakuna la maana analoweza kufanya akiwa hivi zaidi ya kwenda kama robot!! Jeshi la polisi linachemka vibaya sana kufanya mambo kinyume na taratibu na sheria inavyosema!!
 
For a wiseman in all of these things, you don need to form a commission or to waste your precious time to urgue with wananchi. You stand 1) Apologize 2) Resign 3) Wait for prosecution, other wise wananchi will stone you. God bless you!!
 
  • Thanks
Reactions: kui
attachment.php


Oya oya wa M4C wakihamasisha vurugu.. haki ya nani vile hawa ukiwasachi haukosi silaha za jadi.
 
Back
Top Bottom