Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha

Huyo aliyeketi chini akilie, mwenye scarf ya CHADEMA ni nani? Anasikitisha sana! Jamani! Nchi hii mbona HIVIIIII?
 
kwanini polisi walitumia nguvu kuwazuia wanachama halali kufungua tawi la chama chao?
 
Huyu askari kanzu mwenye kofia nyeusi na kaptura ya kombat anajua kila kitu..

Ndiye aliyekuwa na bastola akiinyoosha juu,alikuwa nyuma ya marehemu wakati akipata kipigo na hatimaye kulipuliwa.Mwanzoni tulidhani ndiye RPC.Hao mkuu ndo majambazi wenyewe wakiwa off duty.Hilo wala siwasingizii mkuu wangu.Hawa ni wauwaji na hawajaanza leo.Ni wanyama vibayaa!

Polisi ni genge la uhalifu,hawalipwi vizuri lakini fwatilia pesa zao na mtanuzi yao.ccm inawaachia wafanye wanalotaka almuradi watetee chama hicho,so its a give and take situation.Polisi wanafanya ujambazi "kihalali",kwani ndo wenye silaha,na huwa wanalindana kwenye hizo shughuli.Hata kama kuna majambazi raia,lakini huwa wanakula na polisi na kila wakifanya ujambazi,ni lazima kuna fungu wanapeleka huko.That's the truth.

Ccm ikishaondolewa,hili jeshi ni la kulivunjilia mbali,halafu wale wote wenye damu mikononi mwao na majambazi ni lazma wafikishwe kwenye mkono wa sheria.Tuanahitaji kuanza upya kabisa.Kuna kizazi kipya vijana wata take over,hawa ndani ni lazima,labda wahame nchi.
 
naombeni kuuliza....kwa anayefahamu,na aliyekuwa kwenye tukio,je camera ya Mwangosi ipo wapi?inaweza ikawa ushahidi tosha kama ilikuwa ON,au labda inaweza ikawa na maongezi yaliyokuwa yakifanyika na wana usalama walioutoa uhai wake......nawakilisha.

RPC Iringa atakuwa nayo
 
Huyu Aliyevaa kiraia anaonekana kuwa na Bastola na ameweka kidole kwenye trigger.
Mtiririko wa matukio kabla polisi hawajautoa uhai wa marehemu Mwangosi (RIP)

attachment.php


attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


Picha zaidi zinakuja (mtandao upo slow)

attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


Wakuu hizi picha mkiangalia kwa makini kuna nyuso zinajitokeza. Katika picha hii ya mwisho kuna shahidi muhimu ambaye amevaa kiraia, amejitokeza kwenye picha ya sita kutoka juu. Huyu haiyumkiniki ameshuhudia mlipuko na msambaratiko wa mwili wa marehemu...

Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe hadi ukweli uanikwe
 
Huyu askari kanzu mwenye kofia nyeusi na kaptura ya kombat anajua kila kitu..

Looks like he is the one with the LTK...Katikati kabisa ya tukio na bastola yake juu, huku chini mtu(RIP Mwangosi) utumbo unasambaratishwa.....I need to be convinced otherwise.
 
Very sad, ...damu ya huyu muandishi Slaa lazima ailipe ! poleni sana familia nasikia kulia kabisa
 
attachment.php


Huyu si Kipara Mac Reagan? kaficha nini huko nyuma au spoku?
 
Huyo bonge mwenye kaptula,shati la blue na kofia nyeusi anaonekana ameshika bastola huenda ndiyo aliyefyamfytulia bastola kable ya kulipuliwa bomu naye ndia awe moja ya wasitakiwa wa mwanzo kwa kuua
 
mbona picha zenyewe kama za harusi? kama hizi ndizo ulizonazo usijisumbuwe ku upload hamna kitu hapo.
Mkuu kumbuka pia kuna suala la kuthibitisha hawa polisi walienda kwenye operation maalum I.e wametoka mikoa tofauti

Hizo picha zitasaidia baadhi yetu members kuwatambua na kuthibitisha hilo. TRY TO LOOK ON THE BRIGHT SIDE
 
Mtiririko wa matukio kabla polisi hawajautoa uhai wa marehemu Mwangosi (RIP)

attachment.php


attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


Picha zaidi zinakuja (mtandao upo slow)

attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


Wakuu hizi picha mkiangalia kwa makini kuna nyuso zinajitokeza. Katika picha hii ya mwisho kuna shahidi muhimu ambaye amevaa kiraia, amejitokeza kwenye picha ya sita kutoka juu. Huyu haiyumkiniki ameshuhudia mlipuko na msambaratiko wa mwili wa marehemu...

Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe hadi ukweli uanikwe

Huyu unayemsema raia naye kashika bastola kaielekeza juu, angali kilijichojitokeza katikati ya askari mwenye bereti nyekundu na nyeusi. Ni mkono ulioshika bastola wenye shati la kiraia rangi sawa na shati ya huyu unayemsema, huo ni mkono wake. Juwa kuwa kuna askari huwa wanavaa kiraia na kujichanganya na wananchi ili kuchukua taarifa na kutuma kwa wenye uniform. wakizidiwa huwa wanatoa silaha, mara nyingi huwa ni bastola.
 
Huyu askari kanzu mwenye kofia nyeusi na kaptura ya kombat anajua kila kitu..

Mkuu kunaa kitu nilikuwa sijakigunduwa, kumbe huyu jamaa hapo kiunoni ana bastora? swali wakati Mwangosi amedhitiwa na maaskari wote wenye silaha je yeye bastora yake alikuwa ameitowa juu ili kufanayaje? je kunabastora za kutowa machozi?

Haya ni mauwaji ya kupangwa na nawaonya Chadema kuwa macho kwenye mikutano yao, nilidhani Mnyika anaongea propaganda kwamba kwenye mikutano yao kuna watu wabaya huwa wanakuja na silaha na wengine wanavaa kombati za Chadema ili kuleta image mbaya kwa chama.

Hili tukio haliitaji tume wala kamati, huyo askari kanzu alikuwepo hapo kwa ajili ya mauwaji tu,sasa ndio nimeelewa ni kwa Frasis Godwin ametoweka Iringa. hii ni zaidi ya hatari.
 
Hivi wakati haya yanatokea kina Slaa walikuwa wapi? Mbona hakuna picha hata moja wanayoonekana kina Slaa?

Chadema wana intelijensia ambayo ilishavuja harufu ya kulipuliwa Slaa, ndo maana wakachelewa katika vikao vyote viliwli vya ufunguzi wa matawi, lao hii ingekuwa hadithi nyingine.
 
Kipindi hata ukipike vipi, ukweli unabaki kuwa ukweli. Kajiuwa!

Nasali sana na mtoto wako wa kumzaa ajiue! Kama alivyojiua Mwangosi. Na amini nakuambia Mungu si Mnafiki atajiuwa.

Na kila Ukila Nyama ukumbuke ule mwili mliousambaratisha.

mcxxxxxm.
 
Back
Top Bottom