Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha

ukweli unajionesha dhahiri waliohusika,mkuu wa kikosi kilichoshambulia raia anajua kilakitu,yeye ndio wakukamatwa.
 
kuna mjinga mmoja anasema eti slaa alipe damu..hivi wewe huna akili? Wa kulipa damu ni slaa au hao wanaomshambulia ndugu mwangosi..you are very poor indeed
 
Mtiririko wa matukio kabla polisi hawajautoa uhai wa marehemu Mwangosi (RIP)












Picha zaidi zinakuja (mtandao upo slow)

attachment.php









attachment.php


Wakuu hizi picha mkiangalia kwa makini kuna nyuso zinajitokeza. Katika picha hii ya mwisho kuna shahidi muhimu ambaye amevaa kiraia, amejitokeza kwenye picha ya sita kutoka juu. Huyu haiyumkiniki ameshuhudia mlipuko na msambaratiko wa mwili wa marehemu...

Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe hadi ukweli uanikwe

Mkuu, Huyo Jamaa ukimuangalia vizuri ni Mmoja wao PoliCCM, si unaona hiyo Picha hapo chini ameshika Bastola Mkono wake wa Kulia, Ngoja nisisendelee kuandika maana nawezapigwa BAN kwa kuwa tusi Vibaya POLICCM
 
attachment.php.jpg


Hii picha backgroud yake inaonyesha wazi kuwa siyo ya pale kwenye tukio.
Kwanza hata ukiangalia rangi ya ardhi inatofautiana na zile za kwanza, pili hii nyumba ina bati juu wakati zile za kwanza ni kama tiles vile, then hapakuwa na Polisi mwenye uniform hizi za huyo anayeonekana nyuma yake kwenye picha za mwanzo, wote walikuwa wamevalia zaidi za FFU. Aina ya miti na majani ni pia ni tofauti sana.
Chunguzeni zaidi mtaona kuwa mwenye kuileta hii picha hapa anataka kupotosha ukweli tu Jambo ambalo si zuri.


Umesha-conclude kufananisha vitu viwili tofauti kisha vionekane kuwa ni sawa kwa kila kitu. Haiwezekani. Kumbuka kuwa hapa unazungumzia series of events, ambayo hayakutokea exactly at one and the same point kaka. Lakini nimependa hiyo spirit ya kuhoji kutaka kujua...curious to know. Safi sana.Katika hili polisi wanapaswa kujua tu kuwa wanazidi kuharakisha kukataliwa kwa serikali ya CCM.
 
No doubt huyu ndo muuaji. Tazama damu kwenye kofia na hiyo miwani. Nimeangalia kwa makini ile picha pale Mwangosi alipokuwa anapigwa, askari pekee aliyekuwa amevaa kofia ya namna hii, NI HUYU PEKEE. Na nyie hakikisheni

attachment.php



Msanii katuingiza mjini kama jina lake. Hii picha ilichukuliwa tukio tofauti kabisa. Ni huko Chunya Mbeya

http://mbeyayetu.blogspot.com/2012/03/wananchi-wawafanyia-vurugu-polisi.html?m=1
 
Back
Top Bottom