Matusi………………..!

Niliku-PM mbona kimya, tuko pamoja mtu wetu! Binafsi sijuhi kitu kinachoitwa tusi, naamini mtu yeyote anayo haki ya kunisema lolote nami haki yangu ni kuamini au kutoamini alichosema. Tuseme ameniambia **#@# ya mama yangu..nami huwa najiambia hivi: mama angekuwepo angemuonyesha **#@ yake akaona kuwa ni kiungo cha mwili tu kama jicho, mkono au ulimi. Mimi sina hata sababu ya kupigana.

Ha ha ha ha haaaaaaaaaaa, nilikujibu kwa Email yako.............. soma email yako
Hivi siku zote ulikuwa wapi? maana kila nikiweka thread hapa sioni changamoto zako, karibu tusaidiane kubadilisha mitazamo ya wenzetu........ taratibu tu wataelewa na kuondokana na akili za kupewa...............LOL
 
mikongojo na tahajudi za vitendo?
matusi yanahusika aisee????lol
Dah! Kama mkongojo unahusika na matusi basi babu ntajikongoja. Ntakula papa kwa wingi ili niimarishe nguvu za misuli.........Siamini kama Papa naye ni matusi.....
 
Sasa wewe umeogopa kuulizia mkongojo au kuiulizia laana inayoletwa na mkongojo!
Hahaha! Nimeogopa kuulizia mkongojo...hivi kumbe kuna laana inayoletwa na mkongojo eeh?..ntakuja tuition ya hilo somo?
 
Dah! Kama mkongojo unahusika na matusi basi babu ntajikongoja. Ntakula papa kwa wingi ili niimarishe nguvu za misuli.........Siamini kama Papa naye ni matusi.....

umesema papa??akiwa ni papa mdogo anaitwaje????lol
 
Back
Top Bottom