Matusi………………..!

Niliku-PM mbona kimya, tuko pamoja mtu wetu! Binafsi sijuhi kitu kinachoitwa tusi, naamini mtu yeyote anayo haki ya kunisema lolote nami haki yangu ni kuamini au kutoamini alichosema. Tuseme ameniambia **#@# ya mama yangu..nami huwa najiambia hivi: mama angekuwepo angemuonyesha **#@ yake akaona kuwa ni kiungo cha mwili tu kama jicho, mkono au ulimi. Mimi sina hata sababu ya kupigana.
 
mkuu hili la wazazi au mke au ndugu yangu wa karibu sijui kama ni kufundishwa tangu utotoni
Mzazi wangu nampa heshima zote na maneno mengine siwezi yaruhusu yake kwake so kwangu yale maneno ambayo ni offesnsive bado nayaregard kama matusi
Na ndo maana abusive language dhidi ya mtu ni kosa kisheria pia

Hiyo sheria imetungwa na hao hao waliotufundisha kwamba kuna lugha ya matusi.................jambo moja ambalo wengi hamlijui, ni kwamba sisi tangu utotoni tumepewa majibu ya kila tukio linalotokea maishani.............. na ndio maana tunahukumu kulingana na jinsi tulivyofundishwa........... hata huko kwenye sheria nako wanahukumu kwa kurejea kesi za zamani.
Si hivyo tu hata hapa JF, ukiweka Thread kuzungumzia jambo , utaulizwa chanzo (Source) iko wapi..........hata kama jambo liko wazi lakini halitaaminika mpaka kitolewe chanzo hata kama ni cha uongo...........
Katika ndoa zetu hivyo hivyo, tunatatua migogoro au hata kuachana na wenzi wetu kwa kurejea matukio ya aina hiyo........... aliyekufundisha kuwa mgoni huuawa au kufikishwa kwenye baraza la Kimila au mahakamani ni nani? Kama ni hivyo Mbona huko Umasaini hakuna kesi za Ugoni......................?
 
Una ushahidi wowote? Afu unajua dawa ya deni kulipa? Na madeni lazima yaambatane na riba? Sidhani kama hili ni tusi!
Deni nitalipa believe me! Riba atapokea Kaizer badala yako!,.. Afu nimekumbwa na mkasa mjukuu wako, vile siku hizi wajukuu tumekuwa wengi nimeshindwa hata kukusimlia manake sina hakika kama utanipa nafasi... Nikipata nauli jijini nitakufuata...lol
 
Hapo kwenye riba ndo napoogopa zaidi. Isije ikawa riba imekuwa kubwa kuliko deni lenyewe....... Pole kwa mkasa, hope si wa kustua. Nafasi nsikupe tena, kumbe ntampa nani?..........Unakaribishwa, ukifika we bisha hodi tu, babu atakupokea akiwa na mkongojo wake LOL
 
mkongojo???? matusi mengine hayo....lol
 
Back
Top Bottom