Matumizi ya simu katika Mahusiano

lakiii unajua kuna mbinu mpya imegundulika namna ya kuiblock simu yako unapolala kwa CALL BARRING!ukiweka hiyo unamuachia simu wife hata siku mbili haiiti,wala sms haiingii lakini inatoa tu

vipi niiweke hadharani..........?

Geoff, tuwekee tuokoe hizi ndoa, kwani wake tunawapenda lakini vibinti navyo, mmmmmm!!!!
 
MJ1-ulipaswa kuwa more patient!...MORE and MORE!

MY TRUE STORY:kuna wakati fulani baada ya miaka miwili ya mahusiano niliingia mgogoro mkubwa sana na huyu wife wa project 13/02/2010,NIKAFIKIRIA NA KUAMUA KUMUACHA!...lakini pamoja na kumzozobokea sana yeye aliendelea kuja home KILA SIKU.nikaamua kuwa ninaondoka na ufunguo,nikirudi geto saa moja hivi nimetoka chuo NAMKUTA MLANGONI ANANISUBIRI......

imeenda weeeeeeee hadi hasira zikaniishia.nadhani ule ndio ulikuwa mwisho wa kugombana hadi leo ni mwaka wa tano

Hongera sana. Me I did what I managed to do in vain so nimenyanyua mikono ka mzee wa konyagi
 
mimi nadhani ungekaa hivyo hivyo tu!at least kuna harmony ndani ya nyumba

ingawa mtu kama mimi tunaosimuliwa tunahisi kama jamaa UNAMUOGOPA KULIKO INAVYOSTAHILI...!well,sio kitu kibaya kwasababu pia hatujui BACKGROUNDS ZENU

yani hapo upo wrong kichizi.....yaani ni mazoea hayo tu hayajaniingia akilini, sio kwamba naogopa kwamba nitakuta vicvokutwa, hapana kabisa, na yeye mwenyewe huwa anagomba juu ya hili na anaona kama cmwamini kabisa, lakini ndivyo ilivyotokea, ndio ngoja nianze sasa, taratibu taratibu...mie napenda kumpa uhuru na fone yake wakati mwingine tukiwa pa1 ikiita ndio ataniambia hebu mpokee mwambie hivi na vile...ngoja nijifunze kusoma sms sasa.
 
jamani eeh!nitairusha tena hiyo CODE ya call-barring ili tuzinusuru hizi ndoa......!lakini nitaiondoa after five minutes,TUPO PAMOJA?
 
Mimi hizi topic za namna hii huwa sipendi kuchangia zinanikumbushiaga machungu.

Wangu alikuwa ni yule wa YAKE YAKE YANGU YAKE. Nikitoka kazini tu anaponipick anachukua simu yangu na kuiweka mfukoni kwake ndo huipati hadi kesho anapokushusha ofcn asubuhi. Akifika nyumbani anaikaguaaaaaa na maswali anayatunga mbona hii hapa missed call haina jina ni nani? Mwambie ni mtu alinibeep simjui ni kosa unamjua na ndo mana hujasave jina yaani ni kwesi. But ya kwake kwanza ina pin code kama nne kisha kila aingiapo ****** yuko nayo yaani hadi akilala anaiweka chini ya mto wake ah!! Bahati yake sikuwaga na tabia ya ugomvi.
mmmmh!!!!!!
 
MJ1-ulipaswa kuwa more patient!...MORE and MORE!

MY TRUE STORY:kuna wakati fulani baada ya miaka miwili ya mahusiano niliingia mgogoro mkubwa sana na huyu wife wa project 13/02/2010,NIKAFIKIRIA NA KUAMUA KUMUACHA!...lakini pamoja na kumzozobokea sana yeye aliendelea kuja home KILA SIKU.nikaamua kuwa ninaondoka na ufunguo,nikirudi geto saa moja hivi nimetoka chuo NAMKUTA MLANGONI ANANISUBIRI......

imeenda weeeeeeee hadi hasira zikaniishia.nadhani ule ndio ulikuwa mwisho wa kugombana hadi leo ni mwaka wa tano

inategemea na mambo mengi tu kaka yangu, kila mtu anaweza kushindilia chakula kadiri ya tumbo lake na kutegemea ni chakula cha aina gani ukilazimisha zaidi ya hapo ni tabu tupu, we can only do our best au?
 
yani hapo upo wrong kichizi.....yaani ni mazoea hayo tu hayajaniingia akilini, sio kwamba naogopa kwamba nitakuta vicvokutwa, hapana kabisa, na yeye mwenyewe huwa anagomba juu ya hili na anaona kama cmwamini kabisa, lakini ndivyo ilivyotokea, ndio ngoja nianze sasa, taratibu taratibu...mie napenda kumpa uhuru na fone yake wakati mwingine tukiwa pa1 ikiita ndio ataniambia hebu mpokee mwambie hivi na vile...ngoja nijifunze kusoma sms sasa.

Umeshacheki BP yako siku za karibuni? Kama bado nakushauri ukacheki kwanza!
 
mie bwana cjui hata ni kwanini cpendi/ctaki kushika cmu yake hata kidunchu, cjui ni kwanini roho hainipi hata kusema hebu leo chungulia, lakini ya kwangu ni kama yake, anahangaikaga na fone yangu kiama, nakumbuka kuna cku alisahau fone home mie bado cjatoka kwenda job, fone iliitaaa wee mie naitazama tu kumbe ni yeye alikuwa anacal nimpitishie fone ofcn mie nilijiendea job na kuiacha hapo hapo....ugomvi wake jioni ile ulikuwa balaa.

Afadhali kwa utaratibu huo presha kwako utaisikia kwa jirani tu, kwani kuchunguza simu yake utakuja muacha mume bado unampenda.
 
kwa ninavyokutathimini NYAMAYAO naona uko TOO EMOTIONAL,..!i mean unaweza kumbana na mkiki mkiki wa kawaida ukakutengenezea stress.i suggest wewe uendelee hivyo hivyo KUAMINI,KUJIPA MOYO NA KUTO TEMPER NA HIYO SIMU

hapo umenipata kabisa,.....nimekuelewa G.
 
Umeshacheki BP yako siku za karibuni? Kama bado nakushauri ukacheki kwanza!
kuhusu kusoma sms, jamani msifurahie kukuta sms zako tu kwenye simu ya mai waifu wako ukajihisi ndio umefika!!!, lols kuna zile zinajibiwa na kufutwa ASAP!!.
 
inategemea na mambo mengi tu kaka yangu, kila mtu anaweza kushindilia chakula kadiri ya tumbo lake na kutegemea ni chakula cha aina gani ukilazimisha zaidi ya hapo ni tabu tupu, we can only do our best au?
...........lakini PATIENT IS LOVE!unajua kila nikiikumbuka hii incidence huwa najichukia sana,najiona nilishindwa kuwa considerate!maanake mimi ni kwamba seriously niliamua kumuacha na nikatafuta kitoto kingine.lakini yeye aliendelea kukomaa!

leo hii ananiambia aliamua kufight for what belonged to her kwasababu alishaweka 'an oath' kwamba G will be her first man to know her!...ishu ya kuoa mimi ndiye niliyeamua
 
Let me tell u a secret...........No man is a better man, we r all the same, bileave me you!!!! I hope have no plans to run up or down to another

Unafikiri hiyo siri basi? Wanaijua sana tatizo hawaielewielewi kwa makusudi!
 
kuhusu kusoma sms, jamani msifurahie kukuta sms zako tu kwenye simu ya mai waifu wako ukajihisi ndio umefika!!!, lols kuna zile zinajibiwa na kufutwa ASAP!!.

ndio mana mie najionelea niachane na mambo ya fone kabisa.
 
...........lakini PATIENT IS LOVE!unajua kila nikiikumbuka hii incidence huwa najichukia sana,najiona nilishindwa kuwa considerate!maanake mimi ni kwamba seriously niliamua kumuacha na nikatafuta kitoto kingine.lakini yeye aliendelea kukomaa!

leo hii ananiambia aliamua kufight for what belonged to her kwasababu alishaweka 'an oath' kwamba G will be her first man to know her!...ishu ya kuoa mimi ndiye niliyeamua

Ukirudi home, mtwange MSHIKI busu moja kwa heshima yangu!
 
Back
Top Bottom