Matumizi ya simu katika Mahusiano

mimi naangaliaga simu yake mbele yake na yeye anaangalia ya kwangu mbele yangu huku nikimkodolea macho hamna kujificha ficha wala nini

mie ya kwangu atapokea calls/atanisomea sms wakati mwingine anaweza kukuuliza, nimjibuje huyu, lakini ya kwake mie wallaa, cjui nijifunze kuichokonoa sasa mana anajiaminigi sana kwamba cwez kuingia humo....ngoja nifanye practical weekend hii.
 
Unatumia kinywaji gani wewe? Elizaaaaaz! Leta bia tatu baridi kwa klorokwini hapa! Hahaha! Thats my boy! MILA iz ZEA to STAY!
TUPO wachache kweli!...enewei tuendelee na mada ya msingi

nimeziedit na kuziondoa zile nambaaaz..sasa nyamayao alinikoti jaribu kumkonvisi akaiedit ile kot
 
..Geoff, hebu weka hiyo kitu hapa nina imani utakuwa umetusaidia wengi humu...

Afu wewe Laligeni mbona hujamgongea Geoff Senksi fo zis uziful posti? Hahaha! Dah! Yani hako kabatani umekagonga mara moja tu tangu uingie jamvini? Angalia utakula BAN kwa kutotumia batans inavotakiwa.
 
...hata hivyo unapaswa kuwa huru na kuipokea simu ya mumeo!

it looks like kuna some scenarios HUNGEPENDA HATA KUZIFIKIRIA,WALA HUTAKU HATA KUJUA JUST IN CASE ZIKIWEPO!......:D

enewei,I CALL IT LOVE

sio kama ananinyima uhuru, mie tu nakuwa cjui ni namna gani vile, cwez kabisa, hebu ngoja nianze then nitakupa matokeo.
 
mie ya kwangu atapokea calls/atanisomea sms wakati mwingine anaweza kukuuliza, nimjibuje huyu, lakini ya kwake mie wallaa, cjui nijifunze kuichokonoa sasa mana anajiaminigi sana kwamba cwez kuingia humo....ngoja nifanye practical weekend hii.
you better NOT!..please
 
Hivi hakuna jinsi ya kubloku mtu asipokee simu? Yaani iite weeeee mtu akitaka kupokea, hola! Niko tayari kulipia twisheni fii ya hii lekcha! I want to save my marriage at any cost! Simu pekee ndiyo inayoweza nivunjia ndoa nikifanya masihara!
..Xpin, usikubali simu ikuvunjie ndoa iuze tu ubaki kama zamani kwani nini?? Tena hapo ndio utakuwa unamega kwa nafasi zaidi hata ukichelewa kurudi hakuna jinsi ya kukutafuta kuulizia eti uko wapi? Kwani kabla simu za mkononi hazijafika ulikuwa unaishia vipi?
 
Carmel na nyamayao aksanteni kwa sifa but sidhani kama nastahili hayo kwa sababu nami pia nina limits so ndo ilopelekea nikalivua pendo lake. BUt I still love and respect him, a lot ila kuwa naye under one roof tena hapana.

Namwacha na hao wanaomfanya aweke pin codes kwenye simu yake!
 
sio kama ananinyima uhuru, mie tu nakuwa cjui ni namna gani vile, cwez kabisa, hebu ngoja nianze then nitakupa matokeo.
mimi nadhani ungekaa hivyo hivyo tu!at least kuna harmony ndani ya nyumba

ingawa mtu kama mimi tunaosimuliwa tunahisi kama jamaa UNAMUOGOPA KULIKO INAVYOSTAHILI...!well,sio kitu kibaya kwasababu pia hatujui BACKGROUNDS ZENU
 
TUPO wachache kweli!...enewei tuendelee na mada ya msingi

nimeziedit na kuziondoa zile nambaaaz..sasa nyamayao alinikoti jaribu kumkonvisi akaiedit ile kot

Nyamayao please! Niko chini ya miguu yako. Please do the needful kudelete hiyo call barring code uliyoiquote kwenye posti ya Geoff! Bimkubwa hachelewi kuwa anapitia humu, the whole biziness itakuwa hola! Please save my marriage!
 
Carmel na nyamayao aksanteni kwa sifa but sidhani kama nastahili hayo kwa sababu nami pia nina limits so ndo ilopelekea nikalivua pendo lake. BUt I still love and respect him, a lot ila kuwa naye under one roof tena hapana.

Namwacha na hao wanaomfanya aweke pin codes kwenye simu yake!

Noted with many thanks and filed for future use! Baby comeback sio dhambi anyway!
 
si kwa ubaya, sometime nataka tu kujua kama kama hubby bado analipa, yani kama kuna vidada vinamshobokea au vp ili nijue thamani yake niongeze manjonjo. inaitwa self assessment.

Nimekupa senksi kwenye hii!
 
Carmel na nyamayao aksanteni kwa sifa but sidhani kama nastahili hayo kwa sababu nami pia nina limits so ndo ilopelekea nikalivua pendo lake. BUt I still love and respect him, a lot ila kuwa naye under one roof tena hapana.

Namwacha na hao wanaomfanya aweke pin codes kwenye simu yake!
MJ1-ulipaswa kuwa more patient!...MORE and MORE!

MY TRUE STORY:kuna wakati fulani baada ya miaka miwili ya mahusiano niliingia mgogoro mkubwa sana na huyu wife wa project 13/02/2010,NIKAFIKIRIA NA KUAMUA KUMUACHA!...lakini pamoja na kumzozobokea sana yeye aliendelea kuja home KILA SIKU.nikaamua kuwa ninaondoka na ufunguo,nikirudi geto saa moja hivi nimetoka chuo NAMKUTA MLANGONI ANANISUBIRI......

imeenda weeeeeeee hadi hasira zikaniishia.nadhani ule ndio ulikuwa mwisho wa kugombana hadi leo ni mwaka wa tano
 
Nyamayao please! Niko chini ya miguu yako. Please do the needful kudelete hiyo call barring code uliyoiquote kwenye posti ya Geoff! Bimkubwa hachelewi kuwa anapitia humu, the whole biziness itakuwa hola! Please save my marriage!
....ataelewa tu
 
..Xpin, usikubali simu ikuvunjie ndoa iuze tu ubaki kama zamani kwani nini?? Tena hapo ndio utakuwa unamega kwa nafasi zaidi hata ukichelewa kurudi hakuna jinsi ya kukutafuta kuulizia eti uko wapi? Kwani kabla simu za mkononi hazijafika ulikuwa unaishia vipi?

Hahaha! Thats my boy! Sasa hiyo batani ya senksi we huioni? Haiwezekani tangu ujiunge uwe umeigonga mara moja tu? Ikiota kutu utakula BAN!
 
Carmel na nyamayao aksanteni kwa sifa but sidhani kama nastahili hayo kwa sababu nami pia nina limits so ndo ilopelekea nikalivua pendo lake. BUt I still love and respect him, a lot ila kuwa naye under one roof tena hapana.

Namwacha na hao wanaomfanya aweke pin codes kwenye simu yake!

yaani kweli dear unajua vimbwanga unavyoviongeleaga mie nahic angekuwa wangu huyo ni kila kukicha tungekuwa tunafungwa P.O.P...nicngeweza, amechezea bahati sana huyo na huko aendako aombe sana Mungu wake mana wanasema malipo ni hapa hapa......
 
mie ya kwangu atapokea calls/atanisomea sms wakati mwingine anaweza kukuuliza, nimjibuje huyu, lakini ya kwake mie wallaa, cjui nijifunze kuichokonoa sasa mana anajiaminigi sana kwamba cwez kuingia humo....ngoja nifanye practical weekend hii.

sikiliza moyo wako ndugu yangu, ukiwa unconfortable bora uiache tu hivyo hivyo, lakini inaelekea Mr. ametulia huyo, laa sivyo siku alivyo sahau simu angerudi mwenyewe tena kwa spidi ya umeme ha haa haa
 
Y?..nidokeze kidunchu, nitaweza kufariki nini.
kwa ninavyokutathimini NYAMAYAO naona uko TOO EMOTIONAL,..!i mean unaweza kumbana na mkiki mkiki wa kawaida ukakutengenezea stress.i suggest wewe uendelee hivyo hivyo KUAMINI,KUJIPA MOYO NA KUTO TEMPER NA HIYO SIMU
 
Kwa mawazo yangu sidhani kama kuna tatizo kuwekeana kila kitu wazi. Kwanini uweke pin code? Hii inaashiria kuwa wewe bado hujaweka makazi yako pale, bali umetia kambi tu ambayo huenda ikahamishwa muda wowote. Kuhusu massage zinazoingia, hupaswi kuyafanyia maamuzi, bali ukiziona, just take note to the number na usubiri jinsi mwenzio atakavyojibu ile message akiwa mbali nawe. Hiyo ndiyo itakayokupa picha halisi.

Mimi kwa mfano nikiwa na kazi nafanya na mke wangu yupo karibu, nampatia anishikie hata kwa masaa sita, ikiita naweza kumwaagiza aniletee nipate kuongea, message ikiingia na labda kuna kitu nimeshikilia naweza kumwomba aifungue hiyo message na kuniwekea nisome! Sina wasiwasi kabisa. Na kama kuna uwezakano wa kupata software ya kumonitor simu ya mwenzio, basi sioni wasiwasi hata yeye akiipata kwa ajili yangu.

Kama mwenzio anakucheat utamjua tu, hasa ukiwa mtaratibu na kufuatilia mambo kama vile;

1. Muda anayofanya mawasiliano mengi, mf. akiwa njiani kwenda kazini au akirudi nyumbani au usiku wa manane. Mara nyingi mawasiliano haya si mema kabisa. Utatakiwa kuwa makini.

2. Je, anaowasiliana nao mara kwa mara unawafahamu? Wana mahusiano ya undugu na mwenzio? Anaweza akatambulisha kama rafiki yake wa kawaida, lakini mawasiliano huwa na mipaka. Kama ni ndugu, je na wengine wanamfahamu kama mwenzio anavyodai?

3. Je, Message anazopokea zinajibiwa? Au ukiiangalia inbox yake unakutana na message zako tu? Ni lazima message nyingi zijibiwe, na majibu pia zionekane, na haiwezekani akawa na message zako tu.

4. Anabadili tabia yake ya uvaaji, mafuta ya kupaka, style ya maisha? Kama ndivyo, basi huenda anafanya hivyo kwa ajili ya someone arround.

5. Anaowasiliana nao wanakuwa huru kumpigia hata wewe ukiwepo? Kama sio, basi ni dhahiri kuwa kuna kitu, na unatakiwa kujiuliza nani anampatia taarifa kuwa you are arround?

Lakini unapohisi hivi, hupaswi kufanya maamuzi haraka au kuonesha kwa mwenzio kuwa una hisia fulani, bali ufanye uchunguzi wa kina hadi pale utakapojitosheleza kuwa ukimbana hatoki, bali kwa huruma na msamaha wako tu.

______________________________________________________________
Normally, a true love has no reasons, but it is associated with unlimited and unconditional forgiveness.
 
TUPO wachache kweli!...enewei tuendelee na mada ya msingi

nimeziedit na kuziondoa zile nambaaaz..sasa nyamayao alinikoti jaribu kumkonvisi akaiedit ile kot

napenda zaidi kubembelezwa......
 
Back
Top Bottom