Matumizi ya simu katika Mahusiano

Let me tell u a secret...........No man is a better man, we r all the same, bileave me you!!!! I hope have no plans to run up or down to another

Thanx for the tip gkundi. Currently I am having my lonely time very nicely. Aksante kaka have no plans for that kwa muda sasa
 
[/COLOR]

Hahahahaaa! labda mkuu anakujua kwa mipira ya kudundadunda hukosi goli.
Too late, labda uniconvice kwa pm nikusaidie lol!
Na mjue hii ni research tunaangalia jinsia gani wanapenda ku bar calls zao au kuweka pincode ili tujue nani wanacheat sana kati ya men and women.
 
Hahaha! Thats my boy! Sasa hiyo batani ya senksi we huioni? Haiwezekani tangu ujiunge uwe umeigonga mara moja tu? Ikiota kutu utakula BAN!
..Ujumbe umefika mazee. Kuna jamaa yangu kwenye xmas last year alibamiza simu yake ukutani na chip akaitafuna kabisa baada ya my wife wake kuleta za kuleta...Mwanamke hakuamini kama jamaa amepiga Nokia E17 ukutani. Mpaka leo mama anambeleza jamaa anunue simu basi hatorudia kumsumbua tena. Si unajua alishazoea mara akikaa ka-sms atumiwe vocha, mara honey ukirudi pitia shoprite uje na mikate siku hizi hakuna hiyo. Nimeipenda sana and am about to apply same technique....unaishi kwa amani kabisa.
 
...........lakini PATIENT IS LOVE!unajua kila nikiikumbuka hii incidence huwa najichukia sana,najiona nilishindwa kuwa considerate!maanake mimi ni kwamba seriously niliamua kumuacha na nikatafuta kitoto kingine.lakini yeye aliendelea kukomaa!

leo hii ananiambia aliamua kufight for what belonged to her kwasababu alishaweka 'an oath' kwamba G will be her first man to know her!...ishu ya kuoa mimi ndiye niliyeamua

hongera sana umepata mke mwema, inawezekana na pia wewe hukum push kwenye limit kutegemea na moyo wake, ila mambo mengine ndoani bora kusikia hivyohivyo, bibi yangu mimi alikuwa anapigwa na babu na uzee wake mpaka akapata maradhi yaliyo gharimu uhai wake, ali VUMILIA miaka nenda miaka rudi lakini mwishowe ikawa ni the matter of life or death:(
 
Too late, labda uniconvice kwa pm nikusaidie lol!
Na mjue hii ni research tunaangalia jinsia gani wanapenda ku bar calls zao au kuweka pincode ili tujue nani wanacheat sana kati ya men and women.
no MAN is cheating, rather than KUDUMISHA MILA NA DESTURI ZA WAHENGA!.
 
Certainly YES!I mean who knows?...

YOU HAVE A POINT
 
si kwa ubaya, sometime nataka tu kujua kama kama hubby bado analipa, yani kama kuna vidada vinamshobokea au vp ili nijue thamani yake niongeze manjonjo. inaitwa self assessment.

Carmel hii njia yako ya kujievalute nimeipenda thou ukiwa na mume kama Iribin au Goeff utahitaji kamoyo ka kichina hahaaaaaaa!!!!!! wapwa msinitungue tafadhali!!!!
 
no MAN is cheating, rather than KUDUMISHA MILA NA DESTURI ZA WAHENGA!.
tatizo lako ni mwoga!..kesto tatu unaanza mbwembwe mara ooh!..''WASHKAJI NOMA HOME WATAMAIND,WATANIFUNGIA MLANGO...''

watoto wa mama mna matatizo
 
Too late, labda uniconvice kwa pm nikusaidie lol!
Na mjue hii ni research tunaangalia jinsia gani wanapenda ku bar calls zao au kuweka pincode ili tujue nani wanacheat sana kati ya men and women.

Taratibu mpwa! Men hawacheat! Wanawake ndio wanacheat!
 
Carmel hii njia yako ya kujievalute nimeipenda thou ukiwa na mume kama Iribin au Goeff utahitaji kamoyo ka kichina hahaaaaaaa!!!!!! wapwa msinitungue tafadhali!!!!
hahahahaha!
TUNAKUWEKA KIPORO
UTAJADILIWA TUKIRUDI MAKAMBAKO
 
haka ka sredi kanakimbia 120 km/h, nilikuwa namfanyia maombi yule marehemu alokufa kwenye ngono nimerudi naona jamaa wako ukurasa wa peji ya 11. punguzeni spidi wengine tunatumia kalaptopu cha jirani.
 
mie ya kwangu atapokea calls/atanisomea sms wakati mwingine anaweza kukuuliza, nimjibuje huyu, lakini ya kwake mie wallaa, cjui nijifunze kuichokonoa sasa mana anajiaminigi sana kwamba cwez kuingia humo....ngoja nifanye practical weekend hii.

Wacha!, narudia tena wacha! DONT TRY THIS, Nyamayao please!
 
tatizo lako ni mwoga!..kesto tatu unaanza mbwembwe mara ooh!..''WASHKAJI NOMA HOME WATAMAIND,WATANIFUNGIA MLANGO...''

watoto wa mama mna matatizo
hahahaaa, noma mkuu si unajua tena!.
ASAP nashift, yani itakua mwendo wa kesto hadi lukwiri,
 
Mie yangu huwa naiacha tu anachezea anavyotaka, anajichotea credit mwenyewe, na ya kwake wala hana shida yeyote, mkizoeshana namna hii mnakuwa haina mikwaruzo, kuna kipindi alikuwa hana simu alitumia simu line yangu for 1 week na wala hakukuwa na tabu yeyote ile
 
Back
Top Bottom