Matukio ya Mapinduzi barani Afrika ndani ya Mwaka 2021

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,513
9,309
Katika muda wa mwaka mmoja, wanajeshi wametwaa mamlaka katika nchi tatu kusini mwa jangwa la Sahara.

Wanajeshi wa kikosi maalumu walipindua serikali ya kiraia ya Mali ambapo Kanali Assim Goita alijitangaza rais.

Miezi michache baada ya Kanali Goita kuongoza mapinduzi Mali, wanajeshi walitwaa mamlaka Chad baada ya kifo cha Rais Iddris Derby.

Mwanawe Derby, Jenerali Mahamat Derby alitangazwa rais wa nchi hiyo kwa usaidizi wa Ufaransa iliyotawala nchi hiyo enzi za ukoloni.

Mapema mwezi huu Septemba, Kanali Mamady Doumbouya aliongoza wanajeshi wa kikosi maalum, kupindua serikali ya kiraia ya Guinea na kumzuilia Rais Alpha Conde.

Mapema Jumanne, serikali ya mpito ya Sudan ilitangaza kuwa ilizima jaribio la mapinduzi mwaka mmoja baada ya kuondolewa mamlakani kwa Rais Omar el Bashir.

Msururu wa mapinduzi haya unazua kumbukumbu ya hali iliyokumba nchi kadhaa za kusini mwa jangwa la Sahara miaka ya kwanza baada ya kupata uhuru.

Wimbi la mapinduzi miaka ya sitini na sabini lilisababishwa na ukosefu wa usawa, utawala wa kiimla na wanajeshi vijana waliotaka kuonja mamlaka baada ya kupata mafunzo ng’ambo.

Watawala wa kijeshi waliua na kuwazuilia wapinzani wao, walikandamiza haki za raia wao, wakapora rasilimali na matokeo yakawa ni bara la Afrika kudumaa kimaendeleo.
 
Nchi myingi za Africa kusini mwa Sahara zisipokuwa makini zitaishia kuwa kama Haiti. Haiti imepata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita lakini ni masikini kuliko Burundi.

Kuna haja ya Waafrica kuamua kama wanataka maendeleo, demomrasia au kugombania madaraka.
 
Nimecheka hpa

"Kugombania madaraka"

Ova
 
Soon mawazo hayo ya mapinduzi yataingia nchi inayopakana na rafiki zangu akina Rugemalira, Mujwahuzi, Mwesiga kwahyo mwambieni babu ajiandae kuachia nchi
 
Babu anajiamini kwa vile mwanae wa kiume Muhoozi Kainerugaba ndiye mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais. Na anaye mdogo wake ni mwenye cheo kikubwa jeshini Kanali Salim Salehe.

Vilevile majeshi yote nchini mwake wamejaa wengi kabila lake Wanyankore toka Mbarara. So ukichanganya yote hayo ndo kiburi cha babu. Lakini jeshi siku zote huwa linahitaji kulichukulia kwa uangalifu mkubwa. Pale ambapo watawala wanapo-cross lines na wakagusa maslahi yao basi ujue watachukua nchi.
 
Katika muda wa mwaka mmoja, wanajeshi wametwaa mamlaka katika nchi tatu kusini mwa jangwa la Sahara.

Wanajeshi wa kikosi maalumu walipindua serikali ya kiraia ya Mali ambapo Kanali Assim Goita alijitangaza rais.

Miezi michache baada ya Kanali Goita kuongoza mapinduzi Mali, wanajeshi walitwaa mamlaka Chad baada ya kifo cha Rais Iddris Derby.

Mwanawe Derby, Jenerali Mahamat Derby alitangazwa rais wa nchi hiyo kwa usaidizi wa Ufaransa iliyotawala nchi hiyo enzi za ukoloni.

Mapema mwezi huu Septemba, Kanali Mamady Doumbouya aliongoza wanajeshi wa kikosi maalum, kupindua serikali ya kiraia ya Guinea na kumzuilia Rais Alpha Conde.

Mapema Jumanne, serikali ya mpito ya Sudan ilitangaza kuwa ilizima jaribio la mapinduzi mwaka mmoja baada ya kuondolewa mamlakani kwa Rais Omar el Bashir.

Msururu wa mapinduzi haya unazua kumbukumbu ya hali iliyokumba nchi kadhaa za kusini mwa jangwa la Sahara miaka ya kwanza baada ya kupata uhuru.

Wimbi la mapinduzi miaka ya sitini na sabini lilisababishwa na ukosefu wa usawa, utawala wa kiimla na wanajeshi vijana waliotaka kuonja mamlaka baada ya kupata mafunzo ng’ambo.

Watawala wa kijeshi waliua na kuwazuilia wapinzani wao, walikandamiza haki za raia wao, wakapora rasilimali na matokeo yakawa ni bara la Afrika kudumaa kimaendeleo.
Na Sasa yataenea Kwa Kasi zaidi kwani utawala wa Sheria na haki Kwa baadhi ya tawala umetoweka kabisa.
 
Babu anajiamini kwa vile mwanae wa kiume Muhoozi Kainerugaba ndiye mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais. Na anaye mdogo wake ni mwenye cheo kikubwa jeshini Kanali Salim Salehe.

Vilevile majeshi yote nchini mwake wamejaa wengi kabila lake Wanyankore toka Mbarara. So ukichanganya yote hayo ndo kiburi cha babu. Lakini jeshi siku zote huwa linahitaji kulichukulia kwa uangalifu mkubwa. Pale ambapo watawala wanapo-cross lines na wakagusa maslahi yao basi ujue watachukua nchi.
Sema hiyo haitasaidia kama wameamua kupindua watapindua tuuu... Alpha Conde alimuamini sana doumbouy kwa kuwa tayari naye alikuwa ni wa kabila moja na wanatoka sehemu moja ya kuzaliwa na mbaya zaidi alimwezesha kupata mafunzo mengi zaidi akiamini kupitia yeye ulinzi utakuwa madhubuti mwishowe ameishia kupindua tuhhhhhh
 
Viongozi wa Kiafrika wakisha ingia madarakani wanajifanya miungu watu, wanabadili katiba za nchi wanataka waendelee kudumu madarakani pengine hadi vifo vyao.

Hiyo inakua ngumu kuvumiliwa , wakati mwingine unaona bora washikishwe adabu ili iwe funzo kwa nchi nyingine ,zenye nia ovu ya kutaka kubakia madarakani kinyume na katiba zao.
 
Babu anajiamini kwa vile mwanae wa kiume Muhoozi Kainerugaba ndiye mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais. Na anaye mdogo wake ni mwenye cheo kikubwa jeshini Kanali Salim Salehe.

Vilevile majeshi yote nchini mwake wamejaa wengi kabila lake Wanyankore toka Mbarara. So ukichanganya yote hayo ndo kiburi cha babu. Lakini jeshi siku zote huwa linahitaji kulichukulia kwa uangalifu mkubwa. Pale ambapo watawala wanapo-cross lines na wakagusa maslahi yao basi ujue watachukua nchi.
Mkuu kwanini majina na ubini wa watoto wa mseven ni tofauti na ubini wa baba yao?
 
Sema hiyo haitasaidia kama wameamua kupindua watapindua tuuu... Alpha Conde alimuamini sana doumbouy kwa kuwa tayari naye alikuwa ni wa kabila moja na wanatoka sehemu moja ya kuzaliwa na mbaya zaidi alimwezesha kupata mafunzo mengi zaidi akiamini kupitia yeye ulinzi utakuwa madhubuti mwishowe ameishia kupindua tuhhhhhh
Ndo mana nkahitimisha kwa kusema siku zote jeshi usilichukulie for granted. Huwa sio watiifu tena hasa pale ambapo watawala hugusa maslahi yao.
 
Nchi myingi za Africa kusini mwa Sahara zisipokuwa makini zitaishia kuwa kama Haiti. Haiti imepata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita lakini ni masikini kuliko Burundi.

Kuna haja ya Waafrica kuamua kama wanataka maendeleo, demomrasia au kugombania madaraka.
Kwa hii mifumo ya kunufaisha wachache bora haya mapinduzi yaendelee
 
Back
Top Bottom