Thanx guys.

Ni arts nna 3 ya 12 bt cja apply eductn. Jus nimeaply all complicated programs ndo zinazonipa uwoga n mkopo japo nilijua kigezo cha yatima kingenibeba..

Ila nna princple zote 3..

poa poa..

muwongo wewe 3 inaanzia 13 hiyo ya 12 ni two ya mwisho.

Too much politics! f*ck u TCU,

muwongo wewe 3 inaanzia 13 hiyo ya 12 ni two ya mwisho.
Nimesema penalt ya GS MZAZI..
Ni two ila gs nna F so wamentupa 3.

Hiyo ni 3 dogo, lakin kwanini ukubali kupigwa penalty?Eti jaman div 3 ya penalt inaesabiwaje kwenye mkopo? As two o three
wamekutupa au umejitupa, hiyo inabaki kuwa 3, habari ya mkopo inategemea umesoma nini, na koz uliyopata.Nimesema penalt ya GS MZAZI..
Ni two ila gs nna F so wamentupa 3
umeomba chuo gani?Duh..Pagumu.
Broda nime aply human resorcs, bus adminstn, na geo n enviromnt isues. comb HGL..
Bt nna C ya maths O levl. Cndo mkopo 30% duh.. Nisha potea..

Hey guys, nimesikia matokeo yatatoka tarehe 4 mwezi wa 8.. Hawa jamaa mbona wanatufanyia hivi? Sipendi ahadi za uongo, walisema yatatoka ktk wiki ya kwanza mwezi wa saba, mpaka leo hamna kitu!

Udom, mucobs, mzumbe n arthi bro0

mayb udom utapata! Ulijuaje hukuomba udsm?definately ucngepata!

Haha.

Apo ntaja kufa kwa uchi-akachuaji.. Nli0gopa mzaz