PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,075
- 1,864
Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili.
TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI
Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na kufungua shule mwezi wa kwanza. Kipindi hicho nikirefu sana maana ni takribani miezi 4.
Hii ni hatari sana kwa watoto haswa wa kike. Napendekeza shule zote za secondary ziwachukue waendelee kusoma English course kwa kipindi chote mpaka mwezi wa 12 shule zitakapofungwa. Program hii itasaidia kupunguza kuzagaa kwa watoto hawa mtaani jambo ambalo linaweza kusababisha kesi kadhaa ikiwemo ujauzito.
Lakini pia itasaidia walimu kwa mwaka unaofuata kuanza na masomo badala ya kuanza na English course. Tukifanya hivyo, niimani yangu tutasaidia watoto wengi ikiwemo watoto wetu wa kike.
#NINAMLINDA