Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

CHadema wanashangilia ushindi wa nafac mbili tena kutoka kwao kazikazini aka uchagani. CCM- Halisi na mupya itakuja kukomboa hizo kata na kuwaelimisha vya kutosha Watu wa kazikazini juu ya matapeli ya chadema

Katafute pa kuuzia hiyo kitu, kwa macheni pameshavunjwa long time ago!!!!
 
Ikiwa imetimia saa 10 na dakika chache ni wakati muafaka wa kupokea matokeo mbalimbali ya uchaguzi kutoka ktk kata 29. Huku zoezi la uhesabuji kura likiendelea tunatarajia kupokea matokeo kutoka kwa makamanda wetu waliotapakaa maeneo mbali mbali ya nchi hususani ktk katika kata zenye uchaguzi leo. Karibuni wanajamvi mtupe ma tokeo.

sio lazzima kuanzisha thread ,mi nlizani we ndo unamatokeo , unaaanzisha uzi alafu unaomba watu waweke main theme , sio ujanja
 
Bado mnatandikana makofi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu Daudi mchambuzi
Huyu Mkulu Jana alitoka Kutatindikwa Makofi Lumumba akakimbilia JF Kuanzisha Uzi wa Mapinduzi. Mwenzake walimkamata Green Guard Wakamlaza Lumumba na sasa ananyea Debe Lumumba
 
Last edited by a moderator:
kifo cha ccm si mbali sana.Wataua na watateka watu lakini majira haya hayawezi kupita bila ukombozi wa kweli
Ukombozi wa ukweli wa Mtanzania utaletwa na Majemedari kutoka CCM - Halisi na sio Chadema tuungane pamoja katika harakati mupya za ukuombozi wa Taifa letu kutoka mikononi mwa Mafisadi wa CCM na Matapeli/wezi Chadema
 
CCM wanakaribia kuzimia
msisahau kutembea na maji ili kuwamwagia pale mtakapowakuta wamezimia ili wazinduke
 
mkuu hayo ni matokeo ya shule pekee au kata nzima.iweje shule iwe na vituo vingi hivyo.
 
Kilichobaki ni kutangazwa rasmi na msimamizi wa uchaguzi.

Matokeo:
Kituo cha shule ya msingi daraja mbili:-
Kituo C3:
CHADEMA - 60
CCM - 57

KITUO C2:
CHADEMA - 73
CCM - 39

KITUO C1:
CHADEMA - 91
CCM - 41

KITUO B3:
CHADEMA - 52
CCM - 47

KITUO B2:
CHADEMA - 61
CCM - 41

KITUO B1:
CHADEMA - 71
CCM - 42

KITUO A4:
CHADEMA 50
CCM - 40

KITUO A3:
CHADEMA - 45
CCM - 24

KITUO A2:
CHADEMA -51
CCM - 31

KITUO A1:
CHADEMA - 65
CCM - 28

KITUO E3:
CHADEMA - 74
CCM - 44

KITUO E2:
CHADEMA 65
CCM - 41

KITUO E1:
CHADEMA - 70
CCM - 42

KITUO D4:
CHADEMA - 59
CCM - 37

KITUO D3:
CHADEMA - 68
CCM - 41

KITUO D2:
CHADEMA - 63
CCM - 30
Nitaendelea kuwajuza

Mungu mkubwa!
 
Psiii waiter niletee safari bariiiidi niendelee kufurahia na kitimoto. CDM NI CHAGUO LA UMMA NA MUNGU
 
big up Mallya kwa kuendelea kutupa matokeo.lindeni kura wasichakachue
 
Back
Top Bottom