Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Kuna taarifa nimepata sasa hivi kuwa hakuna uwezekano wa matokeo ya mwisho kutangazwa leo. Yatatangazwa kesho asubuhi saa nne. Sababu kuna maeneo mvua imenyesha sana watachelewa kufikisha masanduku halmashauri na kukamilisha zoezi la kujumlisha leo. Usiku mwema.

magamba yashaanza kuchakachua.
 
Walaa usiwe na shaka, FF burdaan wa sharaba, na nala raha kwenye ka ipad kapya kenye wifi na 3g, kwa raha zangu.
Jamani naona kama mnaboa vile, hii mana inahusu matokeo ya uchanguzi Igunga ila mmetuhamisha hadi flow ya matokeo hatuipati tena, kwanini msitumie busara zenu, kama mnazo hayo yenu mtumiane via utaratibu mwingine?????Mmesababisha hii thread kupoteza mvuto kwa wanaofwatilia matokeo ya uchaguzi Igunga na kwingineko. Huu mtazamo wangu tu.
 
Duh..!! badala ya kupena habari za matokeo sasa hii imekuwa Chit Chat..., anyway kumbukeni

It aint over until the fat lady sings....; Pia...;
He who laugh last laugh longest
 
Duh..!! badala ya kupena habari za matokeo sasa hii imekuwa Chit Chat..., anyway kumbukeni

It aint over until the fat lady sings....; Pia...;
He who laugh last laugh longest
Wewe ndio unaifanya kuwa Chit Chat kutokana na misemo yako ya kimbea mbea!
 
So Rejao is back again? Thanx, tupe na update maana tunakuaminia kwa kutumwa.
 
Magamba wakishinda uchaguzi huu..then we have a long way to go for Democracy! We are just naughty!!and notorius! We never learn abt civilization,even majirani zetu Zambia hatutaona cha kujifunza kwa sababu ya utukutu wetu!
 
Unamaanisha Masako? vipi matokeo ya Igunga? umeshayapata? mimi sitaki kukujuza niliyoyapata kwa njia ya simu sasa hivi, nakungoja mwenyeewe, ususe!

masako ananihusu nini? na matokeo ya igunga si hoja yangu! nachota kujua hivyo vikalio vyako vina shamran au vipi?
 
Ndgu wana jf, najua mapipoooooz power sasa hivi wanaharisha harisha, kwan mpaka sasa kutoka jikoni ofisi ya mkurugenzi ccm wanaongoza kw zaidi ya kura elfu 4 ya kata zote 26.....chadema puwaaaaaaa,,,nimeamini chadema ni wasindikizaji... bila kusahau ccm imeshnda kata 17 kati ya 22, kumbe watz bado wanakiamini chama cha mapinduzi!!! ccm oyeeeeed
 
matokeo ya kata 10 yanaonesha kuwa CCM imepata kura 10,228 wakati CDM imepata kura 7316 hivyo CCM inaongoza kwa kura 2912!

jamani izo taarifa ni za kweli ametoa bwana mudi ulega ya wa uvccm,pia nendeni facebook group moja inaitwa tanuru la fikra wamejaa ccm watupe nimetembelea mara ya mwisho nimekuta riiwani na yule dr wa nzega wanapongezana igunga ccm wanachukua gepu limeongezeka adi aibu mbowe na slaa wametimka usiku huu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom