Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Kuna taarifa nimepata sasa hivi kuwa hakuna uwezekano wa matokeo ya mwisho kutangazwa leo. Yatatangazwa kesho asubuhi saa nne. Sababu kuna maeneo mvua imenyesha sana watachelewa kufikisha masanduku halmashauri na kukamilisha zoezi la kujumlisha leo. Usiku mwema.

Watasema CCM ndio walioileta mvua kwa makusudi ili waibe kura, utaona, sasa hivi wataanza.
 
Habari mpya za matokeo ua Igunga zinasema CCM inaongoza kwa zaidi ya kura 2000 mpaka sasa, si rasmi lakini ni habari za kuaminika kutoka jikoni. Unalo? Achana na mapumulio yangu kwa sasa, shughulika na yako.
Kutokana na ushabiki mnaoonyesha inakuwa ngumu kuamini data hizi. Ngoja tupate kwa member ambao ni impartual.
 
Hapo kwenye RED; vijana hatuna TAIMU kundi lenye uvuguvugu kama wewe. Ni lazima uhesabike wa MOTO kabisa katika harakati za kuleta mabadiliko au uamue kabisaaa kuwa wa BARIDI BARAFU tuelewe kimoja.

Mabadiliko ya mfumo wa utawala si sawa na CHAI YA MAZIWA mtu kusubiri amiminiwe; ipiganie tangu sasa hadi pumsi yako ya mwisho hadi kufikia katika ulimwengu mwingine mpya wa 'THE TANZANIA WE WANT'.

mkuu mimi nipo mrengo wa kati!tuweke ushabiki pembeni!
 
Jamvi limechafuka nafikiri FF na wote mnaojibizana kwa maneno yasiyo na maadili mmetumia mambo fulani, haiwezekani mtu mwenye utimamu wa akili anaongea mambo ya kipuuzi kabiasa.

Haya mpenzi, usikereke tulikuwa tunatoa stress za kungoja matokeo, Jee, una habari zozote mpya za huko jikoni? nilizonazo za mwisho zinasema CCM inaongoza kwa zaidi ya kura 2000.
 
Magamba noma, wamekata mawasiliano ya internet igunga yote ili picha na taarifa zisitoke kwa wakati na ufanisi, Dah!
 
wana jf ni waajabu sana yaani woote mmtekwa na huyu ff aliyetoka labour juzi na kuacha kujadili mambo ya maana, lengo lako huyo ni kuwatoa kwenye mood na kujadili kitu ambacho hakipo,na kafanikiwa kwa wale wanaomjibu, kumbuken mwenzenu yuko kwenye mission maalumu ili aharibu mjadala
 
habari nilizopta muda c mrefu kata moja anayotoka kashindye chadema 2757 ccm 1801
 
Baada ya haya matokeo kutangazwa CCM na CUF wanakazi kubwa ya kufanya kuliko CHADEMA

kuvua gamba hailipi, muafaka ni kutenganisha kofia ya urais na uenyekiti... kutoeleweka kwa chama cha wananchi, mwongozo wa mtatiro ni muhimu kutiliwa maanani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom