Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Status
Not open for further replies.
Mm nashauri sisi wana jf walio weleji wa Tecknolojia tujaribu kutengeneza system ambayo itaweza kusaidia Nec Kwenye kuwaisha matokeo,ili kuepuka uchakachuaji,maana kuchelewesha hvyi hata mtu akishinda au kushindwa huwa anaamini kuwa haki haijatendeka,tunazidiwa na hata zambia jamani hii ni aibu kubwa.

Mkuu hawataikubali, kama watu wenyewe wanafaidika na hii system utegemee watakuibali kiulaini unayotaka wewe. Hapa ni presha groug kujitoa mhanga kwa ajili ya nchi yetu. We need a free independent NEC, we need new katiba na kupunguza huu unazi wa rais kuchagua kila mtu kila sehemu.
 
Mm nashauri sisi wana jf walio weleji wa Tecknolojia tujaribu kutengeneza system ambayo itaweza kusaidia Nec Kwenye kuwaisha matokeo,ili kuepuka uchakachuaji,maana kuchelewesha hvyi hata mtu akishinda au kushindwa huwa anaamini kuwa haki haijatendeka,tunazidiwa na hata zambia jamani hii ni aibu kubwa.

Kwa upande wa Zambia mkuu wametushinda kwa kuwa na DEMOKRASIA YA KWELI(ya kivitendo)Hivi unafikiri Kama kweli ccm wameshinda kihalali wangechelewesha matokeo kwa muda mrefu hivi!!?,Hivi mtu akisema NEC a.k.a CCM kwa ucheleweshwaji huu usio na sababu za msingi kuwa wanachakachua matokeo watabisha!!?jimbo moja tu!!!?
 
Tukiendelea hivi haipiti miaka kumi TZ itageuka Angola ya Savimbi.
 
Miaka hamsini ya uzembe na tama ya mali na madaraka. kuna mambo yatazamwe kwa kina kama kila chama kina taarifa ya kura walizopata toka kila kituo iweje tume haijapata? huo ni uzembe na visingizio visivyo na maana wakati wa kudanganyana umekwisha, eti mtandao unagoma wakati huohuo wanampango wa mwalimu mmoja kufundisha nchi nzima kwa wakati mmoja hizo nindoto za mchana, nakumbuka wakati wa registratio tcu mtandao uligoma vivyohivyo kwanini wasitumie njia nyingine? hapa ni usanii tu .
 
Wakuu. what are the figures now? Tuko mashambani hapa. We really cant get any updates from Igunga. Please
 
Jamani vurugu igunga....source clouds fm....wanadai nako moshi nako kimenukaaaaa....udiwani....sources clouds fm....hehekaheka za akina GEA HABIB
 
hapo majibu lazima yatakuwa yamebadilishwa na wao kumbe ndio waleta fujo kama mmeshinda kwa nini msitoe majibu jana usiku..
aibu kweli kwa mzurulaji wetu..
 
huyo zitto kama ana matokea kwa nini asoe nje na kuwatangazia watu kuwa cdm imeshindwa....
 
mkuu, hawa jamaa hata ukitengeneza hiyo systema na ikawa na ubora zaidi ya ile ya 'Pentagon' hawawezi kuikubali maana wengi wamefanya hivyo na hawakufanikiwa. Yaani mfano ni kama kipindi ambacho Mzee Mengi alikaa muda kuwafundisha wazee wa Yanga kuigeuza timu ikawa kama TP Mazembe wakamfukuzia mbali kwa madai kuwa "awaache kama walivyo siku zote", au jinsi wadau walivyopendekeza kuboresha System ya RITA ili kureplace Vitambulisho vya taifa badala ya kuanzisha taasisi iliyo na majukumu yaleyale nk. lakini hakuna anayesikiliza.
My take:
Unajua wale waasi wa NTC - Ribya hata wangelimpelekea mawazo au draft ya katiba nzuri kiasi gani Mzee Qaddafi bado asingewasikiliza na labda wangeishia kuuwawa, na ndio wakaamua kutumia njia waliyotumia! Cha msingi hapa ni kupeana njia jinsi hiyo system iwe implemented bila kuwategemea hao NEC kwa maana hawataki! Kwa vile katika miaka kama mitatu iliyopita idadi ya uelewa wa Watanzania inaonekana kuongezeka na ndio maana ccm wanabakia kuelekeza matumaini yao kwa wananchi wa vijijini (kwa kutumia ngao ya Baba wa Taifa na Amani), ushahidi uko wazi hata Igunga, hii iwe nguvu (ya umma) ya uamuzi!
Mm nashauri sisi wana jf walio weleji wa Tecknolojia tujaribu kutengeneza system ambayo itaweza kusaidia Nec Kwenye kuwaisha matokeo,ili kuepuka uchakachuaji,maana kuchelewesha hvyi hata mtu akishinda au kushindwa huwa anaamini kuwa haki haijatendeka,tunazidiwa na hata zambia jamani hii ni aibu kubwa.
 
ccm ni chama thabiti kwa kuiba na ujanjaujanja, ccm wakiamua kukipata kitu hutumia mbinu zoote hata zile chafuchafu kabisa ambazo hata hazisemeki!! Msishangae kusikia ccm wameshidna igunga kwani ni kawaida yao wakiona wamebanwa mwanzoni katika kuhesabu kura huzubaisha majibu ili wapate mwanya wa kumhadaa mtangaza matokeo ya mshindi ama hata kumuwekea kitu cha baridi katika paji la uso ili atangaze ccm wameshinda!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom