WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,234
Mm nashauri sisi wana jf walio weleji wa Tecknolojia tujaribu kutengeneza system ambayo itaweza kusaidia Nec Kwenye kuwaisha matokeo,ili kuepuka uchakachuaji,maana kuchelewesha hvyi hata mtu akishinda au kushindwa huwa anaamini kuwa haki haijatendeka,tunazidiwa na hata zambia jamani hii ni aibu kubwa.
Mkuu hawataikubali, kama watu wenyewe wanafaidika na hii system utegemee watakuibali kiulaini unayotaka wewe. Hapa ni presha groug kujitoa mhanga kwa ajili ya nchi yetu. We need a free independent NEC, we need new katiba na kupunguza huu unazi wa rais kuchagua kila mtu kila sehemu.