Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Status
Not open for further replies.
Labda Ushindi wa misikitini

Mie nadhani ni ushindi wa bakwata sio miskitini. Maana misikitini kuna watu wenye busara na wanaotambua wajibu wa imani yao lkn pia kuna wachumia tumbo kama bakwata.
 
vipi tena ndg yangu. Utakula BAN sasa hivi.

Sorry kaka, kuna watu wanaudhi sana humu, unajua hatuchezi hapa, kama mtu anataka kucheza nadhani aende FaceBook sio hapa. Niwie radhi kaka, kanichefua sana huyu kijana.
 
zittokabwe:Mabomu yanapigwa. Hali mbaya sana zittokabwe:Duh yanapigwa mabomu kila mtu hoi machozi tu. Tumo hapa kambini kwetu Planetel Hotel ni machozi tu

huyu si kasema cdm wameshindwa kwa nini asitoek nje akawatangazia watu kuwa cdm imeshindwa!!! kuliko kukaa humo ndani akitoka machozi ya mabomu......
 
Mm nashauri sisi wana jf walio weleji wa Tecknolojia tujaribu kutengeneza system ambayo itaweza kusaidia Nec Kwenye kuwaisha matokeo,ili kuepuka uchakachuaji,maana kuchelewesha hvyi hata mtu akishinda au kushindwa huwa anaamini kuwa haki haijatendeka,tunazidiwa na hata zambia jamani hii ni aibu kubwa.
Ukijiuliza hupati jibu, kuhesabu kura moja moja kwenye vituo na kujaza form za matokeo haichukui muda ( Manual process) , hii kuingiza matokeo yaliyopitishwa kwenye kituo ndani ya hiyo system ni tatizo !!!!! Ukiuliza NEC watakuambia haya ni mambo ya mahesabu ( utadhani ni mazito ) kumbe ni kujumlisha , wataalam wa hiyo system inabidi watuambie nini tatizo
 
Sorry kaka, kuna watu wanaudhi sana humu, unajua hatuchezi hapa, kama mtu anataka kucheza nadhani aende FaceBook sio hapa. Niwie radhi kaka, kanichefua sana huyu kijana.

makwazo yapo. Ilhali tunaishi lazm tutakumbana nayo.
 
huyu si kasema cdm wameshindwa kwa nini asitoek nje akawatangazia watu kuwa cdm imeshindwa!!! kuliko kukaa humo ndani akitoka machozi ya mabomu......

I wonder.......hii ingekuwa simple tu, angetoka aseme jamani tumeshindwa na kubalini matokeo nendeni mkaendelee na shughuli zenu.....hawa watu bwana
 
I wonder.......hii ingekuwa simple tu, angetoka aseme jamani tumeshindwa na kubalini matokeo nendeni mkaendelee na shughuli zenu.....hawa watu bwana

sidhani kama ni rahisi kihivyo. Unataka wananchi wamgeuze nyama.
 
Tanzania wanajumlisha matokeo kwa kutumia teknohama watasema mtandao si mzuri hivyo ving'amuzi vya tume vinashindwa kujumlisha matokeo!!!!!!
 
Asiye kubali kushindwa siyo mshindani na haiingii akilini kutoka nje na kuwaambia watu waache fujo kozi anadai vijana walikuwa wamekusanyika hapo walipopiga kambi then wazee wa mabomu pasipo hitajika wakalianzisha ndo mpaka nw bado kimenuka. Ila kama vipi sijui tume ya uchaguzi wanatumia mfumo gani ambao unashindwa na manual system labda mfumo wao ni wa masaburi type katika kufeed data na kusumup
 
Hali imerudi kuwa shwari Igunga japo nadhani tume watakapo tangaza matokeo baada ya masaburi system kumaliza kujumlisha kitanuka tena
 
Mie nilishagoma kuweka posti tangu jana mpaka nipate ripoti ya mwisho, nisije nikapat ugöjwa wa moyo bure. Hata hi post ni muendelezo wa mgomo wangu hahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom