Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Status
Not open for further replies.
Nawaasa FFU katika kupiga hayo mabomu yao na kumimina maji ya upupu ole wao hijabb ya mtu ikafunauliwa na akadhalillishwa kidini. Tutaandama na kutanganza rasmi kuwa BAKWATA NA WAISLAMU wote hatutawapa polisi ushirikiano wowote kuanzia leo!!! Takbir Takbir
 
sasa nawapa matokeo ya ukweli kutoka kwenye source ya uhakika:

1. ccm (the winner)= 49%

2. CHADEMA (loser) = 45%

3. CUF (a.k.a. CCM B) = 5%

4. Vyama vingine (a.k.a. popular but unknown) = 1%

poleni magwanda kwa kulizwa kwa mara nyingine tena
 
Ataamini vipi na akipiga hesabu hela zote alizoiba kwenye miataba ya kifala ya madini zimeyeyuka na ubunge hakuna,zaidi my wife wake alijinyenyekesha kiasi cha kupiga magoti jukwaani lakini hakuna kitu..
 
Nimeshachoka kwa kila mtu anakuja na habari yake.tusubirini hyo saa 8
 
Stop Texts Tweets Favs Msgs About zittokabwe Duh yanapigwa mabomu kila mtu hoi machozi tu. Tumo hapa
kambini kwetu Planetel Hotel ni
machozi tu zittokabwe Mabomu yanapigwa. Hali mbaya sana zittokabwe @shurufu irregularities nyingi sana zittokabwe @Mwanakili90 kuna vurugu zatokea. zittokabwe @chiefezra our count gives us 45% and ccm 49%.
Irregularities are mountanious

Hivi kila kitu lazima atajwe zitto kabwe??

Hapa inaonekana kuna watu wanamtafutia zitto zengwe. Kwani hakuna mtu mwingine huko igunga zaidi ya zitto? this is too much guys!
 
Nawapa hongera CDM kwa ushindi wa kishindo!
Mapambano yanaendelea mpaka kieleweke
 
Nikamwelewa Dr Kafumu kukataa kusaini kwa point 2.
1. alisha somo Twitter ya Zitto akikiri Chadema imeshindwa
2. FFU wamewadhalilisha tena waislamu maana katika kupiga mabomu na kumwaga maji ya washa washa vijana kadhaa wa kiislamu wamepoteza baraghashia zao na wanawake wachache wa kiislamu waliokuwa wanapita karibu wamefunuliwa hijabb na hivyo kudhalilishwa kidini. Astaghafululah!!! Takbiri, Takbir!!!!
 
Hapa raha kweli, kila mmoja anatoa joto lake wakati Timu inaendelea kuchachakua matokeo. Hata Nape jana usiku alikuja na matokeo yake.
Endeleeni, tupeni raha wakati tunasubiri matokeo rasmi.
 
mbona watu wanaandika tu sasa...kila mtu na lwake!! haya namimi naenda kuanzisha ya kwangu..."Tai Ngwilizi mbunge mpya Igunga" alaaah!!!!
 
Nikamwelewa Dr Kafumu kukataa kusaini kwa point 2.
1. alisha somo Twitter ya Zitto akikiri Chadema imeshindwa
2. FFU wamewadhalilisha tena waislamu maana katika kupiga mabomu na kumwaga maji ya washa washa vijana kadhaa wa kiislamu wamepoteza baraghashia zao na wanawake wachache wa kiislamu waliokuwa wanapita karibu wamefunuliwa hijabb na hivyo kudhalilishwa kidini. Astaghafululah!!! Takbiri, Takbir!!!!
Bakwata wapi?
 
Mie nilishagoma kuweka posti tangu jana mpaka nipate ripoti ya mwisho, nisije nikapat ugöjwa wa moyo bure. Hata hi post ni muendelezo wa mgomo wangu hahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom