Ninaomba Wana JF walio na matokeo ya mechi za leo watuwekee. Asanteni sana
Mkuu naomba uwe unapitia threads nyingine kwanza. Matokeo yote ya CECAFA yanapatikana hapa chini:-
https://www.jamiiforums.com/sports-...e-ya-2011matokeo-na-mengineo-tanzania-11.html
Asante sana Mkuu kwa ushauri. Pia samahani kwa usumbufu. Tayari nimeangalia matokeo, roho yangu saaafiiii. Sasa tusubiri ngwe nyengine. USHINDI NI WETU.