Bila unafiki wowote naomba niwapongeze sana kwa kikosi bora na uongozi wa watu wenye maono.
Ninaomba radhi kwa maneno mabaya niliyowahi kusema juu yenu nikiamini kuna michezo isiyo ya kimichezo mnaifanya ili kushinda.
Lakini sasa baada ya mechi ya leo sina sababu yoyote ya kutoamini ninyi Yanga ni bora sana.
Mna haki ya kuzifunga goli 5 tano timu za ligi yetu.Sisi Simba mmetuonesha tulivyo na viongozi wahuni kwa sasa