Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

Naomba wenye Habari za Uhakika waniambie kuhusu Mh. Ghasia kama Kapeta au ndio kwaheri mwalimu.
 
Bahati mbaya ameshinda. Sijui kama kuna upinzani strong kumng'oa kwenye uchanguzi mkuu
 
Tulitegemea kafu,sasa kafu wameshaungana na ccm,basi tena,labda Chadema kama wana mgombea mzuri.
 
Ewe mwenyezi mungu pokea sala zangu huyu mama asiwe tena waziri wala naibu waziri :amen:

Hilo linawezekana tu ikiwa Dr Slaa ataingia Ikulu. Vinginevyo ni umuzi wa Rais kumtosa au la. Ila kwa maoni yake kama Mheshimia Sofia Simba anaimudu kazi yake kama alivyoelekezwa basi atampatia tena uwaziri wa wizara hii au nyingine. Anao uwezo pia wa kumteua kuwa Waziri Mkuu au Waziri wa fedha/Mambo ya nje. It entirely depends on no ones else than Mr President!
 
Natamani Sikonge matokeo yawe hivi maana huyu Said Nkumba aka Hitler alikuwa ametuchosha kabisa.

Mwalimu wa shule ya msingi, jamani. Kisa tu baba yake mwenyekiti wa CCM wa mkoa. Kweli Makamba January ilikuwa lazima ashinde maana kama yeye baba yake ni Katibu wa CCM Taifa, mhhhhhh!!!!!

1206.jpg

Sikonge ni George Kakunda anaongoza kwa kura 1,570 dhidi ya Mbunge anayemaliza muda wake, Said Nkumba mwenye kura 1,365.
 
Natamani Sikonge matokeo yawe hivi maana huyu Said Nkumba aka Hitler alikuwa ametuchosha kabisa.

Mwalimu wa shule ya msingi, jamani. Kisa tu baba yake mwenyekiti wa CCM wa mkoa. Kweli Makamba January ilikuwa lazima ashinde maana kama yeye baba yake ni Katibu wa CCM Taifa, mhhhhhh!!!!!

1206.jpg
Thanks mkuu kwa taafira
 
Mganga Majimarefu ashinda Korogwe vijijini

Mganga wa tiba za jadi, Bw. Stephen Ngonyani maarufu kama Majimarefu ameibuka kidedea baada ya kuwashinda wenzake 16 kwenye kinyang'anyiro cha Jimbo la Korogwe Vijijini kwa kura 12,441.

Bw. Ngonyani ambaye kwenye kampeni zake hakuwaficha watu kuwa yeye yake ni darasa la saba, alimbwaga msomi na mchumi mwenye Shahada ya Uzamivu, Dkt. Edmund Mndolwa aliyepata kura 2, 286, huku akiwaacha midomo wazi baadhi ya watu.

Mbunge wa jimbo hilo mwaka 2000 hadi 2005 Bw. Mussa Lupatu alishika nafasi ya tatu kwa kura 1,579 na Mbunge aliyemaliza muda wake, Injinia Laus Mhina alishika
nafasi ya nne kwa kura 1,362.
 
Majimarefu mjengoni.....I cant imagine. Ata-make sana maana yupo hapohapo mjengoni for consultations. Crazy!
 
Hilo linawezekana tu ikiwa Dr Slaa ataingia Ikulu. Vinginevyo ni umuzi wa Rais kumtosa au la. Ila kwa maoni yake kama Mheshimia Sofia Simba anaimudu kazi yake kama alivyoelekezwa basi atampatia tena uwaziri wa wizara hii au nyingine. Anao uwezo pia wa kumteua kuwa Waziri Mkuu au Waziri wa fedha/Mambo ya nje. It entirely depends on no ones else than Mr President!

dar city hizi ndoto unaziotaga abh mchana jiona ama usiku wa manane??
 
Majimarefu mjengoni.....I cant imagine. Ata-make sana maana yupo hapohapo mjengoni for consultations. Crazy!

Nahisi katika watu watakaokwenda kuwa milionea ni huyu bwana kwanza amewarahasishia watu mpaka waende TANGA anajiwekea tu kaservic chake karibu na bunge ...
 
Kama ni kweli, ni habari njema kabisa kwani huyu Dr ni mpiganaji wetu katika ufisadi. Atasaidia sana akirudi Bungeni -- hasa katika kuwang'oa ma-PM fisadi!

inategemea kama ile timu ya wapambanaji itarudi; bahati mbaya wengine ni kama hawatarudi vile, mfano;

j malecela
mpendazoe(chadema)
mr shelukindo
lembeli? (not sure)
mrs sita?

just a few to mention...
 
shibuda

just a few to mention...
 
Nahisi katika watu watakaokwenda kuwa milionea ni huyu bwana kwanza amewarahasishia watu mpaka waende TANGA anajiwekea tu kaservic chake karibu na bunge ...

Hahahahaha dah si mchezo naona huduma atakuwa anatoa kwa discount maana hawezi wapandishia wenzake
 
Back
Top Bottom