Je, Mbunge wako atatoboa 2025 kwenye kura za Wajumbe?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,205
3,009
Binafsi namuona Mbunge wa jimboni kwangu Mh. Katambi hata kwa uchawi hawezi toboa mbele ya kura za wajumbe.

Je, Mbunge katika jimbo lako atatoboa kwenye kura za Wajumbe?

Karibu.
 
Back
Top Bottom