Matokeo ya Kidato cha Sita YATANGAZWA!

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Baraza la mitihani hivi sasa linatangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2013. Matokeo hayo yatapatikana muda mfupi ujao kwenye tovuti yetu.

Asilimia 93 ya waliofanya mtihani huo wa kidato cha 6 wamefaulu.

Shule ya kwanza iliyoongoza ni Marian Girls ya mkoani Pwani na ya pili ni Mzumbe ya Morogoro.

Mwanafunzi wa 1 wa kiume kwa sayansi ni Erasmi Inyase kutoka Ilboru, na kwa wasichana ni Lucylight wa Marian girls.

Upande wa masomo ya Biashara mwanafunzi wa 1 ametoka shule ya Tusiime anaitwa Erick Robert.

Wanafunzi 89 matokeo yao yamezuiliwa kwa sababu mbalimbali.

Wanafunzi watakaothibitika kuwa walikuwa na matatizo ya kiafya, watapewa nafasi ya kurudia mtihani.

LINK 1:
http://196.44.162.14/acsee2013/Alevel.htm

LINK 2: http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/ACSEE_2013/alevel.htm
 
Jambo limezua jambo, haya nadhani hayana haja ya baraza kurisiti kama walivyofanya ya kidato cha nne. Haya tusubiri tuone
 
kuyaangalia ndiyo tabu sasa yani hawa necta na hii website yao ya kizamani hawajirekebishi kila mwaka hizo server sijui zipo chooni... aagggghhh hii kero sasa
 
jamani naomba mwenye matokeo anipostie maana kuyapata ndio shughuli:yell::nod:
A%20S%20576.gif
 
Mswaki wa Gs noma.Na mie nikiwemo,sasa sjui wanatusaidiaje.au ndo imekula kwetu
 
Back
Top Bottom