Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

Unajua hata wana CCM sasa wanafeel ile nguvu ya umma. Damu ni nzito kuliko maji lakini ukweli wa mambo unaifanya damu kuwa hata nyepsi kuliko maji. Wanaccm bado wanakipenda chama chao, lakini sera za CHADEMA zinawafanya wajiuluze mara mbili mbili na ukweli ni kwamba hawawezi kupingana nazo maana ni za kweli na zinagusa maisha yao moja kwa moja
 
wakati pastor wake yule anaemsafilisha kwenda nigeria kila kukicha kamtabilia kuchukua urais 2015,ngoja tuone miujiza ya emmanuel tv aka tb joshua
 
Back
Top Bottom